Search results

  1. N

    Mwenye kujua tafadhali

    pole sana dada, je umeshawahi kuwa na chango la uzazi either wewe au mme wako? Km chango nitafute tena hua linasumbua wengi mno.
  2. N

    Msaada tutani: Mwenzenu sioni raha ya mapenzi

    pole sana my dear. Jaribu kuongea nae ili muende hospitali japo wanaume ni wabishi sana. Hakikataa basi tafuta mtu akukune vizuri.
  3. N

    Msaada wa haraka uume unaleta majanga

    kuwa mkweli wewe jamaa yako wapi? Kuwa muazi upate msaada.
  4. N

    Msaada kwa hili.

    kipimo cha Echo kinatazama moyo wote ndani na nje ya moyo na EGC kinapima mapigo yani frequency za moyo wako na zina print.
  5. N

    Tulikuwa tukichat tu, tumekutana na kufahamiana leo na leo leo tumezini.

    Tunateswa na nyege mama, mwaume akisha kojoa ndio anakumbuka ujinga wake. Duuh kweli ile kitu noma. Kuna kabila moja uchina wana amini uchi wa mwanamke ndio mungu kwa hoja kwamba kila mwanadamu ametoka kupitia pale na pia kila mwanamme anapausudu sana na imani yao inasema bila ---- pasingekua na...
  6. N

    Kweli kuna dawa ya kuongeza maumbile ya wanawake?

    kweli yapo makabila na wanatumia matembele kwa kusugulia na kinembe, chenyewe kitavutika.
  7. N

    Kweli kuna dawa ya kuongeza maumbile ya wanawake?

    chukua matembele kisha suguli nacho iko kinembe
  8. N

    Tukumbushane: teanage Love

    Yakale dhahabu. Hakika ni upendo wa kweli japo umri ndio unatatiza kwa fikra.
  9. N

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    1.Ata bibi alikua mwali. 2. Chombo ya fundi 3. Fahari ya kondoo mkia wake 4. Unalinga umepima
  10. N

    JWTZ Professionals

    Kweli jeshi limeanza course week ya 2 sasa na ni wataalamu tu ndio maana course ya ni Arusha monduli. Watatangaza tena ila kwenda ni mwakani.
  11. N

    Hiki kitendo ni cha halali wakuu?

    Kaka problem is not a sex but how to get a beautiful women appropriately for marriage. Pl'se take care and try again to choose best one among the best.(consider attitude,behaviour and her knwoledge)
  12. N

    Kuharibika kwa Mimba: Fahamu Sababu, Kinga na Tiba za tatizo hili

    Mi wala sielewi nini kinacho sababisha kwa mke wangu mimba zinatoka tena azifiki hata miezi 2. Je nini na kuna madhara gani?
  13. N

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Tumia maji ya ukoko wa ugali ulio lowekwa ndio tiba sahihi.
  14. N

    Kuharibika kwa Mimba: Fahamu Sababu, Kinga na Tiba za tatizo hili

    Dr. Naomba unisaidia e nini kinacho sababisha kutoka kwa mimba changa mara kwa mara na nini adhari zake? Naomba mnisaidie?
  15. N

    Je mwanamke akiwa na mimba bleed yake inakuwaje?

    Dr naomba niulize, mi nina mke wangu alafu nimepiga game siku zote za hatari lakini naona damu inamtoka alafu sio nyingi na wakati bado ajamaliza circle yake? Hila bado sijampima mimba.
  16. N

    Wabunge wa CCM wasioiunga mkono Bajeti ya Serikali wakwepa kupiga kura!

    Ccm bado wanawaza mapinduzi ya kisiasa kwa kulindana sasa wamesahau km nchi niya wananchi.
  17. N

    Prof. Muhongo umetisha

    Kumbe bado ujaijua vizuri serikali hii! Kuanzia baba mpaka watoto waongo alafu wana sahau walicho ongopa. Tatizo sio tanesco bali serikali yetu. Mi naona bora tutawaliwe tena bado akili za viongozi wa ccm zinafanana kama minyoo.
  18. N

    JK abanwa mbavu; Ujumbe wa bajeti yake ni madeni matupu, ahadi hewa na haitekelezeki

    Hali tumia muda mwingi kushindana na serikali ya awamu ya 3 na kutafuna pesa alizo kusanya mkapa, sasa yake inamshidwa. Sawa si mlichagua sura? Hali ya maishi ni tete sabuni juu, mafuta taa juu, sukari juu. Kweli nimeamini tabasamu lake uhashiria udhaifu wake. Soma kitabu cha man of the people...
  19. N

    From the House [Mjengoni] this evening

    Its a great victory to ruling party and its relevant budget according to them but let us see the implementation of this budget.
  20. N

    Kuharibika kwa Mimba: Fahamu Sababu, Kinga na Tiba za tatizo hili

    Wana jamvi nisaidieni. Utajua vipi kuwa mirija ya uzazi ime block? Na ni kitu gani kina sababisha mirija ya uzazi ku block?
Back
Top Bottom