Search results

  1. D

    Bahati bukuku na utajiri wa kutisha

    hv ukiishi kwenye ghorofa ndio tajiri wa kutisha eee?
  2. D

    Ndoa ina mwaka sasa inanishinda, sina hamu ya kufanya tendo la ndoa na mke wangu

    yaani hata mwenzio natumaini ha enjoy kabisa maana anaona una kibamia, sasa mkae chini mzungumze manakubaliana na hali zenu au? maana sio unalalamika nyumba kubwa na wakati wewe pia huna furniture za kuijaza wapo wenzio wanatafunta nyumba kubwa! usikimilie kumlaumu mwenzio nawe jua una kasoro...
  3. D

    Naelekea kudhulumiwa mtoto, naomba mwongozo wenu

    Yaani ulichofanya unaona ni sahihi! ? Kuwa mpole ujue mtoto yuko wapi! Pengine kuna makubwa usiyoyajua kuonekana kwako kunawatia watu hasira na uchungu! Una uhakika mtoto yupo?
  4. D

    Nitawasemehe wote walionikosea, lakini siyo huyu mwalimu

    Nilifikiri labda alikulawiti! Kaaa kuchapwa tu usimsamehee mtu! Wewe utakuwa umelelewa kimayai sana. Mi nilichapwa na fimbo ina vifundo ikanitoboa mkono hadi leo alama ninayo na miaka zaidi ya 20. Huwa nikikutana na huyo mwal hadi hela ya soda nampa wala sina kinyongo kabisa! Samehe. Nawe...
  5. D

    Ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu inapumilia mashine

    Kama hujui kitu bora unyamaze kama nyalandu ni mbunge wa Iramba Mwigulu naye ni mbunge wa wapi?
  6. D

    Cake nzuri ya birthday

    Mansese NY!
  7. D

    Diamond kupata mtoto

    Congratulations Dai!
  8. D

    Flora Mbasha: Emmanuel hakuwa chaguo langu

    Hakuwa chaguo lake ina maana alilazimishwa? Hv wokovu wake uko wapi kama hawezi kusamehe? Mtoto mdogo anang'ang'ania talaka. Kwa hiyo maisha ya uzinzi ndio anayapenda! Flola kama unapita humu rudi kwenye ndoa yako huyo gwajima ipo siku atakutema tu. Au unadhani wewe ni special sana? I wish...
  9. D

    Mfahamu Salma Kikwete

    Boss 0(Vil. L 1
  10. D

    Mfahamu Salma Kikwete

    Mama salama kikwete ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa ngulunyenye!
  11. D

    Zitto: Nina sharti moja tu kurudi CHADEMA

    Mbona kabla ya mgogoro alishasemaga hana mpango wa kugombea tena?
  12. D

    Sasa nimeelewa siri ya utajiri wa Ridhiwan Kikwete

    Ingewekwa orodha ya mali zake tujue huo ubilionea uko wapi!
  13. D

    Ubora wa binadamu wenye miguu yenye uvungu

    Sure! Uko sawa kabisa!
  14. D

    Unajua kwanini Mwakyembe alikaa kimya?

    Hi4t9gp8knmn6,g,pm.thump,k
  15. D

    Ajali mbaya mbele ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Temeke

    Tuliza munkari , ajali imetokea so what! Tunaomba utupe taarifa za binadamu wenzetu wana hali gani? Mungu warehemu kama ni majeruhi.
  16. D

    Madudu mishahara ya UDSM

    Sasa hii nayo ni habari? Tukusaidie nini!
  17. D

    Shemeji

    Ongea kilichokusibu direct! Unaandika kama mzee! Hushangai kila mtu hakuelewi? Tulia kwanza pombe zikuishe kichwani uje kwa upya!
Back
Top Bottom