Search results

  1. L

    Tamasha la Fiesta: RC Dodoma apokelewa kwa vidole viwili!

    Huyu RC atakuwa amenyoa kuduku" anaenda kwenye ngOma za watoto??? Bogaz government !!!
  2. L

    Wawekezaji waanza kujiondoa Tanzania

    Waondoke tuuuuuuu! Wanyonyaji hao
  3. L

    Mhariri Mtanzania: Kwa siasa za shari, CHADEMA kinajifuta; marehemu alikuwa akiifanyia kazi CHADEMA

    Mwandishi huyu ni BOGAZI KABSAAA!!!anataka kufifisha harakati za mabadiliko!! Shame of you bro!!
  4. L

    Rufaa Igunga: Kafumu atofautiana na CCM

    Wataumbuka Kama kule Arumeru Mashariki
  5. L

    Mwigulu aendelea kufunika Igunga

    Hakuna kitu!! Wametokota!!
  6. L

    Nimrod Mkono aitisha CCM

    Wakanyagane tuu!! Vita vya panzi furaha kwa kunguru!!!
  7. L

    Baraza kuu UVCCM wailaani CHADEMA kwa siasa za fujo na mauaji; Je, ni sawa?

    Mbona hawajaanza kujilaani wao kwa kuwatumia polisi ccm KUUA raia???
  8. L

    CHADEMA wapelekana kortini

    Mapandikizi ya ccm hayo!!!
  9. L

    Viongozi wa vyama vya siasa muungane mtoe tamko la pamoja kuitaka serikali iwajibike

    HAPA wakutoa tamko ni CHadema tu! WENGINE ndoa inawatafuna hawawezi kuvunja ndoa yao'!!
  10. L

    IGP Chonde chonde ujinga huu usitokee Mbeya!!

    Arusha NDIO kabisaaaa!!!! Wasijaribu!!
  11. L

    Dawa ya mwanamke anayeng’ang’ania kutaka kuonja penzi la mkeo?

    Mpatie HAKI yake!! Tena kisawasawa!!!
  12. L

    Unaweza kudhani unayajua mapenzi, kumbe ni kinyume chake... Jifunze kwa huyu...!

    Mpenzi wake amemwekea mtego !! Kutawazana duuuh!! Hapo nitasepa Mimi!!
  13. L

    PICHA: Lema akiwa Jijini London akikagua chopa jipya la M4C

    Safi sana!! M4C choper!!
  14. L

    Hivi kwenda bar au club ni uhuni???

    Sio uhuni!! Sehemu ya kupotezea stress za juma zima!!
  15. L

    Komba hoi

    Dah!! Komba weeeeh!! Msiba upo wapi wajameni?
  16. L

    Kilaini: Kikwete bado ni chaguo la Mungu

    Kwani Kilaini yeye ni nani katika Ulimwengu huu??
  17. L

    Dr. Slaa aitolea nje serikali ya Tanzania

    Jina la huyu jamaa linaonyesha ni jinsi gani alivyomvivu kufikiri!! NA hatakaa aelewe hata kwA fimbo!! Labda ahamie baghdad !!
  18. L

    Kabla ya ushahidi wa Mnyika,tuelezee hii siri Mhe.Nchemba

    Mwigulu nchemba ni Mtu mwenye ufinyu wa mawazo NA uelewa Mdogo !! Kama alikabidhiwa ofisi NA fisadi mkuu Rostam NA akakaa kimya bila kueleza umma ni jinsi gani hela za kagoda, meremeta NA EPA zilivyochotwa basi NA yeye ni mshiriki mkuu wa huo ufisadi!! Tena fisadi kiongozi ambae ni hatari zaidi...
  19. L

    CHADEMA yapinga kuundwa tume kuchunguza tukio la Dk Ulimboka

    Hizi tume ni kwaajili ya kuendelea kuwapa maumivu watanzania wagonjwa!! Hazina tija!!! Bora iundwe tume huru tena ya kimataifa inaweza kuja NA jibu positive!! NA sio hao hao wauwaji!!!
Back
Top Bottom