Search results

  1. N

    Pinda akataa gari la kifahari

    Ndugu hizo kauli zako ziangalie vizuri kusema kiongozi kama huyu ni dhaifu kwenye mada ya gari mimi binafsi siafiki kwasababu naona unataka kututoa nje ya mada. Pinda alitueleza wakati anahutubia mkutano huku kwetu kwamba mtoto wake anasoma arusha tena shule isio ya gharama kama hio...
  2. N

    Pinda akataa gari la kifahari

    kuna mdau hapa anasema ni kweli alikataa na gari lenyewe ni v8 na hawajui liko wapi. kwasasa naamini hio kauli ya bibi Lisu
  3. N

    Pinda akataa gari la kifahari

    sanaa zipi? mmeshatumwa. nilijua tu!
  4. N

    Pinda akataa gari la kifahari

    Bibi Lisu akichangia bajeti leo ameeleza kuwa Pinda alikataa gari la kifahari. Mimi sikulijua hili. Hongera mheshimiwa japo unapigwa vita vikali sana.
  5. N

    Hosea:Dola za kimarekani bilioni 148 hupotea kila mwaka kwa rushwa Afrika na kuwekwa benki za nje

    Ndugu Hosea anasema hivi wakati kuna fununu ambazo hazija thibitishwa na upande wowote kwamba kuna mfanyabiashara maarufu wa Tanzania anataka kupeleka pesa nje ya nchi. Hili nalo wadau likoje maana sielewi hapa? Mkutano wa kurudisha pesa unafanyika Tanzania wakati kuna mtu anataka kutoa pesa...
  6. N

    Ushauri: Bashe jiuzulu New Habari corp. kwa makosa ya rushwa yaliyofanywa na watu wa chini yako

    WanaJF huyu jamaa anaitwa Hussein Bashe ni kijana anaelelewa na mafisadi. Pia kwa taarifa zinazoendelea kufanyiwa uchunguzi ni kwamba amekuwa agent wa kuchafua watu kwenye vyombo mbali mbali. Sasa kwa ushauri wa bure tunamwambia ajiuzulu tuu ili kuirudishia new habari sifa yake ya zamani...
Back
Top Bottom