Search results

  1. M

    Interview CMSA

    weken maswali wakuu tupashe kidogo
  2. M

    Nanunua mitungi empty ya gas orex na mihan

    tafadhali mimi ni mjasiria mdogo nahitaji mitungi ya gasi kg 6 na 15 kg kwa alienazo anitumie SMS 0712859430 thanx
  3. M

    Wasomali walifikaje Tabora?

    Sio kosa lako unawaza tu kuolewa na mchaga nyie wagosi mna shida sana hamuwazi kutafuta ila kuolewa ukae ndani upige umbea kama umeona umekosa mchapakazi wa kichaga kajiuze kwa wasomali tuachen tuoane wenyewe wachapa kazi huulizwi unataka busu ngapi ila umeleta sh ngapi
  4. M

    Tanzania Postal Bank (TPB) wanatoa commission tu

    . Hebu tupia huo mkataba wao tuusome mkuu tafadhali
  5. M

    Tangazo la kazi tpb team leader/freelancer

    Habari zenu ndugu zangu naomba mwenye lile tangazo la kazi tpb katika nafasi za freelancer na team leader please anisaidie kuliweka hapa jamvini nina shida tafadhali
  6. M

    M-pesa, tigo pesa line needed soon

    Aliye na line ya tigo pesa au m pesa nahitaji aniuzie nataka niwe mjasiria mali
  7. M

    Bei ya pikipiki

    1,500,000boxer 2.05, sunlg 1.8 Santa 1.6,Yamaha 1.6, kinglion1.5
  8. M

    She wants a kiss

    Utakuwa umetokea songea maana kidogo ungefanana na mizengo
  9. M

    Lowassa si muadilifu, ni wa kuogopwa kama ukoma

    Soioni atakayeweza kumkaribia lowasa tulieni nyie mliotumwa na kina sita na membe hawana sifa ila chukueni ujira we nu ila ukweli lowasa ndo jembe lililobaki ccm . tukitaka maendeleo ya kweli basi lowasa ndo jibu
  10. M

    Chumba cha kupanga ubungo -kona

    Sipendi kuishi pale kwa sababu zangu binafsi.
  11. M

    Chumba cha kupanga ubungo -kona

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya ubungo kiwe kizuri na mahala penye usalaama wa kutosha bila dalali bei anzia arobaini kisiwe river side
  12. M

    Chumba cha kupanga ubungo -kona

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya ubungo kiwe kizuri na mahala penye usalaama wa kutosha bila dalali bei anzia arobaini kisiwe river side
  13. M

    Mkazi wa Mwanza pata king'amuzi kwa 50000 tu.

    Nahitajicall me 0712859430
  14. M

    Nauza king'amuzi cha star times 40,000

    Sorry kimeshachukuliwa,
  15. M

    Nauza king'amuzi cha star times 40,000

    Hawa jamaa wanazingua network haishiki kabisa wenyewe wanatuuzia gali nataka nihame
  16. M

    Nauza king'amuzi cha star times 40,000

    Hawa Jamaa wanachosha network inazingua bora nihame
  17. M

    Mary's executive lodge

    Mary's day
  18. M

    Boxer bodacoda 1,000,000.

    nahitaji boxer used kwa 1m.
  19. M

    Chumba cha kupanga ubungo

    Nahitaji chumba cha kupanga ubungo garama iwe 30,000 maji yawe karibu contact 0712859430.
  20. M

    M-pesa, tigo-pesa, airtel-money.

    jamani wadau mi ni graduate ila sijapata kazi nataka kuwa wakala wa m-pesa, tigo-pesa nimekopa mtaji nimeshapata ila nimekosa fursa ya kusajiliwa na huduma hii, nilienda tigo wakaniambia wamesitisha usajili wa mawakala na voda wakaniambia vivyohivyo sasa nipo dilema nami nilishajipanga kufanya...
Back
Top Bottom