Search results

  1. M

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Kutoka Buchosa kata ya Lugata vituo vitatu vya kijiji cha Kabaganga CCM 1200 na CDM 200
  2. M

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    Kati ya vituo 5 vilivyohesabiwa CDM 56 wakati CCM 536... bado vituo 9. Bendera zote za Chadema zimeshushwa na wao wamekimbia mjini hapa hawapo kabisa..... Matokeo mengine soon nayaleta hapa ya kata zingine lakini hali ya Chadema ni kama wako ICU...
  3. M

    Nape: Arusha Ondoeni LAANA hii kwenye Jiji lenu!

    Hakika Nape anawamaliza magwanda Arusha.... Chuki anayoipanda dhidi ya CDM na watu wake ni kubwa sana. Nape kaeleza jinsi Chadema na viongozi wao walivyoleta laana Arusha. "Takwimu zinaonyesha jinsi utalii ulivyoshuka jijini Arusha, lakini kushuka huko kulivyoathiri uchumi wa mkoa, nchi na...
  4. M

    Nape katua Arusha, kapokelewa kishujaa!

    Nimeshangaa sana leo nilikuwa mkutano wa CDM kata ya Kimandolu ghafla nikaona kundi kubwa la vijana wanasukuma gari, kuangalia kwa karibu nikaona gari la Nape linasukumwa na vijana wanaimba "Lema byebye"! Nikaambiwa Chalii wa CCM ameingia mjini kuja kumzika Lema! Mkutano wa Chadema ukavurugika...
  5. M

    NAPE ndani ya Sherehe za miaka 150 ya chama cha SPD

    Hivi na mashog..nao mnaruhusiwa kuchangia humu?!!!! Haaah basi tumeingiliwa!! Hivi Mishy alishakwambia kuwa aliposikia we shog** alikukataa?!! Babu yangu anadawa ya ushog** njoo nitakupa kijana mzuri unakuwa bwabwa?!!!!
  6. M

    Press Release: CCM yakanusha uvumi wa Kikwete kuruhusu wagombea kuanza kampeni!

    Nimemsikiliza Nape kwenye TV leo bilashaka ule ugomvi wao haujaisha...na sasa nadhani umekolea zaidi..nimesoma hii press release yake hakika anampiga Mmsai. Swali langu nani atashinda vita hii? Daudi au Goliath?....
  7. M

    Nape: CHADEMA wana Kifafa cha Kisiasa! Awafananisha na nguruwe...

    *Adai ni vibaraka wa mabeberu kuvuruga nchi *Awafananisha na nguruwe mwenye tabia la kula watoto akiwa na njaa. *Ataka watanzania kuwapuuza *Amuumbua Tundu Lissu *Atetea mchakato wa katiba nchini Bashir Nkoromo, May 05, 201 | 3DAR ES SALAAM, Tanzania
  8. M

    Chikawe amvua nguo Tundu Lisu Bungeni!

    Chikawe amemuumbua Tundu Lisu bungeni jioni hii kwa kutoa ushahidi kuwa Bw. Beatus Kipeya ambaye Lisu na Chadema wanadai kuwa alienguliwa na WDC ya Sombetini asiwe mjumbe wa baraza la katiba la kata kuwa ni mjumbe halali na hivyo kuthibitisha kuwa Tundu Lisu na Chadema anajaribu kulidanganya...
  9. M

    HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)

    Kwa uongo na uzushi alioandika na kuusema Mchungaji Msigwa bila aibu bungeni leo juu ya sakata la ujangili nchini, hakika uchungaji umedhalilika sana! Kwamba hata wachungaji wanaweza kusema uongo mchana peupe na bila aibu!!!!!! Ndo maana tumekuwa tukiwashauri siasa si mchezo wa kuchezwa na...
  10. M

    Nchimbi: Kambi ya upinzani ni waongo na ni wazushi

    Kudadadeki! Leo Nchimbi waziri wa mambo ya ndani kawadadavua CHADEMA kwa kuwaumbua kwa hotuba yao ilivyojaa uongo na uzushi. Kawaumbua sana leo na kwakweli hii ni aibu ya mwaka!
  11. M

    Chadema wagawa 300,000/- kwa kila mwandishi!

