Search results

  1. Mtumishi wa Bwana

    USHAURI: Nina million 20 nifanye biashara gani?

    Kaka unaesisitiza seriousness nimekukubali sana, unajua kweli kuna watu hawako serious kabisa na tusipoangalia wakenya na waganda watatupiga bao kweli kwenye EAC.. Ila tuwe na tumaini mana mwanajeshi anaekata tamaa ni vigumu kuishinda vita, but pple lets be real serious tunakwenda kwenye...
  2. Mtumishi wa Bwana

    Mdahalo unaoendelea bungeni.

    Kaka this is nonsence and I think is the matter of being educated... Mana hiyo inaonyesha kabisa kwamba wabunge wa CCM shule hakuna. Ila Is the Matter of Time ndugu jamaa, tunahitaji mabadiriko. Mwana Jamii, Mtumishi wa bwana.
  3. Mtumishi wa Bwana

    Mdahalo unaoendelea bungeni.

    Hi guys! Naufurahia sana mdahalo unaoendelea bungeni hivi sasa ila bado nashangazwa na jambo moja, inakuwaje wabunge wa upinzani wanaongea maneno mazito sana ambayo yanaweza yakasababisha hata mambo ambayo hatutegemei kutokea yakatoea lakini wabunge wa chama tawala huwa wanakuwa wanacheka, mimi...
Back
Top Bottom