Search results

  1. QUALIFIED

    Azam Tv wanaforce kuuza antenna

    Huwa nasema kila siku wamchunguze meneja WA azam
  2. QUALIFIED

    Msaada decoder ya Azam

    Ndi Ndio mkuu
  3. QUALIFIED

    Msaada decoder ya Azam

    Mkuu hapo inatakiwa 7b sio 7c
  4. QUALIFIED

    Hivi Azam King'amuzi cha Antena kimeshaingia sokoni?

    Azam kwa ujumla management take haijajipanga hata kidogo wanazingua sana
  5. QUALIFIED

    intel imeshikwa kubaya na AMD

    AMD imetengenezwa specific kwenye sehemu za baridi lakin bongo hapa itachemka mno mpaka mashine itazima pamoja wanajaribu kuweka fen nyingi lakin hapa bongo Intel bado wanawashika
  6. QUALIFIED

    Msaada decoder ya Azam

    Uko wap mkuu
  7. QUALIFIED

    Network unlock

    Habari wakuu, Mwenye network unlocking code za Motorola e5 locked by Verizon anisaidie tafadhali. Imei yake 351838090697861.
  8. QUALIFIED

    Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Kuna lessons kadhaa unatakiwa upitie kabla na Ni rahisi kama una willing na muda wa kutosha
  9. QUALIFIED

    Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Nilipitia kiasi ila Ni muda kidogo kwani ulitaka kujua kuhusu nini kwenye hili
  10. QUALIFIED

    Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Inamaanisha ni sehemu sensitive sana na inaconnect na kila kitu jaribu kufumba macho mtu aje na kisu bila kukwambia aweke karibu bila kugusisha katikati ya paji la uso alafu utaniambia ulihisi nini
  11. QUALIFIED

    Leonardo da Vinci alimaanisha nini katika picha hii? Nani alizunguka dunia kusambaza hii Teknoloji miaka ya BC?

    Mkuu happy kwenye namba muhimu naweza kua convinced ila namba kubwa kuliko zote upo totally wrong
  12. QUALIFIED

    Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Ukikaa kwa utulivu ukiwa unalifikilia ilo jicho ta tatu Kuna Kuwa na hali ya ubaridi na mvutano wa sumaku katika paji la uso
  13. QUALIFIED

    Shule ni kwa ajili ya nini kama hatufundishwi kufanikiwa?

    Mpaka umefikia kuandika thread hii shule imekufanikisha na njia za mafanikio zingatia utajua umefikaje uamuzi huu
  14. QUALIFIED

    Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Kuna maswali mengi yasiojibika mengi sana na ndio yanayoleta maana kwenye maisha ya binadam.
  15. QUALIFIED

    Naweza pata wapi free tutorials za java na JavaScript

    Habari wakuu, Naweza pata wap free tutorials za java na JavaScript complete. Kwa anaejua tafadhali
  16. QUALIFIED

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Kwa anaehitaji business plan full constructed na mwongozo wa kuifata nidm tufanye jambo
Back
Top Bottom