Search results

  1. D

    Naitaji kuku wa kienyeji kwa ajiri ya kufuga

    Ebana naweza pata hao vifaranga wa wiki 4 wiki ijayo RETI just nipe siku.
  2. D

    Naitaji kuku wa kienyeji kwa ajiri ya kufuga

    Bwana RITE naweza pata na cornish
  3. D

    Naitaji kuku wa kienyeji kwa ajiri ya kufuga

    wanatumia vyakula gani hasa,sio waliozoea madawa kama kuku wa kisasa
  4. D

    Naitaji kuku wa kienyeji kwa ajiri ya kufuga

    wajameni nisaidieni wapi nitapata kuku wa kiajeji kwa ajiri ya kufuga ,mfano kuchi nipatieni na gharama naitaji mitetea kumi na jogoo mmoja.natanguliza shukrani but napatikana Dar .
  5. D

    Tpdc

    Dah hivi TPDC wameshaita watu kwenye interview kwa zile nafasi walizotoa mwezi wa tano.
  6. D

    MWL wa Math na Physics

    Ipo wazi kwa sasa kuna umbukufu mkubwa wa walimu ktk mosomo hayo nami naona naweza changia kwa kuwa nimekosa kazi ktk fani yangu,nimemaliza 2010 UDSM Bsc comp science.
  7. D

    MWL wa Math na Physics

    Jaman nimetafuta kazi za IT nimekosa lakini ni muitimu wa Bsc Comp science UDSM,naweza fundisha masomo hayo na comp application kwa mtu anayejua wapi naweza pata kazi ya uwalimu pls ni PM.
  8. D

    Utapeli kwa wanaotafuta kazi

    mimi walinitumia hii.:A S-baby: Habari, Hongera sana, Nimeattach barua ya kukubaliwa kufanya kazi hapa POD Volunteer,Belize(Central America),utaisaini na kuirudisha kwangu. Pia unatakiwa kufanya malipo kwa ajili ya Visa/work permit ambayo gharama yake ni dola $260,itachukua siku 3 za kazi...
  9. D

    Huu ndio upumbavu wa ZoomTanzania...!

    sor jamaa yupo sahihi kabisa zoom uwacopy pest kazi,kuna kazi ya TPDC IT systems analyst check job disc yake afu cheki na hii IT Specialist (15 Posts) Job in Arusha, Tanzania zinafanana kabisa.
  10. D

    Ukweli kuhusu mgomo na madai ya madaktari Tanzania

    ukiona kijana anashabikia ccm uwenda akawa mchawi au mnafiki.
  11. D

    Core securities Ltd

    wapendwa mzee wangu alinunua hisa ktk twiga cement,wakala wao wa hisa ni core securities ltd.sifaham wapo wapi kwa sasa nasikia wameamisha ofisi kwa anae faham wameamia wapi anijuze.
  12. D

    Bajaji Bajaji

    Nipo Dar but nimepita maduka mawili tu posta mpya na sigara,nataka ya bei nafuu ambayo naweza kuimudu.
  13. D

    Bajaji Bajaji

    Jamani naomba bei ya bajaji kwa hapa Dar
  14. D

    Msaada bei ya Bajaji

    Jamani naomba msaada wa bei za bajaji apa Dar plz
  15. D

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Moyo wa upendo wapi angeweka pdf tuka download wote
  16. D

    Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

    RETI Sijapata majibu ya maswali yangu juu apo ,sor
  17. D

    System Administrator Tanzania Women Bank

    nipo kwa ofisi sasa
  18. D

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Je inawezekana kuchukua mayai na kutotolesha kwenye mashine,mwenye utaaram atupe mchanganuo ili tuweze zalisha zaidi na kwa haraka.
  19. D

    Mayai ya kienyeji /vifaranga wa kienyeji

    Heshima mbele RETI. Mimi nataka kufuga kuku wa kienyeji kwa kufata mchanganuo wa kuanza na kuku jike 5 na jogoo mmoja kama ilivyo elezewa kwenye topic moja umu jf,nachotaka kufanya kama jamaa alivyo sema kuwa kuku wanaweza taga adi mayai 30 mimi niyachukue afu nitotoreshe kwenye mashine...
Back
Top Bottom