Search results

  1. N

    Nimepigiwa simu kwenye usahili TASAF

    Sio kosa lako.... kuna kitu hakiko sawa kichwani mwako
  2. N

    Nimepigiwa simu kwenye usahili TASAF

    Nashukuru kwa kunielewa
  3. N

    Nimepigiwa simu kwenye usahili TASAF

    Wadau inawezekana uhakiki umekwisha au unakaribia kwisha, nimepigiwa simu kuitwa kwenye usahili Mfuko wa Rais wa kujitegemea (TASAF). Kuna mdau yeyote amepigiwa simu pia?
  4. N

    Taarifa kwa umma kuhusu ajira kada ya mahakama

    Jamani na yeyote mwenye taarifa za kuitwa kazini TANROAD - KAGERA atujuze.
  5. N

    HADITHI: Mtoto wa Pastor

    Story nzuri. Iendelee
  6. N

    Nafasi za kazi utumishi mahakama

    Natamani niweke tangazo lote, ila nashindwa siwezi
  7. N

    Nafasi za kazi utumishi mahakama

    Hakimu mkazi Daraja la II, Afisa Utumishi Daraja la II, Afisa Tawala Daraja la II, Afisa Ugavi Daraja la II, Mkaguzi wa Hesabu za Ndani Daraja la II, Mhasibu Daraja la II, Mhasibu Msaidizi, Katibu Mahsusi, Msaidizi wa Kumbukumbu, Msaidizi wa Maktaba, Mpokezi, Msaidizi wa Ofisi na Mlinzi
  8. N

    Nafasi za kazi utumishi mahakama

    leo pia wametangaza nyingine 58 kwenye gazeti la DailyNews
  9. N

    DART majibu vipi?

    Tembelea website yao. Yameshawekwa
  10. N

    Riwaya: Mji tulivu ulionipa gonjwa la milele

    Duuuh.. iendelee jamani
  11. N

    Riwaya: Mji tulivu ulionipa gonjwa la milele

    ni nzuri Mzaramo. Napenda hadithi unazozileta humu maana zote huwa zinafika mwisho... ila vipi kuhusu ile Asia digital mkuu?
  12. N

    Riwaya: Lidake tena chozi langu

    Nyingine Mzaramo please
  13. N

    Chumba cha kupanga

    Nahitaji chumba cha kupanga (single au master), kiwe maeneo ya Keko, Karume au Ilala Boma. Mwenye kuwafahamu madalali wa maeneo hayo tafadhali tuwasiliane.
  14. N

    Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

    Hujaamka tu Mdharuba!?? Amka bwana
  15. N

    Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

    Mmmh inanoga...weka hata tatu jamani, tumesubiri sana
  16. N

    Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

    Iendelee jamani Mdharuba
  17. N

    Story ya mapenzi ya kweli: Nakupenda JK

    kwakweli itabidi tu
Back
Top Bottom