Search results

  1. M

    Kikwete: Wanaokwepa Kodi hawataacha kirahisi, Magufuli endeleza mapambano

    Majipu mengine ndiyo haya ,bado hayajaiva yatulie tutayakamua muda ukufika. Kukaa kimya pia ni busara.kwani naweza kuzuia kinywa kusema ila siwezi kuzuia masikio kutosikia
  2. M

    Edward Lowassa: Ahadi ya 1. elimu, 2. elimu,3. elimu

    kwa mantiki hiyo ,hakuna elimu hapa
  3. M

    Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

    wafungwa wanaofungwa maisha huwa hawafanyi kazi za nje ,funguka ndugu
  4. M

    Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

    let me tell you something. kwamba hakuna kitu cha thamani kama uhai ,pale mtu anapoutoa uhai wa mtu mwingine utalinganisha vipi na kifungo cha maisha mtu akifungwa maisha atafanya mambo yafuatayo ,atakula,atalala,akiugua atatibiwa,atakutana na ndugu zake ,jiulize yule aliyeuwawa anapata haki...
  5. M

    Amani inapotoweka nani anakua salama

    Mara zote amani inapotoweka yafuatayo hujitokeza kuvunjwa kwa haki za binadamu kupoteza mali uharibifu wa miundombinu machungu visasi hila uzalishaji kusimama au kushuka uharibifu wa mazingira
  6. M

    Kauli ya mh mbowe kuhusu civil dis obidience inahatarisha amani ya taifa letu

    Naomba nianze kwa kusema hivi (unapodai haki kwa kuvunja haki za wengine unaweza kupoteza hata hiyo haki unayoidai) kazi ya bunge ni kutunga sheria lakini wabunge ndio wamekua wa kwanza kuvunja sheria hizo wanazozitunga wao . Hivi kauli aliyotamka freeman mbowe siku ya mkutano wa vyama shirika...
  7. M

    Wapinzani na Rasimu ya Katiba: Jipangeni kutetea hoja kwa mantiki

    Kwani bunge la katiba likimaliza kazi yake na kuandaa rasimu ya pili ya katiba itarudi kwa wananchi na kupigiwa kura ya maoni (maamuzi yote yako mikononi mwa wananchi kupitia kura zao za maoni juu ya rasimu ya pili ya katibu) tufunguke jamani
  8. M

    Ivona Kamuntu (Startv): CHADEMA Wameshajitoa Katika Muungano...!

    Kwani m/kiti wa chadema zanzibar ni nani? Nifungueni
  9. M

    Chadema na siku ya CIVIL DIS-OBIDIENCE

    Naomba nitoe sikitiko langu kwa wa tanzania na tume za haki za binadamu kwamba ;kwa kua walioongea ni wapinzani .wako sahihi kutoa kauli kama hizo zinazohamasisha wananchi kuvunja sheria. Nashangaa pale waziri mkuu alipotoa kauli ya vyombo vya dola kuwapiga watakaokaidi amri halari, tume ya...
  10. M

    Chadema na siku ya CIVIL DIS-OBIDIENCE

    Naomba nitoe sikitiko langu kwa wa tanzania na tume za haki za binadamu kwamba ;kwa kua walioongea ni wapinzani .wako sahihi kutoa kauli kama hizo zinazohamasisha wananchi kuvunja sheria. Nashangaa pale waziri mkuu alipotoa kauli ya vyombo vya dola kuwapiga watakaokaidi amri halari, tume ya...
  11. M

    Kifo cha CCM kimetimia

    Cjaona chama kilichojiandaa kuwatoa watanzania hapa walipo kwenda nchi ya ahadi kwani vyama vyote vimejaa unafiki tu kwa wananchi vinajifanya viko pamoja nasi kwa kua vinatamani kushika dola na kilichoshika dola nacho hakieleweki tuache propaganda tuseme ukweli.
  12. M

    Siipendi CCM, Naichukia CHADEMA ila Namkubali Zitto Zuberi Kabwe!

