Search results

  1. H

    Ni zawadi gani nzuri ya kumpa mume wako?

    Kubwa ni heshima kwake na ndugu zake,uvumilivu,hekima ya hali ya juu unapotokea mkwaluzano baina yenu,usiwape marafiki nafasi ya kujua kila mnalo panga na kufanya wewe na mumeo au kujua matatizo yenu.Kuwa mbunifu katika swala zima la sita kwa sita,msaidie katika swala zima la uchumi hasa...
  2. H

    Hii tabia ni mke wangu tu au?

    Hongera kaka mkeo ni smart kwa kila anachofanya.Tatizo watu wengi hawajajua kuwa ndoa inaweza kufanywa kuwa paradiso ndogo na wanandoa wenyewe.Muulize vizur kinachokuwa kinamchelewesha nini,utaona ni muhimu kwako na wewe pia.
Back
Top Bottom