    CHADEMA wanahaha kugawa pesa kwa kila mwandishi hapa Dodoma Bungeni ili kubeba stori itakayosomwa na Mchungaji Msigwa kesho kwenye hotuba yake yenye kurasa 42 ambayo toka ukurasa wa kwanza mpaka ukurasa wa 42 amemtaja Kinana kama kiongozi wa genge la majangili wanaovuna meno ya tembo nchini...
  12. M

    M4C DAR es Salaam from HERO........to ZERO

    Aibu tupu, hii inathibitisha kuwa wamekuwa wakisomba watu na sasa hela za kuwasomba hao watu zimekata kwa hiyo ni kwenda kichwakichwa ili angalau kuambulia posho a.k.a ruzuku. Gazeti la Mwananchi hawawezi kutoa picha kama hizi zinazoonyesha udhaifu wa chama wanachokiunga mkono kama ilivyo gazeti...
  13. M

    Nape atoa shule malumbano ya hoja ITV

    Lakini wakuu, Jambo baya sana linaloinyemelea demokrasia nchini ni kifo kibaya cha CHADEMA. Nasema kifo kibaya kwasababu kitavunja moyo sana wanaharakati wengine wanaona yalianza kuonekana matumaini lakini sasa kama na hawa nao wameishia njiani basi HAIWEZEKANI, itavuruga sana demokrasia nchini...
  14. M

    Nape atoa shule malumbano ya hoja ITV

    Bongolander, Usisahau huyu ndio Katbu wao wa itikadi na uenezi, ikiwemo sera zao!
  15. M

    Nape atoa shule malumbano ya hoja ITV

    Kwanza ni ujasiri baada ya muda mrefu wa kujaribu kuudanganya umma kwamba vita hii ilianzhswa na CDM, kukiri hadharani kwamba HAPANA ilianza siku nyingi kabla hata ya misingi ya CDM haijafikiriwa ni ujasiri mkubwa! HONGERA ZIPUWAWA!
  16. M

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    Nadhani wakati mwingine tuwe na kile kinachoitwa fair comment, ninachokiona ni udhaifu mkubwa wa kufikiri miongoni mwa wana-JF na nitathibitisha kama ifuatavyo. Mnyika amewahi kusema Rais ni dhaifu, ingawa kwa namna fulani naye (Mnyika) alikuwa dhaifu kifkra wakati anatamka hiyo, sasa basi kwa...
  17. M

    Nafasi ya CHADEMA Bungeni

    Wewe utakuwa kwenye kundi la watu wenye akili ndogo na kwa maana hiyo huwezi kujibu hoja za watu wenye akili kubwa (nyingi) kama Tanu Youthleague. Nadhani hata humu JF wengi wanazo sifa kama zako hawajibu hoja na badala yake wanatukana au kuonyesha makosa ya upande mwingine wakiamini ndiyo...
  18. M

    Nafasi ya CHADEMA Bungeni

    Huyu jamaa ameandika pointi ambazo haziwezi kufutwa kwa matusi au mabomu ya FFU, pointi zinafutwa kwa kuibua pointi nyingine "mbadala" ili sisi wengine tusio na upande tupime pumba na mchele. Wanacdm jitokezeni kujibu na si kuonyesha makosa ya upande mwingine huwezi kujidanganya eti unajibu hoja...
  19. M

    Nape umepiga mahesabu vibaya

    Unalidhalilisha jina zuri rafiki.MBONA UNAONGEA KAMA BATA ANAHARISHA HAPA??? HATA BUSARA KIDOGO YA KUWAZA MMEKOSA? CDM NA FISADI WENU EDWARD aka MMASAI FEKI KWISHNEI
  20. M

    Nape umepiga mahesabu vibaya

    Hahahaa ndo nyie malay** wa humu ndani Lowassa anawatumia na cdm inawatuma MMMhhhhh! ADUI YAKO AKIKUSIFIA UJUE UMECHEMSHA, AKIKUPONDA KAMATA HAPOHAPO. NAPE USIRUDI NYUMA ULIPOSHIKA NI SAHIHI KABISA NA INAWAUMA SANA WENZIO NDO MAANA WANAJARIBU KUKUKATISHA TAMAA.
Back
Top Bottom