Search results

  1. S

    Natafuta mke

    mimi hapa anko naamini nitakufaa!!!nipm
  2. S

    Natafuta mume, umri kuanzia miaka 30

    Mimi ni msichana umri miaka 30, nipo hapa kutafuta partner atakayekuwa tayari kuwa mume wangu. Awe mkarimu, mwenye hofu na Mungu, Mkristo, awe na miaka isiyopungua 30. Mwenye nia ya dhati aniPM.
  3. S

    Mchumba wa kike anatafutwa

    Hi,naomba uniPM your number,plz
  4. S

    Mchumba wa kike anatafutwa

    Hi Mambo,am interested,naomba unipm, plz
  5. S

    Natafuta mapenzi ya kweli, lakini sipati!

    Mimi hapa anko wife material,tuwasiliane
  6. S

    Mashine ya Ice Cream na ya Cone (Waffle) zinauzwa

    nataka kujua matumizi yake ya umeme,inaweza consume kiasi gani kwa mwezi,na bei yake ya mwisho sh ngapi?
  7. S

    Natafuta serious wife.

    Wengi wao hawapo serious!
  8. S

    pray for me

    Asanteni sana kwa mawazo yenu,hope mwaka huu mungu atatenda,samahani kwa kuwapa utata wa jinsia,mimi mi msichana wa umri wa miaka 27,nawapenda sana!
  9. S

    pray for me

    Thanx,huwa najichanganya sana tu,but wote ninaokutana nao hawana nia ya kuwa na serious relationship.
  10. S

    pray for me

    Namshukuru mungu kwa kuniwezesha kuuona mwaka huu na pia kuwa mmoja wenu,ila pamoja na hayo yapo mambo ambayo nilitamani sana kuyapata mwaka 2012 sijayapata,mojawapo ni kuwa na mchumba ili mwisho wa siku tuoane,nimeomba sana kwa hili lakini sijafanikiwa,ni muda sasa nimekuwa nikisali kwa ajili...
  11. S

    Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

    Habari,nilikuwa naomba ushauri wa kitaalam ,nimekuwa nikipatwa na matatizo ya mwili kukosa nguvu na maumivu ya mgongo kwa muda sasa na kukusa usingizi mara kwa mara,uzito wangu pia umekuwa mdogo kwani kwa sasa nina miaka 27 na kilo zangu ni 41 je hii inaweza ikawa ndio sababu ya maradhi hayo...
  12. S

    Mapenzi yalivonitia umasikini.

    Hapo umenigusa,jifunze kufanya maamuzi yako mwenyewe,si mapenzi yaliyokufanya maskini ila hukutumia vizuri akili yako katika kupanga maisha ili mwisho wa siku utimize malengo yako.ni hayo tu!
  13. S

    Nini siri ya miguu....?

    kazi tunayo si tusio na miguu ya bia!napita!
  14. S

    nampenda lakini anajifanya hajali

    Nimependa ushauri wako kama mungu amepanga awe wako atarudi tu worry not!kuwa na subra!
  15. S

    Natafuta boyfriend

    Kwa jinsia mi ni dada wa miaka 27 ,natafuta boyfriend. Atakaye nipenda kwa dhati hatimaye tuje kuwa mke na mume,awe ameajiriwa,asiwe na mtoto wala aliyewahi kuoa,awe na hofu na mungu,mkarimu,mrefu,asiwe mweusi sana na la muhimu awe mkristo, Atakaye meet vigezo ani pm.asante.
  16. S

    Tuwasiliane natafuta mchumba

    Hi,I would like to know u better,seriously nitafute my be we will make a great couple!
  17. S

    Tuwasiliane natafuta mchumba

    Hi,tuwasiliane ,naamini ninavigezo unavyotafuta,siriously
  18. S

    Mapito

    Yeah,unalosema ni kweli matatizo sometime yanatusaidia kuwa brave na kukabiliana na maisha
Back
Top Bottom