Search results

  1. Nyadundwe

    Nimepoteza Kaka Yangu Niliyekuwa Namfuatia

    Madhara ya vita sio lazima yatokee vitani. Vitani watu wanafanya mengi, wanafanyiwa mengi na wanaona Mengi. Inaweza kuchukua muda ... Kutafakari, kuapata maoni/maoni mapya nk. Na kwa kubandika hapa, kunanini cha kujifunza, kwamba ukilewa utakufa usingizini?
  2. Nyadundwe

    Nimepoteza Kaka Yangu Niliyekuwa Namfuatia

    Mfichie aibu yake, sio kuitangazia Dunia. Huenda ni madhara ya vita. Vita vina mambo mengi!
  3. Nyadundwe

    Raia wa Zanzibar wapigwe marufuku kupiga kura ya kumchagua Rais wa Tanganyika

    Hakuna serikali ya Tanganyika wala Raisi wa Tanganyika, Ashukuriwe au alaumiwe Nyerere. Wazanzibari wana haki ya kumchagua Raisi wa Tanzania, kwa sababu nao ni sehemu ya Tanzania.
  4. Nyadundwe

    Maajabu ya Walimu: Wachangishana kumchukulia Rais Samia form LAKINI wameshindwa kuwachangia Viti Walimu wenzako, Wanakaa Chini

    Kwani kabla ya Mwendazake Waalimu walikuwaje? Tatizo la hiyo kada siyo CWT wala Mwendazake, mizizi yake toka UPE.
  5. Nyadundwe

    Video: Mwanaume nayekula Wali anajidhalilisha

    Asitupangie. Kwanza Dame mwenyewe yupo kama Fridge.
  6. Nyadundwe

    Baisaa Ya Oman

    Nina assume unatania., Ila; Oman Baissa 1000 = Oman Ryal 1 Omani Riyal 1 = Tsh 6,500 Baissa 100 = Tsh 6.5
  7. Nyadundwe

    Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

    Moja ya matatizo makubwa ya Wadanganyika. Kujadili watu badala ya Hoja. Tumeona na Bungeni pia, Hoja ni Mkataba, wao wanamjadili Mbowe!
  8. Nyadundwe

    Mwanaume wa kitajiri Vs Mwanaume wa Kimasikini

    Mambo ya hovyo ambayo maskini hujadili ni pamoja na nani anakulaje, anavaaje, ana nini
  9. Nyadundwe

    Jinsi Malkia wa Sheba Alivyomnasa Mfalme Solomon Ndani ya Sekunde 4 Mpaka Akawasahau wake Zake 1,000

    Kuwaridhisha kwa lipi? Wanawake 1001 - ili aweze kuwapitia wote ndani ya mwaka, inabidi akukuruke na wastani wa wanawake 3 kwa siku, kila siku bila kukosa. Hata kama hilo linawezekana ina maana watakuwa na zamu za mwaka mara moja.
  10. Nyadundwe

    Hii pesa ni Tsh. ngapi kwa Tanzania?

    1 OMR = 1,000 Baissa = 6000 Tsh 100 Baissa = 600 Tsh
  11. Nyadundwe

    Baadhi ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambavyo ni magodauni na magofu

    Haswaa! Asilimia kubwa ya hivyo viwanda vilikuwa ni hasara tupu. Sababu nyingine ilikuwa mkuu akiharibu kwenye taasisi moja Nyerere anamuhamishia nyingine. Mwinyi akaleta Ruksa, hali ikawa mbaya zaidi. Na Mkapa naye badala ya kurekebisha mapungufu, akagawia Mafisi
  12. Nyadundwe

    Kipi Bora kati ya kununua Tofali na kufyatua mwenyewe

    Nunua Tofali mkuu. Huwezi kuokoa gharama wala kupata tofali bora zaidi kwa kufyatua mwenyewe. Wapiga tofali, kwanza ni professionals wa hiyo kazi. Pili wanapata materials kwa bei ya chini mfano wanatumia magari yao wenyewe kubeba vifaa, wananunu material kama cement kwa jumla nk. Tatu wanatumia...
  13. Nyadundwe

    Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

    Maslahi ya Ufaransa. Ufaransa wamewekeza over 20B usd kwenye gas fields maeneo hayo. Magaidi waliwakimbiza mwezi March. Bila shaka Rwanda wametumwa na wamewezeshwa.
  14. Nyadundwe

    Jamani this is serious, nchi tajiri za Kiarabu kuwa ombaomba Afrika by 2030

    Mwaka 2021 wakati bado asilimia kubwa ya waafrika hawana maji safi ya kunywa , hawana uhakika wa mlo wa siku, na wanatumia vyoo vya shimo, tunafikiria Waarabu watakula nini mwaka 2030! Anyway, kama hujui kuna kitu kinaitwa Sovereign Wealth Fund. Kiasi cha fedha wanachopata kwenye vyanzo...
  15. Nyadundwe

    #COVID19 Wenye damu group O ni kweli Corona haiwasumbui?

    Utafiti unaonesha hivyo. Moja ya paper hii hapa DOI: 10.1093/cid/ciaa1150 Summary yake hii hapa
  16. Nyadundwe

    Tanzania wako 32!? Ummy mbona hakutoa taarifa? Na hawa waliotoa hizi habari wanazipata wapi?

    Si ungalie mwenyewe huko John Hopkins? Kama huna link hii hapa. Wao wana 13 confirmed, 12 active, 1 recovered, o death. Johns Hopkins Coronavirus Resource Center
  17. Nyadundwe

    Kuna baadhi ya wanaume tuna roho za kishetani, leo mpaka nimetoa machozi kwa huyu dada

    Jitolee kumsaidia kujua haki yake na kuidai. Hutojutia.
  18. Nyadundwe

    Wapenzi wa Sidney Sheldon mpo?

    Mkuu, kuna kile kinaitwa if tomorrow comes. Unputdownable!
  19. Nyadundwe

    Kipanya: Mifuko ya plastic jamaa wako serious this time

    Itapatikana tu mbadala ya bei nafuu, maana ni fursa ambayo bado inafanyiwa kazi. Wanunuzi pia wanaweza kuwa na mifuko yao re-usable mfano ya kitambaa.
  20. Nyadundwe

    The End Of An Era. The Power of the People has never been defeated.

    Egyptians, Libyans and Yemeni's - miserably defeated Algerians, Sudanese - will soon follow suit!
Back
Top Bottom