Search results

  1. Mbogela

    Rais Samia aamuru Wasaidizi wake wamtoe nje ya uwanja mtu mmoja kwenye Sherehe za Mei Mosi

    Imekaa poa, kwasababu kuna vyombo mbali mbali vya kutatua shida za wananchi. Wananchi hawawezi kusubiri mpaka Rais aje ndiyo wapaze sauti kutatuliwa mtatizo yao. Mama anachofanya ni kuwaonyesha wananchi kuwa watumia the available machineries to resolves issues they face
  2. Mbogela

    FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

    Bado unashikilia hii kauli kauli yako au umetengua?
  3. Mbogela

    Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

    There is always be an alternative, kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia hawezi kukosa njia, alafu kumbuka pia kuwa sasa hivi ameshakusanya mtaji mkubwa kiasi kwamba anaweza kuhire mtaaalam yeyote kumsaidia kufigure out namna ambavyo tutakuwa tunaruka viunzi vilivyowekwa, teknolojia yetu...
  4. Mbogela

    Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

    Mkuu yaani hiyo hesabu unapiga kwa mwaka au wiki? Maana kwenye Insta ana followers 6,800,000+ kama kwenye APP waki-subscribe watu 800,000 tu anakuwa anatengeneza Milion 800 kila mwezi. Akili Kunkichwa, angalia kwenye soko watu wanataka nini wape walipie hela kidogo tu kama Babu wa Liliondo...
  5. Mbogela

    Nina Shilingi 200,000; wapi naweza kwenda kutalii kwa bajeti hiyo?

    Nakubaliana na wewe niliwahi pata huduma ya kutembezwa kwenye historical sites pale Bahamoyo Kwa 20,000 tu na kuna hotel nzuri ambazo unalala kwa 20,000-30,000 tu Kama yupo Dar basi aende Bagamoyo, kama yuko Mikoa ya nyanda za juu kusini aende kitulo National park.
  6. Mbogela

    Tanzania inagombana na Mungu, inaenda kulaanika

    Mkuu Haujawahi sikia watu waliofiwa siku ya Arusi walifanya mazishi na kuendelea na Arusi? Mbona situation kama hii ni ya kawaida sana.
  7. Mbogela

    Wabunge wa CHADEMA wakubaliana kutohudhuria tena vikao vya Bunge kutokana na janga la COVID-9, Kujiweka Karantini kwa wiki 2

    Ndiyo maana Muda wote wakisimama Bungeni walishauri Bunge liahirishwe, Soma tena Andiko lao, wamesema hawataenda jimboni watatulia nyumbani kwao Dodoma ndani kwa siku 14
  8. Mbogela

    Statement ya Marekani ya zuio kwa watanzania ina utata huu kisheria

    Umejiridhisha vipi kuwa hawana Credible Evidence? Maana wamesema wizara yao sio ile press release ina Credible evidence.
  9. Mbogela

    Majibizano ya Mh.Rais na Mkurugenzi wa TBA leo Chamwino yanaonesha jinsi Rais asivyofuata ushauri wa Wataalamu wake, Rais asivunje sheria

    Lakini nadhani Mtalaam hakutoa maelezo ya kutosha, nadhani alitakiwa aseme majengo ya Umma yanahitajika kuwa na lift, na sababu ya kuwa na rift ni kwa ajili ya kuwahudumia watu wenye mahitaji maalum kama walemavu lakini jambo la pili ile ni hospitali, kuna watu wanasukumwa kwa wheel Chair au...
  10. Mbogela

    Tunauza miche ya kisasa ya korosho

    Hiyo bei ya 1500 ni kwa miche yote iliyobebeshwa na ambayo haijabebeshwa? Nikihitaji miche kati ya 250 - 300 naweza kusaifirishiwa mpaka Tunduru? Je kuna additional costs zinazotokana na kusafirisha?
  11. Mbogela

    Tunauza miche ya kisasa ya korosho

    MnolelaKorosho, Imefanyiwa sijui ile wanaita budding au grafting? Na itapatikana around January?
  12. Mbogela

    William Malecela kupost nyaraka za ofisi ya mkuu wa Mkoa kwenye mitandao ya kijamii kinaendana na kiapo cha usiri alichoapa Mkuu wa Mkoa?

    Baada ya Hotuba ya Mheshimiwa Rais Leo, naomba kujua Mh. RC kuanzia leo utamuita nani?
  13. Mbogela

    Mbele ya Urusi, Marekani lazima ale kona!

    It seems hana habari ya kinachoendelea muda huu huko mashariki ya kati angekuwa na habari angekuja ku-update kuwa mambo hajaenda sawa na uzi wake
  14. Mbogela

    Kondomu nzuri za kunogesha tendo

    Rough Rider = kwa ajili ya kuongeza msuguano, ina vijipele (Studied) Kwa nje, inampa Raha zaidi mwanamke kuliko mwanaume Bare Back = hii ina ngozi nyembamba sana kiasi kwamba ikitumiwa Inakuwa kama haujavaa kitu (bahati mbaya hazionekani Madukani) hii huwapa raha pande zote mbili, yaani...
  15. Mbogela

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Mkuu unataka watu wenye Taarifa sahihi wajitokeze, watajitokeza wameitwa au kuombwa na nani kujitokeza? Kama serikali au mamlaka halali itaomba watu wajitokeze alafu kukawa kimya ndio andiko Lako lingekuwa Varidi. Kwa sasa ishauri serikali ianzishe Uchunguzi wa ukweli wa jambo hili ikiwa ni...
  16. Mbogela

    Magufuli Kamteua, Magufuli Kamuengua

    Nipo HAI mkuu ila nimepoteza network.
  17. Mbogela

    Rais Magufuli asema anaweza kubadilisha noti kudhibiti wanaoficha hela...

    Nahisi kama unamuonea Mwalimu, kwa kumbu kumbu zangu pesa ilibadilishwa wakati wa mzee Ruksa.
Back
Top Bottom