Search results

  1. B

    Kikwete kuondolewa uenyekiti CCM

    Ni kutokana na uongozi uliyoko chin yake na baadhi ya wizara kwahiyo unakuta lawama zote anazibeba yeye!! Dah ila kuongoza nchi kunahitaji moyo coz lawama zote lazma ztakuhusu!!
  2. B

    Kwa wale waliopata kazi ya sensa malipo ni.......

    Enendeni kafanyeni kazi mliyoagizwa na muangalie sana msije mkawa kama Ngoswe!!
  3. B

    HII Ni SAHIHI KWELI?

    Hivi ni sahii kwa mwanaume wako kukwambia I love u kila anakupigia simu?? Maana mpka mtu unakuwa na wasiwasi!
  4. B

    Am glad to be here

    Nafurahi sana kuwa humu ndani wanajamii wenzangu, I hpe to get maushauri and a lot of things from u guys, love y'all""
  5. B

    Nimeachwa kisa ni mtandao fulani wa kijamii

    Jaman nimeachwa kisa ni mtandao mmoja hivi wa kijamii, sio kwamba nilikua nautumia vibaya wala nini!! Ila ilifikia mda nikaambiwa mambo yangu yote anayajua kwahiyo mimi na yeye tusijiane!! Nimejaribu kuomba msamaha bila hata kosa kutokulijua ila vimeshindikana, naombeni ushauri wenu wa hali na...
  6. B

    Barua ya wazi kwa dada zangu walio single...................!

    Nashkuru sana maana nimejifunza kitu toka kwenye waraka huu ulioandika!!
  7. B

    Download free JF application for Android

    Jaman wat abt sis tunaotumia blackberry or smart phne tufanyeje, plz nisaidien coz mm mgeni hapa
Back
Top Bottom