Search results

  1. kirumbi

    Muungano wa Madaktari wa Kenya, wawakataa Madaktari wa Tanzania

    KWanza inabidi ukumbuke kwamba sakata la bashite limewastua na wao pia, kwamba kama prezoo ameweza kumpa bashite kile kiti ilihali kwamba vyeti ni bashite, Inawezekana pia mka peleka Madactari 500 ambao wote ni bashite, kwahivyo wakenya wako sahihi kabisa.
  2. kirumbi

    Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron atangaza kujiuzulu baada ya Uingereza kujitoa EU

    Acha aende zake maana ange shawishi na wa tz waoane jinsia moja, kutokana na dhiki zetu za kuwatembezea bakuli kuomba msaada
  3. kirumbi

    Arusha nisaidieni kumpata huyu tapeli

    Hahahaha amdanlod yutub au hulkshare?
  4. kirumbi

    Hii kero ya matrafiki Arusha imezidi

    Huwajui hawa wajinga atakuambia "arafu we reo hujapiga mswaki" huku ana zunguka gari wakati hua ameshika leseni yako na kadi ya gari lazima ushuke umpelekee chochote ndio akuteme.
  5. kirumbi

    Wanafunzi wachoma moto Shule ya Sekondari Njombe, Polisi yawaadhibu baadhi

    Nime zifurahia adhabu nzuri walizo pata wajinga hao. Walidhani shule ilijenga kwa ajili yao tu?!!!! Yani kwakua wao hawataki shule wakaona waichome?!! Wapumbavu kabisa.
  6. kirumbi

    Simon Mwakifamba: Wasanii wenzangu na wananchi tupige kura ya NDIYO kwenye rasimu ya tatu iliyopende

    Kweli hawa ni zumbukuku! Hakuna haja ya kujali kazi zao ni kuzipiga copy kwa kwenda mbele maana kumbe wao sio watanzania ni "wabongomuvi"!
  7. kirumbi

    Simon Mwakifamba: Wasanii wenzangu na wananchi tupige kura ya NDIYO kwenye rasimu ya tatu iliyopende

    Ana akili ndogo kama kondoo. Wame mpa nini huyu??!
  8. kirumbi

    Jambazi sugu lenye kuwaibia na kuwaua wanawake Arusha lauawa!

    Japo kapicha kamoja basi tumuone huyo mndava.
  9. kirumbi

    Mwenye uelewa na hili afunguke

    Je Nikweli kwamba hakuna fisi dume na fisi jike? Maana nime sikia wengi wakisema kua Kila fisi ana sehemu ya kiume na sehemu ya kike. Lina wezekana hili? Je iko vipi hii?
  10. kirumbi

    Msichana Witness Obedi aliyefariki na kuzikwa atokea nyumbani kwake na kusimulia mkasa

    wafukue hiyo ngoma wacheki kama hamna mtu ndani ndio waseme Karudi, isije ikawa walizika mtu ambaye siye yule waliye tegemea. wafukue kwa uhakika zaidi.
  11. kirumbi

    Orodha ya marais 10 wavivu afrika

    Rais wa Mateja, Mh. Baba rizmoko na Mzee wa urojo.....
  12. kirumbi

    Winnie Madikizela-Mandela na tuhuma za mauaji ya kutisha...!

    Dah!!! kweli Askofu Tutu alikua na kazi nzito sana maana alikua ana dili na watu wakorofi na pia wengine wenye Majina magumu.
  13. kirumbi

    Kweli watu wana ugua vichaa

    http://old.hulkshare.com/iz8flthuojcw
  14. kirumbi

    Dr. Kitila Mkumbo asimamishwa Uongozi DUCE kwa kushiriki siasa akiwa Mtumishi wa Umma!

    Mbona Jakaya ni Rais na ni Mwenyekiti wa chama chake? Au hiyo sheria ime ainisha vyama ambavyo haupaswi kua kiongozi kama wewe ni mtumishi wa Umma?
  15. kirumbi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa uongozi mara moja

    Lema hawezi guswa kwa kua ni Mshauri wa Mwenyekiti.:peace:
Back
Top Bottom