Search results

  1. B

    Sakata la Tegeta Escrow: Mengi awavaa Masele, Wassira na Maswi

    Huyu Mzee anapenda kudandia mambo kwa masilai binafsi. Aliwahi kutoa taarifa kwenye vyombo vyake kuhusu mafisadi papa. Kati aliowataja kesi zao zilikuwa tayari mahakamani-Kesi ya EPA. Wanasheria wao wakataka kesi zao zifutwe maana media zilisha wahukumu. Mpaka sasa ilo shauri bado lipo mahakama...
  2. B

    Luthuli ni jina la Mtaa wa Ikulu

    Kama jina la Ocean Road limebadirishwa kuwa Barak Obama. Kwa nini Hospitali ya Ocean Road haijabadirishwa kuitwa Barak Obama Hospitali? Maana Ocean Road haipo tena.
  3. B

    Watanzania wanahoji safari za Rais Kikwete, Upinzani Botswana unahoji Rais Khama kutosafiri

    Inamaana kuwa chotara si kuwa mwafrika halisi? Uafrika ni nini ni weusi au? Ian Khama mamake ndo mzungu babake mwafrika. kwa hiyo anafaya hivyo kwa kuwa ana damu ya magharibi? Mbona mtagulizi wake Festus Mogae ambaye hakuwa na damu ya magharibi alikuwa anafanya hivyo hivyo?
  4. B

    Togolani Mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa JK - Hotuba

    Tony babake ni muislamu na mamake mkristo. sijui ili swala udini linakujaje?
  5. B

    Nani atatosha kuwa Waziri wetu wa Fedha baada ya kifo cha Dk. Mgimwa?

    Kigoda ni mmowapo wa mawziri walioojiwa na kamati kuu ya CCM kama waziri mzigo!
  6. B

    Lowassa ampinga Warioba serikali tatu

    Si agombee wa urais wa Tanganyika kama wa muungano siyo deal!
  7. B

    Kinana na watetezi wako mnaishi wapi?

    Kinana mwenyewe alikiri kampuni yake kuhusika kusafirisha meno ya tembo. Lakini yeye hausiki!
  8. B

    Nani yu nyuma ya mgogoro wa mpaka Tanzania VS Malawi?

    Jambo lilowazi ni kwamba statement ya kujitoa kwenye mazungumzo ya upatanishi aliyatoa baada ya kurudi kutoka ziara ya Uingereza na Marekani. Kwa hiyo ukweli ni kwamba walio nyuma ya ili ni waingereza kwani kampuni inayofanya utafiti ni ya huko.
  9. B

    Pope Benedict VXI atangaza kuachia ngazi

    Sababu amezitoa kwenye tamko lake la kujiuzulu. Uzee na kutokuwa na nguvu za kutekeleza majukumu yake.
  10. B

    Pope Benedict VXI atangaza kuachia ngazi

    Waache wakatoliki na ukatoliki wao! Ndiyo imani yao!
  11. B

    Pope Benedict VXI atangaza kuachia ngazi

    Sababu amezitoa kwenye tamko lake la kujiuzulu. Uzee na kutokuwa na nguvu za kutekeleza majukumu yake.
  12. B

    MBATIA kufukuzwa Ubunge?

    Kama mtaala ulikuwep,o kwa nini imemchukua waziri muda mrefu kuuleta bungeni. Mtaala ni document ambayo anagalau wadau na viongozi wa elimu wanatakiwa kuwa nao. Pale Dodoma, kuna maofisa elimu wa mkoa,wilaya, nk. Ningetumaini wangekuwa nao.Kwa hiyo waziri alipotakiwa aulete lilikuwa ni swala la...
  13. B

    CHADEMA yamshauri Nape atafute familia yake kwanza ndipo aingilie mambo ya ndani ya CHADEMA

    Kuna habari kwamba Nape ni mtoto wa Profesa mmoja maarufu kutoka Mbeya! kwa mjibu wa ndugu zake wa karibu,tena wanasema amefanana naye sana!
  14. B

    Kwa Wajasiriamali wa Kilimo cha Mazao ya Chakula/wafanya biasahara wa nafaka za chakula

    Fursa kama hii ya uhaba wa chakula duniani ni muhimu sana kwa wajasiliamali wa Tanzania. Tatizo ni kwamba nafasi kama hizi huwa atuchukui advantage yake wakati zinapojitokeza. Ni muhimu kujipanga haraka nakuweza kuingia kwenye hii biashara ya mazao ya nafaka.
  15. B

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Ongereni Makamanda!
Back
Top Bottom