Search results

  1. F

    Ni zawadi gani nzuri ya kumpa mume wako?

    upendo, uvumilivu na uaminifu bila kusahau heshima na kujua nini mumeo anataka na kwa wakati gani. pia kujua nini hataki hata kama kikiwa ndio kitu unachokipenda. usiwe mvivu wa mambo yetu na utafute njia sahihi ya kuongea kama hauko kwenye mood ya hiyokitu.
  2. F

    USIPITE HEBU soma HAPA

    maisha bila Yesu si kitu lakini pia maisha bila elimu ni sawa na chai isiyokuwa na sukari. mwambie ajitahidi kumweleza na ikibidi aokoke pia ili waende sawa.
  3. F

    Ushauri wa ndoa hizi za kanisani!!

    lolyz, lutolucy yuko sahihi kabisa maana hata mimi naifahamu vizuri stori hii au nawafahamu vizuri watu anaowazungumzia mshuwa. katika yote aliyozungumza kutoka kwa rafiki yake nadhani huyo rafikiye amejitengenezea uhalali wa kuonewa huruma na kuonekana yuko safi na kuacha yale ambayo yeye ndio...
Back
Top Bottom