Search results

  1. M

    Siku hizi vyama vya wafanyakazi vimekuwa haviheshimu mahakama

    mahakama yenyewe haishemu sheria ina heshimu pesa kwa nn iheshimiwe
  2. M

    nokia e73 needed

    ipo E71 kama uta hitaji ni pm
  3. M

    blacberry 9360

    aliye tayari kubadilishana ni mpe nokia e71 na hela kwa bb 9360
  4. M

    Kwa wabunge wote

    alaf jamaa walivyo wanafki walijikausha kimya nw watu wameshtukia ndo wanasimama eti kutetea wakati inapitishwa walikuwa wapi? wao washaridhika na posho zile wameanza kujisahau
  5. M

    Kwa wabunge wote

    kweli kabisa kura yangu ni moja tu. na hakuna anayeweza kupiga kura mara mbili kwa wakati mmoja. Wafanyakazi woote nw ndo muda wa kuungana hawa wabunge wameshindwa kututetea so ya nn kuwarudisha tena madarakani
  6. M

    Kwa wabunge wote

    nyie wabunge paka siamini kama nyie ndo mlopita kwa wananchi kuomba kura ambazo leo ndo zimewaweka humo bungen. Hii sheria ya mabadiliko Mifuko ya jamii imepitaje au nyie mmeridhika na hivo viposho mnavyopata au wafanyakazi hawawahusu nyie. SASA HIYO SHERIA HATUITAKI NA MUIONDOE SIVYO MWAKA 2015...
  7. M

    NSSF yaelekea kufilisika

    hawa jamaa wezi tu
  8. M

    NSSF Kimewaka

    wezi hao wanatumia uoga wa wa TZ kuendelea kuiba
  9. M

    Maandamano ya Amani- Wafanyakazi wote.

    kweli kabisa hawajamaa sio kabisa umbumbumbu wao katika kutumia hela zetu wanataka watupe mzigo sisi
  10. M

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    wezi hawajaridhika wanataka kutunyonya zaidi
  11. M

    PICHA: Kwanini Ndege ya Serikali inayombeba RAIS in registration # 5H-CCM kwanini CCM

    niliwah kusikia kuwa ni ndege ya ccm ila serikali huwa inakodi
  12. M

    Ufafanuzi kuhus fao la kujitoa mifuko ya jamii ushahidi huu hapa

    wizi mtupu mmewekeza ktk miradi isiyo na faida sasa mnataka kuzuia hela zetu ili muendelee kujikimu hakuna chochote na hatutaki siasa katika hela zetu. Msituletee hizo habari hatuwaelewi
  13. M

    black berry

    natafuta black berry 9360 slim kama unayo na unaiuza ni pm
  14. M

    Nina mpenzi nimemchoka na simpendi lakini nashndwa jinsi kumuacha nifanyeje???????

    nasikitika kukwambia na mchuma ako pia yupo ktk hali ambayo uko nayo wewe coz na yeye ameshakusaliti kama wewe ulivyomsaliti tena kwa njia hiyohiyo uliyotumia kumsaliti so tafuteni muda muongee jinsi ya kuwaacha hao ili muendelee na maisha yenu yaliyotawaliwa na tamaa zisizo na maana
  15. M

    Tanganyika Ikirudi Tutarudisha Mipaka ya 1886 kati ya Zanzibar and Tanganyika

    Mji mkuu kuwa dodoma hausiani na kutokuwa na bahari. Bado siamini kama akiliyako unayoamini ni timamu inaweza kufikiri kifupi hivyo. Kwan bahari na mji mkuu vina uhusiano gani?
  16. M

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    nssf wamewekeza katika miradi ambayo wamepoteza hela nyingi alafu nw wanataka kuzidi kutunyonya hii haikubaliki ni uonevu
  17. M

    Baraza la wawakilishi Zanzibar latetea matumizi ya bendera ya taifa kwa meli za Iran

    We akili yako mbovu kabisa uislamu umeingiaje hapo
  18. M

    Tunga sentensi kwa kutumia msemo "LIWALO NA LIWE"

    ccm wanasema ' liwalo na liwe tushinde tusishinde 2015
  19. M

    Mafuta ya Ubuyu

    piga namba 0712227888
Back
Top Bottom