Search results

  1. K

    Warioba: Tutarajie Katiba ya watawala

    Wewe dogo changia hoja acha mitusi ya rejareja. Waungwana wanajadili na kupinga au kukubali hoja. Arfi aliwahi kusema kati ya sheria za hovyo kuwahi kutungwa duniani ni sheria ya mabadiliko ya katiba. Je, ni sahihi kimantiki sheria hiyo kuipa idhini tume kuhodhi maoni ya wananchi na kuchagua...
  2. K

    Warioba: Tutarajie Katiba ya watawala

    Jaji Warioba amenukuliwa leo na gazeti la Raia Tanzania akisema kitakachopendekezwa na Bunge la Katiba Dodoma ni Katiba ya watawala na si Katiba ya wananchi, anatoa mifano juu ya kinachoendelea yaani Sitta anakusanya maoni ya vikundi vya kiutawala kama ALAT. Je, yuko sahihi? Wananchi...
  3. K

    Nipo tayari kutoa ama kupoteza rasilimali zangu kuhakikisha Lowassa anaingia ikulu 2015

    Mkuu, kwa sababu rasilimali zako hukuzibainisha lakini inafahamika wazi rasilimali binafsi ni pamoja na sehemu zako nyeti (za siri) je, uko tayari kuzipoteza? Ukipoteza hizo basi, jamaa yako huyo tunaweza angalau kumfikiria huku tukijiuliza anaweza kukagua gwaride kwa speed inayotakiwa kama...
  4. K

    Ikulu ilivunja Tume ya Katiba kimya kimya bila wajumbe kujua

    RAIS Jakaya Kikwete ameivunja rasmi Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika hatua ambayo imewashutukiza wajumbe wa Tume hiyo, imefahamika. Taarifa ya kuvunjwa kwa Tume hiyo, maarufu sasa kama Tume ya Warioba, iliyokuwa chini ya uenyekiti wa Jaji Joseph Warioba, ilisambazwa jana Jumatano na Ikulu...
  5. K

    Mh Wenje ndani ya Dakika 45 ITV

    Tusiwe na fikra nyepesi kwa kumtazama Wenje tu, hii ni ajenda ya Reginald Mengi kuvuruga Serikali ili angalau Rais amsikilize au ajibu sms zake kama zamani maana ametelekezwa kipindi kirefu sasa kwa vigezo muhimu vinavyolinda maslahi ya nchi na si Mengi na wapambe wake, makuwadi wa soko huria.
  6. K

    UPDATE: Uthibitisho wa CHADEMA kumiliki DVR mbili zilizorekodi mkutano huu hapa.

    Eti viongozi wa Chadema hawakutoa matamko wewe nawe ni muongo usiye n kumbukumbu. Hivi Mnyika alipokutana na waandishi hakutoa tamko? Mbowe aliposema walioua ni polisi waliotumwa na CCM sio tamko? Ni slaa pekee anaogopa kutoa tamko kwa sababu kauli yake kwamba nchi haitatawalika inaendelea...
  7. K

    Mh.Mbowe na Lema wafika Polisi:Wapokonywa Simu,Maelfu ya Wananchi nao watanda barabara ya AICC

    Wewe kweli akili zako ndogo kama Mbowe, wakati mnataka Rais aunde tume ya kijaji mlikuwa mnamuamini au la? Wakati mnapewa kashata na chai ikulu kuzungumzia sheria ya mabadiliko ya katiba mlikuwa hamuamini Rais? Kwa nini sasa, au kwa sababu Mbowe kaongea pumba Hana ushahidi wowote? Watanzania...
  8. K

    Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    Nipo Arusha, kuna taarifa zimezagaa mtaani huku Kijenge na Mwanama kwamba polisi anayetajwa na Mbowe ndiye aliyeua katika mkutano we Chadema Soweto Jumamosi, ni mtu aliyevalishwa nguo za polisi kimkakati ili kuchafua Jeshi la Polisi. Je hili limekaaje au ni propaganda tu za kisiasa?
  9. K

    Tukio la Bomu Arusha: The game was planned - kauli ya baadhi ya polisi

    Haya maelezo yameandikwa na ama mchochezi anayeitwa Godbless Lema au mtu mwingine wa Chadema mwenye akili ndogo Kama Lema, mi nadhani huu ni mpango wa Chadema kupata huruma ya public lakini tatizo ni mpango mbovu unaokiua chama chao taratibu. Hapa pia LwakatAre tayari yupo nje kwa dhamana.
  10. K

    TCRA yaiamuru Star Tv kurudi Star Times kabla ya 10 jioni leo!

