Search results

  1. Blood Hurricane

    Nimeamini wanaume hawaaminiki

    Katika watu waaminifu Duniani ni wanaume labda huyo mmoja baba Cathe
  2. Blood Hurricane

    Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Ukitumia nguvu utaonekana unabaka kisheria
  3. Blood Hurricane

    Simba SC mmeanza pamoja na mmalize pamoja

    Mtoto wa kiume unauza makalio JF ni laana hoyo. Endeleeni kutengeneza vyumba vya futi 3 hapo vidimbwini sie tunasonga mbele na tunaongoza kundi
  4. Blood Hurricane

    Simba Sports Club. Rasmi sasa Mnapaswa kulipa Deni la Magufuli

    Mpira sio kombolela iache ijipange
  5. Blood Hurricane

    Betting addiction ni mbaya sana

    Ukikuta watu wa betting wako kwenye kubeti utafikiri wanafunzi wako darasani pia wako makini mno. Uamuzi wa kuacha ni wenu chukueni tahadhari tu
  6. Blood Hurricane

    Huyu mtangazaji wa ala za roho, vipi?

    Kumbe jibu unalo unauliza nn? Umeshika mkia wa mbwa then unatuuliza eti kalio liko wapi..!!!!
  7. Blood Hurricane

    Unasikiliza wimbo gani muda huu?

    Kiu ya Jibu....sikinde
  8. Blood Hurricane

    Yule paka aliyeokotwa kwenye daladala Buza ni mimi

    Kawadanganye watoto wenzio we boya
  9. Blood Hurricane

    Redio za FM zinaajiri watangazaji wasio na taaluma

    Yupi huyo? Au yule aliyetaka kumzalia Diamond watoto wawili?
  10. Blood Hurricane

    Tuzidishe kuwaombea masheikh waliowekwa rumande miaka 7 kwa dhulma nchini Tanzania

    Umejuaje issue ya Kibiti imewamaliza? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Blood Hurricane

    Hiki kiburi, jeuri na dharau Prof. Kitila Mkumbo nguvu anaipata wapi

    Kaandike kwenye kuta na mawe wewe mpambe wa Mwigulu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Blood Hurricane

    CHADEMA kufanya maajabu uchaguzi wa mwaka huu

    Bosi naona umecharuka kila post unaijibu. Wanakulipa vzr nn? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Blood Hurricane

    CHADEMA kufanya maajabu uchaguzi wa mwaka huu

    Hivi hata wakishinda watapewa majimbo kweli? Manake wasijefanyiwa kama serikali ya mtaa. Na kama kikifanyika hicho natabiri damu kumwagika Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Blood Hurricane

    CHADEMA yawataka wanaosema kuna matumizi mabaya ya fedha kwenye chama waweke ushahidi hadharani

    Haina haja. Why cdm waweke wazi vyama vingine visiweke? Cag kesha kagua wakamuulize Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Blood Hurricane

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Kama hujui unakokwenda tambua kupotea ni lazima Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Blood Hurricane

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Pole mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Blood Hurricane

    Kuhusu kudhibitiwa kwa Corona, UHURU lipewe adhabu

    Kuhusu kudhibitiwa kwa Corona, gazeti la UHURU lipewe adhabu ya kufungiwa. Gazeti hili limekuwa likipotosha umma kila kukicha na kutoa taarifa za uongo. Imagine Mwananchi lingetoa taarifa hiyo nini kingefuata!!! Je, ni kweli Corona imedhibitiwa kila kona ya nchi? Tunadanganya kwa faida ya nani...
Back
Top Bottom