Search results

  1. N

    TRA yatangaza nafasi za kazi 131 kwa watanzania wenye sifa

    Post ya driver kwenye tangazo ipo lakini kwenye recruitment portal haipo sasa wanatarajia watu waombe kwa njia gani.
  2. N

    Suala la utoaji driving licence TRA tunakereka

    Payment slip ya A4 iliyokatwa ya nini tena mkuu
  3. N

    Hivi ni sawa mke wa mtu kwenda likizo kwao kila mwaka?

    Wakat nipo chuo nilikuwa na demu alikuwa na tabia ya kurudi kwao karibu kila baada ya wiki mbili alafu ni umbali kama km 150. Nikamuuliza hivi hata siku tumeoana utakuwa unarudi kila mara kama hivi akanijibu itakuwa zaid kwasababu anampenda sana mama yake, nikaona hapa chenga tu. Nnavyokwambia...
  4. N

    Msaada wa kubadilisha daraja la leseni

    Ndio lazima usome upate cheti ndio utafanikwa kubadili, nenda VETA au NIT
  5. N

    TRA kitengo cha leseni za udereva ni rushwa waziwazi

    Serikali ya wanyonge ikumbuke wanyonge wengine hizo leseni ndo zinatupatia mkate wa kila siku
  6. N

    TRA kitengo cha leseni za udereva ni rushwa waziwazi

    TRA kupitia kwa mkurugenzi wa elimu kwa mlipa kodi waliahidi kuwa ndani ya mwezi mmoja material yatakuwa yamekuja hivyo leseni zitaanza kutolewa kama kawaida lakini mpaka sasa yapata miezi miwili hakuna kitu. kuna kitu nyuma ya pazia sio bure
  7. N

    TRA: Tumekusanya trilioni 15 kwenye mwaka wa fedha 2017/2018

    makusanyo yote hayo lakini cha ajabu ukienda kurenew driving licence unakaa mpaka miezi mitano eti material ya kutengenezea hamna dah!
  8. N

    Gazeti la Daily Mail yauita Uwanja wa Taifa Dsm kama "Nairobi City Stadium"

    Kumbe waandishi makanjanja hata ulaya wapo
  9. N

    Jambo na vijambo komedi episod wamerudi tena

    kama unapenda comedy watafute hawa jamaa utafurahi.
  10. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hahahaaa dah jamaa umenchekesha sana
  11. N

    Hii ni....!

    mkuu mshana jr unazitumiaje hizo kwenye mambo yako yale?
  12. N

    Tazama, simba akikutokea ghafla porini kaa kama ulivyo na umtazame machoni!

    hapa najiuliza huyo aliyepiga picha ina maana nae alikuwa chini au?
  13. N

    kwa nini tz tunakeep left?

    kwanini wengine nao wana keep right kama jibu unalo basi hata swali ulilouliza jibu utakuwa nalo
  14. N

    Hivi huu udwanzi wa 'Cover' kauleta nani?

    nakubaliana na wewe kabisa mkuu kuna cover huwa ni kali zaidi ya original kwa mfano ule wimbo wa hello- adelle, joe thomas aliufanyia cover kali sana. lakini nikirudi kwenye point ya mtoa mada sio issue sana kila wimbo kuutolea cover inarudisha nyuma creativity.
  15. N

    Huyu ndiyo msichana mzuri kuliko wote kutoka jiji la Mwanza!!

    hamfikii aunt yangu anakaa nyamagana
  16. N

    Anayenipenda mimi Moniccca awe na sifa hizi:

    wewe sio mwanamke kiuhalisia kubali ukatae
  17. N

    Ukiwa na safari moja na mwanamke jiandae kuchelewa

    bora hata mwanamke awe mzito kujiandaa kuliko mwanaume kuwa mzito, ukimuona mwanaume wa hivyo ujue hata baadhi ya mambo ya muhimu ya kiume hawez vizur.
  18. N

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    dortmund anataka kuwa jipu aisee
  19. N

    Haka kaubaridi itakuwaje sasa

    huyo ni mwanaume wa Dar es salaam
Back
Top Bottom