Search results

  1. M

    Nyumba ya inapangishwa Mbezi Juu

    Gharama ya nyumba iliyowekwa ni kwa mwezi Tsh 250,000 lakini mwenye nyumba anakubali hata kodi ya miezi 6. Huo ndio utaratibu uliopo kwenye upangaji wa nyumba. Kodi inatokana na mwenye nyumba anavyoona na maslai yake. Ndugu Waridi; kumbuka kwamba serikali inauza viwanja na inataka ilipwe 10...
  2. M

    Nyumba ya inapangishwa Mbezi Juu

    Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa mbezi juu ya Tanki Bovu.Gharama kwa mwezi ni Tsh 250,000. Ipo ndani ya fensi.Kwa mtu ambaye yupo serious anaitaji nyumba ni PM.
  3. M

    Utumiaji wa GNLD na Forever Living products ni hatari?

    Mimi nilikuwa mteja mkubwa wa hizi dawa(product). Nilikuwa nanunua product za aina nyingi. Nilikuwa nawapa watoto wangu dawa ya mswaki ambayo nayo ilikuwa inasifiwa inafaa kwa watoto. Baada ya muda nikaona watoto wa wafanyakazi wangu wametoboka meno kwa sababu ya hii dawa kwani wenyewe...
  4. M

    Viwanja vinauzwa vipo gezaulole kikamboni

    Watanzania wengi wamekuwa walanguzi kweli kweli. yani hivi viwanja vimenunuliwa kwa chini ya million nana (8) na watu wengi walikuwa wanaitaji sasa wakanyimwa hili viuzwe kwa bei ya magendo (enzi za mwalimu tulikuwa tunawahita wahujumu uchumi). Kijana hiyo sio sawa kabisa. nenda kajipange upya...
  5. M

    Martenity Leave

    Thank you
  6. M

    Martenity Leave

    Kwa wanaojua sheria naomba kujua maswala ya likizo za kinamama wanapojifungua. Mtu akijifungua huwa office ya serikali au binafsi zinampa likizo ya muda wa miezi mitatu. Na je hii likizo ikishaisha huwa kuna likizo ya nusu siku kwaajili ya kwenda kunyonyesha au la. Kwani watu wamekuwa...
Back
Top Bottom