Search results

  1. F

    Nini kifanyike dhidi ya Jiitu Patel?

    Acheni unafki nyie. Nchi yenu mnaiita Bongo halafu mtu akitumia bongo na ushapu kuchukua kuilaini hela iliyolala pahala bila kufyatua risasi mnamlaumu? Siku hizi hapa Bongo trafiki akikukamata kwa kosa akakuomba buku tatu mmalizane ukamnyima kwasababu unataka kwenda kituoni kulipa faini...
  2. F

    JF: Are we serious na mapambano na ufisadi?

    Unafki mkubwa wa kutaka ku-censor majina huo. Kama hupendi jina langu, jitie kidole mdomoni utapike.
  3. F

    Usalama wa Taifa: Mpo likizo?

    Katika vitu ambavyo viliondoa credibility ya Slaa na mafisadi wa ngono wenzake kwenye donor community, kwa wasomi na wafanyabiashara ni kutangaza kwenye hiyo dossier kwamba neno TISS kwenye transactions walizoona maana yake ni Tanzania Intelligence and Security Service. Hata teller pale Mwanga...
  4. F

    Ballali aibuka na kujibu

    Nyie watu wa ajabu sana. Yaani mnashabikia kitu kilicho obvious, kwamba Balali hakuwa peke yake.Kuna yale makampuni 22 na kuna wengine sisi hatujatajwa. What is news there? Hata hivyo, sijapata kuona mwizi anayesema yeye kweli ni mwizi na sijapata kuona mwizi kwenye mpango wa wezi wenzake akawa...
  5. F

    Watoto wa vigogo na upendeleo wa ajira nyeti serikalini

    Sasa wewe unajichora. Yaani leo ndio unagundua kuwa kuna pande mbili? Kumbe ulikuwa hujui kuna upande wa mafisadi? Kama ni hivyo basi maandiko yako yote yalikuwa ni pumba tu. Au ni kwasababu hii forum ilikuwa ndio imekupa umaarudu kiasi cha kudhani kwamba hakuwezi kuwa na mjadala hapa ndani?
  6. F

    UFISADI Kila Kona: Baraka za CCM KINGA ya Ufisadi BoT na Viongozi Mafisadi

    Wewe unanitongoza sasa! Twende kwenye PM.
  7. F

    Watoto wa vigogo na upendeleo wa ajira nyeti serikalini

    Fisadi Mtoto nakuunga mkono. Nchi haiwezi kuendelea kama mijitu mishipa inawatoka kujadili maisha ya watoto wa watu wengine. Mbona sie mafisadi wa sasa tumesomea vijijini na wazee wetu walikuwa wakulima. Tofauti ya fisadi na mlalamikaji ni ujinga wa mlalamikaji na ujanja wa fisadi.
  8. F

    Ballali Anyang'anywa Viza ya Marekani & Wengine Wasema Tayari Keshakimbilia Malta !

    Na wewe na chama chako wote wasanii tu kila siku maneno meeengi nadharia nyiiiingi hakuna lolote mnafanya. Ukiona chama kinategemea hasira za wabongo kupata umaarufu ujue chama hicho muflis. Toeni falsafa mbadala ya kuendesha nchi sio kila siku kuandaa maandamano na press conference. Hiki ni...
  9. F

    UFISADI Kila Kona: Baraka za CCM KINGA ya Ufisadi BoT na Viongozi Mafisadi

    Nchi imegawanyika katika makundi mawili: mafisadi wa wazi (Manji, Mgonja, RA, Lowassa, Balali, Rutabanzibwa) ambao wanaiba hela yetu hivi hivi tunawaona na kuna mafisadi wa kimya kimya ambao kwasababu hawako jikoni kwenye hela wanafanya ufisadi wa namna nyingine kama vile ugoni na ushirikina...
Back
Top Bottom