Search results

  1. M

    Mdahalo wa Katiba uliokuwa ufanyike tarehe 16 Novemba, 2014 waahirishwa

    Wanajamvi, Wiki moja iliyopita nilimsikia kwa masikio yangu POLEPOLE kwenye kipindi cha KIPIMA JOTO - ITV akisema kuwa leo kungekuwa na mdahalo. Lakini nimeulizia ulizia leo na kusikiliza redioni cjasikia kabisa. Mwenye taarifa nzuri anijuze tafadhali
  2. M

    Majibu kwa Mnyika na CHADEMA juu ya watumishi wa umma na mikutano ya CCM

    ww nae wala huelewi, kubanana ni kawaida kiofisi, na ndo maana hata dc angeweza kutumia utaratibu huo, lakini sio kuita wa2mish wa serkali kwenye vikao vya chama. kwanini hawakwenda? jibu ni kuwa wanajua. hao sio mawazi wanaotetea ulaji wao kwa chama, hao ni wataalam bana.
  3. M

    Mh. KIGWANGALA AHADI YAKO YA ALBADILI KWA WALIOMTESA ULIMBOKA IMEFIKIA WAPI?

    Unanikumbusha enzi za sheikh yahaya alivyoahidi kumlinda rais! hatuwezi kusurvive kwa mwendo huo, hao lazima wapatikane kitaalamu!
  4. M

    Aliyowasilisha Mh.Tundu Lissu juu ya Muungano ndiyo haya....

    mimi nafikiri kuendelea kuukumbatia muungano ni sawa na kukumbatia mzinga wa nyuki. Hapa majuzi nilikuwa naongea na wazanzibar wawili, kwanza walitubeza sana wabara kuwa hatujui siasa ndo maana tunashadadia muungano, na walinipa mlolongo wa mambo kibao, ambao wao wanaamini serikali ya muungano...
  5. M

    Sina imani tena na Chadema

    Inaonekana huna imani hata kwa mungu wako!
Back
Top Bottom