Search results

  1. B

    Kauli ya serikali kuhusu mgomo wa madaktari

    Ni kweli kabisa ndugu yangu ni lazima serekali aonyeshe ni jinsi gani maboresho yamefanyika? Kama upatikanaji wa Dawa katika Hospitali na vituo vyote vya Afya. Je wameweza kuleta vitendea kazi katika vinakidhi huko vijijini au ndo mafaao tu? Madaktari waliyaainisha haya na mengi sana, juu ya...
  2. B

    Ajali yakutisha yatokea Tegeta njiapanda ya wazo

    Tafadhari rekebisha mada maana hakuna mtu anayeweza kukusudia kufa ukizingatia ni ajali
  3. B

    Waziri wa Kilimo, Ushirika na Chakula anawalinda Viongozi wabovu.

    Katika hali ya kushangaza Waziri wa Kilimo, Ushirika na Chakula ameshindwa kuchukua maamuzi juu ya tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma katika Shirika la ukaguzi wa vyama vya ushirika. Mkurugenzi mkuu wa shirika hili amekuwa akilifanya shirika hili ni mali yake. Katika taarifa ya habari ya TBC...
Back
Top Bottom