Search results

  1. F

    JWTZ, wafanikiwa kutegua bomu lililokuwa limetegwa visiwani Zanzibar

    Mara hii hamumpati mtu, CCM wanajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe. Wazanzibari mara hii hatuchokozeki na hatuto rudi nyuma kudai haki yetu. Propaganda za kutaka kuungwa mkono kimataifa... du, too little tootoo late
  2. F

    TBC-1: Karume aliuawa na utawala dhalimu wa Sultani wa Kikoloni wa Waarabu mapema mwaka 1970

    Karume aliuwawa mara tu baada ya kuwa na wasiwasi Na ghilba ha hili dubwasha muungano, Karume aliuliwa na utawala dhalimu wa Tanganyika, tusizunguuke mbuyu
  3. F

    Rais wa Gambia atangaza nchi yake kuwa dola ya Kiislamu!

    Angola ilishajitangaza kua ni nchi ya kikristo haikuwekewa vikwazo wala hakukuwa na longolongo.
  4. F

    Je wanasiasa na viongozi wa zanzibar wako mbinguni au ulaya?

    Hakuna chama chochote cha siasa kinaweza kubadili katiba ya Zanzibar , ni lazima kwanza kuweko na kura ya maoni, yaani wazanzibar wenyewe waamue, hivyo ndio kariba yao inavyosema
  5. F

    Milipuko yatikisa Zanzibar

    Na ndio maana anti - Zanzibar wanafanya hivi ili kuitia doa Zanzibar na watu wake kwa mwamvuli wa uislamu. Tangu Wazanzibar waamke na kudai zanzibar yao ndipo matokeo haya yanafanyika na utaona media za upande wa pili wa muungano ukizidisha chumvi katika matokeo yanayotokea zanzibar kana kwamba...
  6. F

    Mizengo Pinda: Mnaitaka Tanganyika ipi?.

    Kwa nini iku zote wanapotetea serekali mbili siku zote ufafafanuzi unakuwa yale mabaya lakini hawatuelezi faida ispokuwa udugu na umoja wa kitaifa na nyerere kasema, what!
  7. F

    Mizengo Pinda: Mnaitaka Tanganyika ipi?.

    Hoja zaifu za Pinda , hoja za nyanya na unyerere zimepitwa na wakati
  8. F

    Mizengo Pinda: Mnaitaka Tanganyika ipi?.

    Sisi wazanzibar tunataka zanzibar yetu, kama pinda na anti- Zanzibar sentiments wezake bado wanaweweseka usingizini kazi kwao, wache wakatae asili yao kwani mkataa kwao mtumwa.
  9. F

    Marais watatu Nchi moja imeonekana wapi ?

    Damu ya watanganyika imemwagika kumtoa Sultani kwani mlitumwa, ni kujipendekeza kwenu tu kwa wakoloni, damu iliyomwagika ni ya wazanzibar na sio watanganyika.Watanganyika ndio waliouwa maelfu ya wazanzibar waliokuwa hawana hatia
  10. F

    Marais watatu Nchi moja imeonekana wapi ?

    Kwanza huyo Dr Shein ana tittle deed ya Znzibar kwa maana hiyo Zanzibar ni ya wananchi wa zanzibar na kwa maana hiyo hahami mtu , pili bunge la katiba ni taasisi inayowakilisha wananchi pamoja na kuchambua maoni yao yaliyomo kwenye rasimu kwa hiyo sio milki ya mtu binafsi. Na wewe huna uzee wa...
  11. F

    Marais watatu Nchi moja imeonekana wapi ?

    Naona umepitwa na wakati wewe mzee, hujui unachokisema, huijui Zanzibar kwa sababu wewe ndio wale anti - Zanzibar sentiment, ninachokwambia kashindwa baba yako nyerere utaweza wewe, hujui lolote wewe ni brain washed umejazwa unyerere ubongoni mwako na umekujaa
  12. F

    Marais watatu Nchi moja imeonekana wapi ?

    Baba yenu nyerere na vibaraka wake ndio waliomtuma kwa hiyo wewe na nyinyi ndio mkahani
  13. F

    Marais watatu Nchi moja imeonekana wapi ?

    Kinachochekesha mkiitwa Watanganyika mnakasirika yaani mnakataa asili yenu na mnasahau kwamba mkataa kwao ni mtumwa.
  14. F

    Marais watatu Nchi moja imeonekana wapi ?

    Zanzibar kwanza , kizazi cha sasa cha Kizanzibar sio kizazi cha kupandikiza chuki sijui wewe mpemba wewe muunguja, sijui sultani atarudi , sijui zambi ya ubaguzi na unyerere, bullshit, tunataka Zanzibar yetu huru , hakuna cha CUF,CCM,CHADEMA wala siasa, zanzibar huru tutairejesha sisi wazanzibar...
  15. F

    Marais watatu Nchi moja imeonekana wapi ?

    Kama mapinduzi yamefanyika , Zanzibar haiwezi kuwa mkoa wa Tanganyika hata mfanye nini, Zanzibar ipo na itaendelea kuwepo, wale anti-Zanzibar sentiments ukiwemo wewe Pasco, tunakwambieni go to hell....f**** haters.
  16. F

    Siri ya kudai mamlaka kamili na mkataba Zanzibar hii hapa.

    Mzanzibar ni mzanzibar tu hata iwe asili yake imetoka unakokujua wewe, tumechoka na kasumba zenu lakini hatukubali kugawiwa kwa rangi, asili wala chama, sisi ni wamoja kaa ukijua ukabila unakutafuneni huko Tanganyika, kasumba na Unyerere.
  17. F

    Siri ya kudai mamlaka kamili na mkataba Zanzibar hii hapa.

    Mnolalamika nyinyi vinganganizi ,umeme wenu chukueni, mbatata zenu msituuzie halafu muone nani atakufa njaa
  18. F

    Siri ya kudai mamlaka kamili na mkataba Zanzibar hii hapa.

    Naona mnanungunika tu ,mzigo mzigo mzigo sasa mnachokingangania kitu gani, kama umeme chikueni wenyewe , mmekuwa vinganganizi kupita kiasi. Jua tuanalo, bahari tunayo , upepo tunao hatutoshindwa na umeme, for your information kero ni hili dubwasha mnaloita muungano, nendeni tupate kupumua
  19. F

    Ulaya walaumiwe kwa kero za muungano wa Tanzania

    Zanzibar ilijulikana zamani sana hata kuliko Tanganyika, na usawa no lazima kwa sababu zilizoungana ni nchi mbili huru haijalishi ukubwa na udogo, hata binadamu wako wafupi, warefu, masikini, matajiri n.k lalkini wote ni binaadamu
  20. F

    Ni nini kinachosumbua Maalim Seif?

    Si muungane na Kenya ,vijisiwa vyenyewe vidogo, hebu tuachieni hatutaki hoja za biashara ya mbatata , bora tufe nyaa kuliko kuwa watumwa. Ustaarabu: hii karne ya ishirini na moja bado watu wanalalia ngozi za kondoo, wanauwa binaadamu kwa imani za kichawi, wanauwana kwa shilling 100 tu n.k
Back
Top Bottom