Search results

  1. framjuh

    PPF wamenza kuita watu usaili wa Oral

    Hahaha we mtu unajielewa kweli? Best employees ndo wanapatikana kwa vile, au bro ndo wale wale waarabu wapemba wajuana kwa vilemba
  2. framjuh

    PPF wamenza kuita watu usaili wa Oral

    Kweli nimeamini ndugu, akufukuzae hakuambii toka, kweli watakua na watu wao namna Ile ni hatari
  3. framjuh

    PPF wamenza kuita watu usaili wa Oral

    Kabisa mkuu ya saa 5 haikua fair kabisa, sijui walikua wanafikiria nn, yaani hata tungepewa masaa 3 sidhani km 2ngeyapata yale maswali, wamejua kutupunguza
  4. framjuh

    PPF wamenza kuita watu usaili wa Oral

    Wametuweza wengi maana dah wamejua kutukomoa, yale maswali hata ningepewa lisaa ningeyakosa tu. Maana hata sijawahi kukutana nayo mengine
  5. framjuh

    PPF wamenza kuita watu usaili wa Oral

    Dah hapa uvumilivu wa hali ya juu wahitajika
  6. framjuh

    Tahadhari: Horn of Africa Aid Relief ni NGO ya kitapeli

    Wapo wengi sn hawa usipokua makini unaingizwa mkenge kweupeee
  7. framjuh

    Tahadhari: Horn of Africa Aid Relief ni NGO ya kitapeli

    Greetings, Its my pleasure to inform you that,we have passed through your CV and it seems to be very interesting to have you working with us at Chili's Company International based in Qatar country,Attached is the acceptance of Job Offer,please sign where necessary and return back to us through...
  8. framjuh

    What is Psychometric Test na zinafanyika wapi hapa TZ? Radar may be?

    Umeona mfianchi hapo kale kaharufu ka muvi la kinijeria linanukia, guys be carefull
  9. framjuh

    Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Kweli kabisa hata me nahisi hili neno Lina maana nyingine na sio kuitwa kwa interview coz me nilishaaply toka Feb but no any phone call or mail km nimeitwa na itafanyika wapi, I guess hili neno litakua na maana nyingine
  10. framjuh

    Anipa onyo baada ya kuhisi natembea na mkewe

    Ebanah unabahati sn, uache kabisa hy kitu mana simba mwenda pole mmbaya sn
  11. framjuh

    Viettel acheni kutudharau Watanzania

    Hawa jamaa ni washenzi namba 1,Sina ht nao walinitoa dar mpk babati for interview, halafu siku ya interview wamenikalisha frm morning till evening then wanakurupuka eti oral interview imaliziwe siku ya pili mkubwa kutoka, nikawaachia vumbi tu.
  12. framjuh

    Tapeli rachel atafutwe

    hahahhaha dah kweli hawa mbwa washenzi hata me pia walinitumia kama hii ila me nikamwambia alipe yeye hiyo 30 then nitamlipa kiiiimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pumbaf zake,wakajipange upya:nimekataa
  13. framjuh

    Jirani kanitesa usiku kucha mweee!!!

    cpati picha huyo mmama na mbilikimo maana nasikiaga dushelele zao ni moto wa kuotea mbali kwa jinsi zilivyo jazia kama miguu yao
  14. framjuh

    Tabia za akina dada zinazonikera!!

    hahahahaahah no cooment hapo
  15. framjuh

    Kumbe Chimpazees nao mabingwa wa kuhonga?

    na washangaa wanaume ambao nao wanataka kuongwa kama wanawake
  16. framjuh

    Haya ni mapenzi au kujidhalilisha!!

    pole yake jamani na kama ni dawa itafikia kipindi itaisha 2 nawe ucwe na wasiwasi kila ki2 kitaenda sawa 1 day ma dear
Back
Top Bottom