Search results

  1. A

    Watanzania tuamke tudai katiba mpya

    Vh7Jon
  2. A

    Upepo umegeuka, Marafiki wa Lowassa wapinga swahiba wao kwenda CHADEMA, Apson Matatani

    Haya ni mawazo ya MTU mwenye fikra fupi sana
  3. A

    Kampuni ya uwekezaji NICOL ipo hai??

    Habari zenu Wanajanvi. NICO ni Kampuni ambayo ilikuja kwa kishindo kikubwa na kuweza kuushawishi umma kuwa ni kampuni ya ukusanyaji mitaji na kuiwekeza kwa niaba ya wanahisa. Wengi tulishwishika na wengi walinunua hizo hisa. Wakati wanaanza ofisi zao zilikuwa pale Raha Towers ghorofa ya 4. Ni...
  4. A

    Kuteremshwa(kushuswa)kwa mishahara, inakubalika kisheria?

    Nitaanza kwa kusema kwamba kilichofanyika sio sahihi. Kabla hatujaenda kwenye vifungu vya sheria Civil Service Act, 2003 na pengine Employment and Labour Relations Act, 2004 ili kuona kama Mwajiri anayo mandate ya kushusha mshahara wa mwajiriwa, tujiulize haya: Kwamba, ajira ni mkataba/...
  5. A

    Msaada wakisheria asap plz!

    Mwongozo mzuri kuhusu suala lako utapatikana baada ya kuwa na facts za ajira yenyewe. Facts hizo zinakuwa zimebainishwa na mkataba wa ajira. Hivyo, ni muhimu kwanza kujua mkataba wajira yake ni wa aina gani na msingi wa makubaliano kati ya mwajiri na wajiriwa ulikuwa ni nini? Kwa msaada wa...
Back
Top Bottom