Search results

  1. Sikonge

    Plot4Sale Viwanja Kigamboni

    Hii bei sijakuelewa. Waweza kuandika kwa ufafanuzi??
  2. Sikonge

    Plot4Sale Viwanja vizuri kwa makazi vinauzwa block 19, Kibada wilaya Kigamboni

    Huku kuna huduma Kama Maji , umeme na Barabara? Barabara ya kwenda Beach ipo? Kuna Mtu anaulizia.
  3. Sikonge

    Treni ya SGR Dar-Moro kuanza kutoa huduma Januari 2024

    Wanaweza wakaleta pia Train la hivyo la kizamani na likawa linasimama kila Kituo ila hazitakuwa na tofauti sana na Train La sasa la Diesel. Train za hivyo kwa sasa wanataka kuziacha na kubaki wanabebea Mizigo tu na abiria kidogo kwa sababu siyo Economical kabisa. Pia yanakuwa mazito sana na...
  4. Sikonge

    Treni ya SGR Dar-Moro kuanza kutoa huduma Januari 2024

    Hizo Class huwa hazipo kwenye Train hizi zilizoungana pamoja Kama nyoka. Hizo utazikuta kwenye Train za kizamani ambako kuna Mabehewa hadi ya kulala. Hii Train mpya itakuwa kwa ajili ya kukaa tu na hivyo nadhani itakuwa na Economy(second Class) & Business (first Class). Angalia hapo juu utaona...
  5. Sikonge

    Treni ya SGR Dar-Moro kuanza kutoa huduma Januari 2024

    SGR utalipa zaidi kwa sababu muda wa kusafiri ni Mfupi zaidi na siyo Umeme. Kwanza hata Train za sasa hivi ni za UMEME tofauti yake kubwa ni moja: SGR itachukua Umeme juu ya Train wakati Train za zamani ZINAZALISHA Umeme zenyewe na kuutumia. Ni sawa uwe na gari La Umeme halafu ufunge Tela Dogo...
  6. Sikonge

    Treni ya SGR Dar-Moro kuanza kutoa huduma Januari 2024

    Nadhani umeelezea kwa mfano halisi. Nauli zitakuwa juu mara mbili kwa Bus. Bus nyingi zitaanzia Morogoro kwani wasafiri wengi watakuja na Train na kutoka hapo kwenda Nikoa mingine. Walau unakwepa foleni ya Dar😂
  7. Sikonge

    Treni ya SGR Dar-Moro kuanza kutoa huduma Januari 2024

    Nimeuona huo uzi ila hayo yalikuwa mapendekezo ya LATRA na siyo TRC. TRC wao walipendekeza Kama nilivyosema hata kabla sijausoma uzi wenyewe. Nimetumia tu uzoefu wa Field ya Usafiri kujua kwamba bei zitakuwa juu mara mbili ya Bus na kuzidi kidogo. Yaani utoke Dar hadi Dodoma kwa masaa tuseme 4...
  8. Sikonge

    Treni ya SGR Dar-Moro kuanza kutoa huduma Januari 2024

    Nimesomea mambo ya Usafiri nchi kavu na hivyo Barabara, Reli na Viwanja vya ndege. Dunia nzima, usafiri wa abiria kwa Train unaleta Hasara kwa Mtoa huduma. Ila kwenye Mizigo wanapata faida kubwa sana. Miaka kadhaa nyuma, Wakurugenzi wa TAZARA na TRC walikuwa jamaa zangu na wao walisema hata kwa...
  9. Sikonge

    Treni ya SGR Dar-Moro kuanza kutoa huduma Januari 2024

    Usafiri wa Train ni wa uhakika zaidi na bei nafuu hasa kwenye Mizigo. Utekelezaji wake ni Topic nyigine kabisa. Hakuna Kama Reli kwa usafiri wa Mizigo..
  10. Sikonge

    Mwenye Smart Watch hii Inakuhusu usije tuletea andiko Humu JF Kama Ushuhuda

    Unavura na viratu, unadhani utarara hapahapa?... Alisikika Koku akimwambia Mteja. Waweza ulizwa pia kwenye saa...😂😂
  11. Sikonge

    Treni ya SGR Dar-Moro kuanza kutoa huduma Januari 2024

    Nauli itakuwa mara mbili ya nauli ya Bus. Wengine watakuja na Bei ya Train ya zamani, usiwaamini. Kwenda speed kubwa kuna gharama zake. Dunia nzima, hiyo ndiyo kawaida. Kwa Bus hadi Morogoro ni 10,000Tsh. Kwa Train ya SGR Hesabu nauli zaidi ya Tsh.20,000. Hapa naongelea uzoefu wangu wa kukaa...
  12. Sikonge

    Boniface Jacob ataja Mawaziri walionunua mahekalu

    Ni true story ya miaka ya 80 mwanzoni. Aliyeiba fedha alikuwa Ex-Waziri Umaru Dikko VS Major-General Muhammadu Buhari wakati akitawala Nigeria. BUHARI alikuta hazina imekauka na akaenda UK kuomba fedha kwa Malkia. UK wakamwambia kuhusu fedha za Dikko. Ila baadaye Dikko alikuja kurudi Nigeria...
  13. Sikonge

    Kwanini ndege hutengenezwa kwa kutumia "material" mepesi?

    Ndege mara nyingi haitakiwi kuanguka na ikitokea ni Uzembe wa Binadamu kwa asilimia kubwa. Ujenzi wake ni kama KIFUA cha Binadamu ambapo Mbavu zipo kulinda Kamoyo kasidhurike pamoja na mapafu bila kuhitaika Minyama kibao kulinda sehemu hizo. Nadhani sababu ni ileile kwamba tuwe wepesi. Ndege...
  14. Sikonge

    Dr. Robert Charles Gallo: The man who created AIDS

    Huu uzi sikujua hadi sasa watu bado wanaujadili. Yaani hadi nilishasahau hata Login yangu hapa :) Asanteni wote kwa michango yenu. itabidi nije niisome yote upya.
  15. Sikonge

    Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake

    Ha ha ha ha haaaa. Wa Kukaya Tabora. Mbwa analamba lakini :)
  16. Sikonge

    Tundu 'Frankenstein' Lissu

    Ngosha, Nabii Nyani Ngabu atafungua lini kanisa? Nasubiri kazi ya Mkusanya SADAKA.
  17. Sikonge

    Lissu kamnyamazisha mtu?

    Nipo Mkuu, Uhenga unasogea kidogo kidogo. Nawasoma Vijana kwa sasa.
  18. Sikonge

    Lissu kamnyamazisha mtu?

    Yaanai nimesoma hadi nikaanza kucheka. Mengine hata siyakumbuki tulikuwa tukijadiliana nini. Uzee unaingia sasa na siasa naanza kuziweka pembeni na kuwa msikilizaji/Msomaji. Asante kwa kumbukumbu hata hivyo.
  19. Sikonge

    Tundu Lissu kuzuiliwa Ujerumani

    Ras Makunja ni kweli yupo German. Nashangaa kwa nini barua hakuandika Peter Mfundo ambaye ndiyo Chairman wa Umoja kwa miaka mingi. Peter ni mmoja ya Watanzania wanaoheshima sana hapo Berlin. Ras Makunja ni MWANAMUZIKI Makini sana. Sema tu hapa barafu UNAMUONEA. Yeye na Siasa ni Mbalimbli....
Back
Top Bottom