    Star tv wanafki, wao pamoja na kile kinachoitwa MOATwalijidai mwanzo kutetea haki ya kupata habari wakisema ving'amuzi vya star times havifai, havionyeshi vizuri na hivyo irudi analogy kisa haki ya kupata habari Leo wanajitoa wakitanguliza maslahi yao kibiashara na si tena haki ya wananchi...
  11. K

    Abdulrahman Shimbo ateuliwa na Rais Kikwete kuwa Balozi wa Tanzania nchini China!

    Acheni kuleta hoja nyepesi humu, mnajua kwamba China na Tanzania kwa sasa zimeanza mipango ya kistrategia kijeshi bali na mipango mingine ya uchumi. Kwa hiyo sioni tatizo Shimbo kwenda kwa sababu pia uteuzi wa Balozi nchi mwenyeji ni lazima pia Ifanye vetting na kwa hiyo, kama Shimbo ni...
  12. K

    Bernard Membe: Ndoto zake za urais zimejaa Fitna, Visasi na Mbeleko

    Mkuu wewe kweli ndiye Kigogo wa fitina, umemjadili BM katika njia za kifitina tena kwa kuazima fitina wanazotumia kundi la Lowassa hasa raia mmoja mwenye asili ya Somalia (Bashe) halafu unasahau hiki ulichofanya ndiyo fitina, majungu na unafiki. Kitime kifichomponza ni ufisadi wake...
  13. K

    Membe: Hatutawaomba radhi Rwanda

    kuna watu kumbukumbu zenu ndogo sana japo mnajidai great thinkers, niwakumbushe hatua chache tu za Kikwete kujenga muafaka wa ndani nchini, kwanza kutuelewa kwa vitendo ahadi iliyokuwamo katika hotuba yake ya kwanza ya kuzindua Bunge 2005 kwamba anasikitishwa na mgogoro wa kisiasa Zanzibar...
  14. K

    Membe: Hatutawaomba radhi Rwanda

    Nadhani wewe ni kimeo pia, siasa za kimataifa zina mipango na misimamo yake, utakumbuka wakati Tanzania inasaidia Ukombozi nchi za kusini mwa Afrika haikuwa na maana kwamba uchumi wetu ulikuwa imara kiasi cha kutoa misaada. Mwalimu Nyerere aliifanya Tanzania kuwa nchi strategic kusini mwa Afrika...
  15. K

    Nape apiga muziki kwa heshima ya Dr. Slaa

    Sasa unafiki hapo ni nini? Angepiga yeye Dr slaa kama hataanguka na kisukari mngetoka mapovu hapa kumsifu
  16. K

    Nape apiga muziki kwa heshima ya Dr. Slaa

    Hahahaha nailed it bro! Labda wakati akiwa padri
  17. K

    Nape apiga muziki kwa heshima ya Dr. Slaa

    Nimekuwepo leo jioni kwenye live band pale Rayol Village mjini Dodoma ambapo baada ya burudani kadhaa aliitwa Bwana Nape kupiga nyimbo mbili alipopanda jukwaani akashika gitaa la rithym alipolipiga kidogo akasema atapiga nyimbo mbili moja kwa ajili ya " dadaake Phillipe mbunge viti maalum...
  18. K

    Baada ya mahojiano: Makosa yaliyomnyima Lema dhamana ni haya, kwa mujibu wa Mwanasheria wake

    Mleta uzi si wa kumuanini kutokana na habari kwa sababu ni kutoka Chadema na pia chanzo cha habari ni cha upande mmoja, yaani wakili wa Chadema. Kwanini tusiamini mnataka kutengeneza mazingira ya kuaminisha umma kile mnachokitaka.Acheni michezo hii ya kizamani iliyokuwa ikifanywa na CCM. Wewe...
  19. K

    Dr. Slaa Afuatiliwa na watu wasiojulikana kutoka Iringa hadi Dar Es Salaam

    Waliomfuatilia wanajulikana na sababu zinajulikana. Amezaa na mke wa mtu mkuu, kwa hiyo ni lazima ashughulikiwe. Sio kila kitu eti TISS wakati mitaani mnabeba wake za watu.
  20. K

    Nape awatimua management ya Mtibwa kwenye msafara wa CCM Turiani

    Nape leo kacharuka kwenye msafara wa CCM uliokuwa ukiongozwa na Kinana na kuwatimua kwenye msafara huo watendaji wakuu wa Mtibwa sugar kwa madai kuwa uwepo wao kwa jinsi wanvyoishi na wakulima wa miwa mtibwa wanachafua sura ya ziara hiyo. Nao jamaa kwa mshangao huku vichwa vikiwa chini...
Back
Top Bottom