Search results

  1. TajiriMutoto

    Hiki kitabu kinapatikana maduka yapi Dar au Morogoro!

    Windows Server 2012 Unleashed - Best EBOOK PDF
  2. TajiriMutoto

    Hivi kuna siri gani kati ya Makonda na hawa GSM? Au ni mvuto tu?

    Connecting the dots .... Pitieni huu uzi... Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)
  3. TajiriMutoto

    Mshaurini huyu superstar

    cheza pono
  4. TajiriMutoto

    Picha za matukio mbalimbali ya Kikwete akijenga taifa..

    Huu upuuzi kamwambie mkeo.
  5. TajiriMutoto

    hodi dodoma

    NaneNane Nzhughuni kwa kpndi hichi cha nane nane Rose Garden Car Wash Club 84 Maisha Club Laaziz
  6. TajiriMutoto

    Gift Voucher Credit Cards - Where Can I get In Dar

    ningependa kujua kuhusu hili pia, ngoja tusubiri
  7. TajiriMutoto

    Mifuko ya kijamii (NSSF, PPF) na kuifadhili CCM tena uchaguzi wa 2015

    Kama upo makini utakuwa umeshaliona hili au japo kuliskia, Kwa kifupi mifuko ya kijamii NSSF na PPF itatumika tena kuifadhili CCM kwenye uchaguzi wa 2015. Ndio maana tumeambiwa No mafao mpaka umri wa miaka 55. Serikali ya CCM inataka kucheza na akili zetu lakini kwa hili halivumiliki. Hii ni...
  8. TajiriMutoto

    Ninayo program ya kutuma sms kama ile ya Marando

    Program yako inawezakuwa inafanya kazi lakini kwa kifupi ni kuwa imepitwa na wakati. Watu wengi siku hizi hawatumii simu zenye OS ya Java, sikuhizi tunatumia Android, iOS na Windows Mobile. Program yako ina uwezo wa ku deal na only Java based Mobile Phones kwahiyo usiwabeze wanaenda Israel...
  9. TajiriMutoto

    i phone 4S 32GB

    weka bei acha ungese aaah
  10. TajiriMutoto

    Gharama za kukodisha gari la Harusi

    Kuna rafiki yangu wa karibu anataka kuoa mkuu
  11. TajiriMutoto

    Gharama za kukodisha gari la Harusi

    Dar es salaam mkuu
  12. TajiriMutoto

    Gharama za kukodisha gari la Harusi

    WanaJF naomba kujulishwa gharama za kukodisha gari kwa ajili ya maharusi kwa siku moja ni shilingi ngapi kwa Dar? Aina ya gari Mercedes benz E Class, kwa wenye ufahamu juu ya hili naomba nifahamishwe bei zinaendaje, Asante.
  13. TajiriMutoto

    Kumbe mpenzi wangu ni mke wa mtu?

    mwisho wake ni wewe kuliwa TiGo
  14. TajiriMutoto

    Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

    Kamua wewe acha kuremba alaaaa, inshu kama hizi hata hazihitaji ushauri, unakuwa ka sio kinega bana
  15. TajiriMutoto

    Nchimbi: Viongozi wa CHADEMA watahojiwa juu ya kutishiwa kwao kuuwawa.

    Ahojiwe yeye kwanza, maana inajulikana anahusika kwenye kifo cha Ipyana Malecela na Amina Chifupa.
Back
Top Bottom