    Wachangiaji hebu amkeni; vyama havitatufikisha kokote ila, tunahitaji viongozi shupavu,wenye ueledi na wazalendo.kwani kwenye msafara wa mamba na kenge wamo pia hata mijusi na sorokoto. Ndivyo vyama nawafuasi wake walivyo .kwanza watanzania tuachane na vyama tuwe wazalendo wa taifa letu ndio...
  13. M

    Mabenki na mikopo ya biashara kwa wahitimu

    Ninaungana na mawazo yako mapana ,na yaliyojaa utashi wa mabadiliko na mapinduzi .kwa ufupi tumtu mpaka kufika hapo na kupata vyeti kiasi kikubwa cha pesa na muda zaidi hata ya hicho kiasi ulichokitaja :naomba wabunge hii ikawe ni hoja binafsi bungeni
  14. M

    Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    Nawatakieni mafanikio mema. Ila kumbukeni wao wakiugua wanaenda kutibiwa india kwa ujumla hawataathirika kwa sasa ila subili tufe tuone watamuongoza nani mwisho tukiwatoa madarakani tuone kama wataenda kutibiwa india tutakutana nao kwenye mabenchi ya mwananyamala
  15. M

    Wenyeviti wa vijiji na vitongoji kupatiwa posho kutoka serikali kuu

    Ni zaidi ya miaka 35 toka serikali ianzishe serikali za vijiji ,ambazo ndio msingi wa maendeleo na demokrasia zikiongozwa na wenyeviti wa vjiji na vitongoji ,lakini viongozi hawa wamekua wakifanya kazi bila ya kua na posho wala mishahara na kupelekea kudhoofisha shughuli za maendeleo katika...
  16. M

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    katika bajeti hii naomba makamanda muilazimishe serikali kupitia hazina kupeleka fedha za miradi mojakwamoja kwenye vijiji,kata,shule au taasisi nyinginezo kupitiaakaunti zao ili kuwezesha fedha kufika kwawakati moja kwa moja kwa wananchi,viongozi wa juu watapatiwanyaraka zitakazoonyesha...
  17. M

    JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    mnyika alikua sahihi kwani alisema haya wakati raisi yumo ndani ya bunge,kwa mtizamo wangu udhaifu wa raisi kwa kutembeza bakuli kwa wale anaowaita wahisani hajiamini hata kidogo na ndiye anayetuongezea deni la taifa kwa kukopakopa bila sababu ya msingi kwani sisi tunamtuma huko anakozunguka
  18. M

    Baadhi ya mambo ya msingi yanayopaswa kuwemo kwenye katiba mpya; nionavyo mimi, wewe je!

    · NAPENDEKEZA YAFUATAYO KATIKA KATIBA MPYA MIKATABA YOTE INAYOHUSU NCHI IPITIWE NA TUME/JOPO LA WATAALAMU ALAFU IPELEKWE BUNGENI KABLA YA KUSAINIWA NA RAISI. UWEPO WA MABUNGE MAWILI (I) BUNGE LA UWAKILISHI Hili ni bunge ambalo litatokana na kuchaguliwa kutoka kila wilaya ,na mbunge atakua...
  19. M

    mapendekezo ya katiba mpya

    · NAPENDEKEZA YAFUATAYO KATIKA KATIBA MPYA MIKATABA YOTE INAYOHUSU NCHI IPITIWE NA TUME/JOPO LA WATAALAMU ALAFU IPELEKWE BUNGENI KABLA YA KUSAINIWA NA RAISI. UWEPO WA MABUNGE MAWILI (I) BUNGE LA UWAKILISHI Hili ni bunge ambalo litatokana na kuchaguliwa kutoka kila wilaya ,na mbunge atakua...
  20. M

    Tujadili katiba.

    · NAPENDEKEZA YAFUATAYO KATIKA KATIBA MPYA MIKATABA YOTE INAYOHUSU NCHI IPITIWE NA TUME/JOPO LA WATAALAMU ALAFU IPELEKWE BUNGENI KABLA YA KUSAINIWA NA RAISI. UWEPO WA MABUNGE MAWILI (I) BUNGE LA UWAKILISHI Hili ni bunge ambalo litatokana na kuchaguliwa kutoka kila wilaya ,na mbunge atakua...
Back
Top Bottom