Search results

  1. Lateni

    Je, kwa Wakristo yawezekana kumbatiza mtoto ambaye amezaliwa pasipo wazazi kufunga ndoa?

    Mtoto mdogo hana uwezo wa kumwamini Yesu au kutokumwamini , pia hana uwezo wa kutubu dhambi zake kisha abatizwe..... umri unakua kigezo kikubwa kwasababu mtu mzima anaweza akafanya haya maamuzi pasipo kulazimishwa..
  2. Lateni

    Je, kwa Wakristo yawezekana kumbatiza mtoto ambaye amezaliwa pasipo wazazi kufunga ndoa?

    Watoto wadogo hawabatizwi ni upagani ulioingizwa ndani ya kanisa na watu wanaufuata bila kujua na wengine wanajua ila hawajui cha kufanya. Anaebatizwa ni mtu mzima anaeweza kumwamini Yesu, akamkubali na akatubu dhambi zake . Je mtoto mdogo aweza kufanya hayo???
  3. Lateni

    Leo nimempa Lift Shetani mpaka Mjini, Nashukuru lakini nimepona

    No hujapona bado anaweza akawa kashakumiliki na ataanza kukujia kwenye ndoto kufanya mapenzi na wewe kama spiritual wife. Jitahidi uombe na kuwa karibu na Mungu saana.
  4. Lateni

    Haipiti wiki naota napiga pepa la form 4

    Kama wengine walivosema ni kweli tatizo lako ni la kiroho zaidi. Hizo ni spirit chafu ambazo ziko kwa ajili ya kukurudisha nyuma ili usivuke hatua moja ya maendeleo kwenda hatua nyingine. Nenda kwenye maombi kabla hujachelewa.
  5. Lateni

    Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    Kuna somo la kujifunza hapa kutokana na huyu mama. Kila jaribu unalopitia katika maisha , usilalamike sana na kukata tamaa, Mungu hajakuacha ila anaandaa njia nzuri ya kukuinua kwenye level za juu zaidi. Mshukuru Mungu kwa kila jambo.
  6. Lateni

    Nakupa siri ya fedha, acha kulilia

    Umenena vyema.
  7. Lateni

    Jakaya Kikwete Foundation

    Mimi naona kama itahatarisha ufadhili wa NGO nyingine hapa Tanzania, kutokana na influence ya watu waliomo ndani ya hii taasisi ya JK . fedha ambazo hizi NGO walikuwa wanapata kutoka kwa wafadhili wanaweza wasizipate kama mwanzo na badala yake hii kikwete foundation ikawa inawadaka hawa...
  8. Lateni

    Gwajima Lisha kondoo NENO: Je ni wapi ktk Bibilia Mungu amehalalisha VISASI kwa Mtu kutuhumiwa?

    Nawaonea huruma hao wafuasi wake. Mchungaji mwenye roho za kulipiza kisasi namna hii sijui atasubutu vipi kunifundisha somo la msamaha, upendo na tunda la roho . Ni roho gani inayomuongoza huyu baba? Kamwe haiwezekani akaongozwa na roho Mtakatifu na akafanya hayo anayoyafanya.
  9. Lateni

    Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    Ningekua muumini wa hili kanisa ningehama jumla. Maana siwezi kuongozwa na mtu ambae ni mchungaji anaejua kua anatakiwa kusamehe na kuachilia na pia anajua visasi sio vya mwanadamu ni vya Mungu then anajifanya kua kipofu na kiziwi. Utumishi wake una walakini kwa kweli...
  10. Lateni

    Zijue athari za kutoa mimba katika ulimwengu wa roho

    Ni kweli kabisa amemalizia vibaya. Hilo tambiko sio suluhisho. Suluhisho hapo ni kuomba toba na Rehema ili Mungu akusamehe.
  11. Lateni

    Kauli za Rais zinavunja moyo watendaji wake

    Kwa jambo hili Mkuu wetu amekosea sana. Nadhani hata hao washauri wake wa karibu wanashindwa kumshauri maana ana jazba sana. Unaweza kuwa na nia ya kumshauri ukajikuta umefutwa kazi pasipo sababu.
  12. Lateni

    Kwanini Comedians wa MIZENGWE wanapotezewa sana?

    Wako vizuri sana hawa watu . Vichekesho vyao vinaelimisha.
  13. Lateni

    Ubalozi wa Comoro uko maeneo gani hapa Dar es salaam?

    N Naomba kujua ulipo Ubalozi wa Comoro hapa Dar es salaam.
  14. Lateni

    Prophet Bushiri kachukua nafasi ya TB Joshua siasa za Tanzania? Rose Kitilya, Lowassa

    Watu wengi wanaowapinga hao manabii hata kuwajua hawawajui, hawajawahi kufatilia mafundisho yao japo kwa one week wawasikie na kuona kwa macho yao hawa watu. Cha kushangaza ndio utawakuta wakiwatukana na kuwaita matapeli , wezi, mara waganga. Hebu muulize kama anamjua huyo bushiri au Tv chanel...
  15. Lateni

    Naomba kurudishiwa 12,500/= zangu, kazi ya kujenga miundombinu ni ya serikali

    Serikali imefanya vibaya jamani. Maana wengi waliochanga hela zao waliingiwa na huruma ya kibinadamu kwa kuona binadamu wenzao wanalala nje , huku wakinyeshewa. Sidhani kama watu waliiigiwa na huruma ya kuchanga kwa kuona taasisi ya serikali imeharibiwa. Hata hao waliotuchangia sijui kama...
  16. Lateni

    Alpha na Omega ya historia ya Israeli ya kale

    Duuu !!! Tangu huu mwaka umeanza hakuna uzi ulionichanganya kama huu .
  17. Lateni

    Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Asanteni wote mlionishauri nimeonana na dr pale muhimbili ameniambia niuondoe kwa operation ingawa ni hatari kwa mtu ambae hajazaa kuna complications zinaweza jitokeza ukakosa kuzaa .Ila sina jinsi.
  18. Lateni

    Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Nina tatizo kubwa la fibroid kwenye kizazi. Na fibroid ni kubwa, ina cm 12 kwa cm 10. Ninataka nifanye operation ya kuiondoa. Naombeni ushauri nipate Dr mzuri. Na pia naomba faida na hasara za kuiondoa kwa operation. Ninataka kuiondoa haraka kwa sababu ninahitaji kubeba mimba . Yaani...
  19. Lateni

    Kiroja cha Ngerengere

    Baada ya miaka 10 ijayo sehemu kubwa ya Tanzania itakuwa inamilikiwa na wawekezaji wa china. Tutakuwa watumwa kwenye Tanzania yetu wenyewe. Nawasikitikia wanangu na wajukuu zangu wajao....
  20. Lateni

    Hii ndiyo amani Wanayoihubiri CCM

    Hili neno Amani linatumiwa vibaya na wanasiasa wa Tanzania.Ni kama kichaka cha mafisadi wa Taifa hili.
Back
Top Bottom