Search results

  1. D

    Waraka wangu kwa viongozi, wanachama na wapenzi watukufu wa CHADEMA

    Japo kuna msemo usemao adui muombee njaa, bado naungana na mawazo ya kaka yangu Manyerere ukweli ni kwamba hakuna CDM bila Zzk! wengi wa vijana waliopo CDM walipata ja kubwa baada ya kumuona kijana mwenzao akipata nafasi za juu za uongozi bila kuogopa chama tawala, aliishambulia serikali kwa...
  2. D

    Kundi la G55 walioidai Tanganyika mwaka 1993...

    Wana jamvi naomba mwenye list ya waliokuwa G55 aniwekee hapa nina shida nayo tafadhali
  3. D

    DC wa CCM amtapeli kimada wake mamilioni ya fedha

    Sasa ukopeshane pesa na mtu(Mpenzi kama kweli) kimya kimya mnaoshindwa kulipana mnakuja JF ili tufanyeje? thats rubbish!
  4. D

    Hongereni chadema!

    Si rahisi kutoa pongezi hizi lakini nalazimika kusema hongereni sana. mmefanya kazi nzuri sana kwetu ss wa upande wa pili dhidi yenu, kwa miezi kadhaa Zzk amejitahidi kujipenyeza kwenye himaya zetu sina hakika sana ni kwa kiwago gani lakini ni kweli alijitahidi kujipenyeza! kwa kuwa Mungu bado...
  5. D

    Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Mabadiliko yapo mengi sana, mfano miaka hiyo eneo ambalo leo linaitwa Mwinyi kulikuwa na majaruba ya Mpunga na pori la miembe, nyuma ya Tabora Boys pia kulikuwa na pori kubwa ambako tulikuwa tukifuata Ndati leo hii kuna kitongoji kikubwa cha Kariakoo hali kadhalika nyuma ya tukutuku kuna mji...
  6. D

    Tanzia: Mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM (W)- Tabora afariki dunia

    Mdogo wangu Siasa isikufanye ukaanza ufikiri kwa kutumia Ma------! Jabir katika uhai wake ameugua mara kwa mara na amekuwa akitibiwa na familia kwa ushirikiano na CCM! marehemu hakuwa mwajiriwa wa CCM bali kiongozi wa kuteuliwa ngazi ya wilaya na mkiti Nkonkota na Mkiti wa Mtaa kupitia CCM...
  7. D

    Mbunge wa Kisarawe kiingereza bado ni alien language

    Nina Rafiki yangu amekuwa House Boy wa wazungu karibu miaka kumi na tano sasa japo aliishia la nne ana uwezo wa kuongea kiingereza saa 24 mfulululizo nadhani huyu angepata nafasi ya kuomba kura bungeni tungemsapoti ba ndugu!
  8. D

    Mwaka 2015 nitahusika pale TABORA MJINI.

    There will no be Chadema in Tabora under my dead body!
  9. D

    Tabora: Maandalizi yakolea kupokea M4C kuanzia Ijumaa hii

    Mnyamwezi wa Urambo mimi hasa ndiye Diwani wala hujakosea! Gamba Zito
  10. D

    Tabora: Maandalizi yakolea kupokea M4C kuanzia Ijumaa hii

    Nipo kati kati ya mji wa Tabora hebu nyie mnao jifariji niambieni Manispaa ya Tabora mna madiwani wa ngapi katika kata 25, mna wenyeviti wa mitaa mingapi katika mitaa 117? Hapa ndio kitovu cha CCM Bhanaa !
  11. D

    Tabora: Maandalizi yakolea kupokea M4C kuanzia Ijumaa hii

    Tabora kama ilivyoi historia ya Tanzania! ni ccm na CUF pekee mtakuja mtaondoka CCM daima
  12. D

    Uteuzi wa wajumbe tume ya mabadiliko ya katiba ngazi ya kata

    Ndg wana JF, kumekuwa na mkanganyiko mkubwa juu ya uteuzi wa wajumbe wa tume ya mabadiliko ngazi ya kata kuwa wajumbe wanaostahili kupiga kura ni kina nani? Wataalamu hawaruhusiwi kupiga kura, je kama mkiti amegombea na ameshinda/ameshindwa haruhusiwi kupiga kura,wagombea hawaruhusiwi kuwepo...
  13. D

    Kanda ya Magharibi makao makuu CHADEMA mmetukwaza

    Ngome ya CCM ni Tabora! nasikia jamaa anakacha kuzomewa kwa kuogopa nguvu ya CCM,
  14. D

    Uzinduzi CHADEMA kanda ya Magharibi,kufanyika march 8 mkoani Tabora

    Msitokwe na povu midomoni! Tabaora mjini tuna kata 25 madiwani 24 ccm mmoja tu tena alishiriki uchaguzi wa ccm wa kura za maoni kama mjumbe ndiye diwani wa cdm, narudia kusema CDM haina nguvu Tabora zaidi ya wanafunzi wa vyuo ambao wakiwa likizo Huwezi ona mtu kavaa sare wala nembo yoyote ya...
  15. D

    Uzinduzi CHADEMA kanda ya Magharibi,kufanyika march 8 mkoani Tabora

    Karibuni Sana Tabora mje muone nguvu ya CCM! hakuna Chadema Tabora wala haitakuwepo, Chama rafiki chenye nguvu Tabora ni CUF, nenda Soko kuu Tabora kaongelee habari za CDM kama hutong'elewa meno
  16. D

    Membe, Sitta na Llowassa hawamo kwa wagombea kamati kuu!

    Wana Jf, Taarifa nilizopata sasa hivi toka ndani NEC ni kuwa Membe, Sitta na Lowassa hawamo kwenye orodha ya walioteuliwa kugombea kamati kuu CCM.
  17. D

    CHADEMA yajipenyeza Tabora, Yashinda kwa kishindo uchaguzi

    Acheni uzushi, mnapozungumzia Tabora ina maana ya Tabora mjini au? kama kaliua semeni kaliua siyo cdm yajipenyeza Tabora kwa Tabora itachukua miaka endeleeni kutamba huko huko kwingine Tabora marufuku, kata 25 Diwani wa CDM 1 tena aliyejiunga na CDM siku ya mwisho ya uteuzi baada ya ccm kuteua...
  18. D

    UVCCM yatoa tamko kuwa imekosa mwelekeo

    Kijana sango hongera sana kwa speech nzuri usitarajie sana kupongezwa na kila mtu but kwa maudhui ya speech hiyo kuna kitu nakiona toka ndanai ya moyo wako keep it up tupo pamoja!
  19. D

    Uchaguzi UVCCM..Ally Hep Vs Sango: Mapandikizi ya Ridhiwani na Saanane

    Hey Guys! waacheni uvccm wafanye chaguzi zao kwa salama na amani, kwani chaguzi zote lazima ziwe na kelele za hapa na pale but long at last uchaguzi utafanyika kwa amani, na hakuna mtu mwenye kuweza kupanga safu kwakushawishi Tanzania nzima eti imchague fulani, ni kweli baadhi ya watu waweza...
Back
Top Bottom