Search results

  1. L

    Tutor for communication skills and business skills is highly needed.

    Qualifications: -BA in linguistic or Diploma in linguistic. -Should able to teach Certificate and Diploma students. Contact: 0712609880.
  2. L

    LIBRALIAN is needed, immediately:

    Qualified person will be employed as a COLLEGE LIBRALY. REQUIREMENT: 1.'Diploma in libralian', 'Diploma in record management and libralian' or 'Diploma in information systems and record management'. 2. Able to communicate in English and swahili. 3. Torelant to work up to saturday noon...
  3. L

    Programer in PHP and Mysql DB and Web Design Available

    Nitumie CV yako na copies of certificates to: truckfast49@yahoo.com
  4. L

    JOBS OPPORTUNITY IN DAR: Deadline 05/09/2012

    1. Instructors in web design and database principles: Qualifications; -Must have Advanced diploma in Computer science/ Bsc. in computer engineering & IT/ Bsc. in Computer science/ Bsc. in IT. -Must have undergraduate GPA of at least 3.5 -Salary: 500,000/= net per month plus allowances...
  5. L

    Job opportunity:

    1. Instructor in web design and database principles: Qualifications; -Must have Advanced diploma in Computer science/ Bsc. in computer engineering and IT/ Bsc. in Computer science/ Bsc. in IT. -Must have undergraduate GPA at least 3.5 -Salary: 500,000/= net per month. 2. Instructors in...
  6. L

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Dr. Slaa kamwe hawezi kulinganishwa na Zitto! ni sawa na Tembo vs sisimizi(zitto)
  7. L

    Mh. Zitto Naomba Feedback hapa ........!

    zito anapenda sana Fedha, anahongeka kirahisi. abhabunge bhenshi bhi kigoma ntibhafishe umusimamo, twimbhuke ye Dr. Kabour alikuwa zaidi ya zito lakini alichotufanyia kwa magamba we acha tu! Zitto elewa CCM hawana shukrani hata kidogo, wasikie wakubwa zako-utatumikaaaaaaaa weeeeee mwisho wa...
  8. L

    Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Naomba Mheshimiwa Membe aelewe kuwa kila mtanzania kwa majimbo yote ya nchi hii analipa kodi, kodi hii inakwenda serikalini, mwisho wa siku serikali inagawa kwa maendeleo ya maeneo tofauti kulingana na utashi wa viongozi wa wizara husika. Kauli ya Membe kupitia kipindi cha DK 45 ITV kuwa...
  9. L

    Nchemba anatumiwa, CHADEMA na NCCR kuweni makini

    jamani siku hizi NCCR wanakuwa kapu moja na CDM, NCCR ni wanafiki-wazuga tu bungeni kuwapumbaza wasioelewa kuwa wao ni CCM-C, chama kilicho makani kuwakomboa wananchi na ambacho ndicho taget ya CCM ni CDM basi, hata huyo nchemba/chemba/mfereji wa maji taka-yeye anadili na cdm tu! kitu ambacho...
  10. L

    huyu SAED KUBENEA wana JF yuko wapi?

    Nimekuwa msomaji mzuri wa gazeti la mwanahalisi, mara zote habari muhimu ilikuwa ya huyu mpiganaji-alikuwa anatoa habari critical zenye uchunguzi wa kina: Kuna kipindi waziri wa ushirikiano wa africa mashariki kupitia kipindi cha dk 45 ITV alitoa shutuma; nanukuu: "ninasikitika vita hii ya...
  11. L

    Angalia na Usikie MWENYEWE!

    THIS IS MY BEST EVER SPEECH TANGU NIMEANZA KUSIKILIZA NA KUFUATILIA BUNGE! naamini CCM hawatamani kabisa 2015 ifike!
  12. L

    AJIRA: Startimes na kuwanyanyasa watanzania ndani ya nchi yao

    Inasikitisha kuwa na wawekezaji wa aina hii, Mtanzania mwenye degree analipwa 250,000/= hii ni aibu. mtu hana jinsi, inabidi afanye kwa sababu hana ajira. Jamani hebu serikali ifumbue macho, wanakusanya pesa nyingi sana. Kwanza hata kodi hawalipi! Jamani wana JF hebu tuangalie jinsi ya...
Back
Top Bottom