Search results

  1. M

    Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    Unaitaji kupelekwe India kupimwa akili zako,coz mirembe akuna kifaa cha kuliweza tatizo lako!! Kama huna hoja, usiwe unalopoka,nyamaza! Ivi uwaoni watu wanavyo po teza maisha kila siku,kwa kukosa vipimo coz ya vifaa amna?? Sa dr.uli. Anavyo pigania,si kwa faida ya wote?
  2. M

    Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    Nadhani na we ukapelekwe India ukapimwe kichwa chako,coz mirembe akuna kifaa cha kuweza tatizo lako!! Kama una hoja, usiwe unalopoka,nyamaza! Ivi uwaoni watu wanavyo po teza maisha kila siku,kwa kukosa vipimo coz ya vifaa amna?? Sa dr.uli. Anavyo pigania,si kwa faida ya wote?
  3. M

    Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    Nadhani na we ukapelekwe India ukapimwe kichwa chako,coz mirembe akuna kifaa cha kuweza tatizo lako!! Kama una hoja, usiwe unalopoka,nyamaza! Ivi uwaoni watu wanavyo po teza maisha kila siku,kwa kukosa vipimo coz ya vifaa amna?? Sa dr.uli. Anavyo pigania,si kwa faida ya wote?
  4. M

    Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

    Serikali Dhaifu,viongoz liwalo na liwe,,vichwani matope!!
  5. M

    Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

    Mungu,aliye mnusuru kwa Magamba," atamsaidia apone!
  6. M

    Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

    Nina wasiwasi na akili,na uelewa wako.Dr.anachokipania nia kwa manufaa ya tz.ndugu yako akilazwa kwenye sakafu,kukosa madawa hospt.,unajisikiaje? ? Unafurai sio? Ka una oja,ka kimya so kuropoka!!
  7. M

    Kama wauwaji wa Watalii wamekamatwa ndani ya siku 2 kwann Olimboka ichukue Mieziiiii?

    Ata ukiwauliza vichaa wa Mirembe wanajua,gvn is behind the issue! Wanazidi kujilipa ela za wa tz,kwa tume za kishetani!!
  8. M

    Spika Makinda ampiga Stop Stephen Ngonyani kumshambulia Dr Ulimboka

    Aaah! Apimwe akili uyo si mzima! Posbly mashetani yake yamekosa uduma kwao!!!
  9. M

    Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

    Laana zote izi,siku yaja, zitaitesa pia serikari dhaifu na viongozi wake! Ge t well soon Dr.ulimboka
  10. M

    Wenje: Serikali yetu inaendeshwa abnormal na abnormalities government

    Duh! Nili enjoy tyme ile ma Rcs,walipooneshwa wanauza sura kwa aibu,baada ya Kuchanwaa live!
  11. M

    Chadema kiboko!

    Kaka Wenje,yule mbunge wa nyamagana,leo kanitamanisha,bora mjengoni wakabaki wabunge wa Chadema peke yao,kuliko wabunge wote wa Ccm..! Kachangia vizuri sana,,,suala la ukubwa wa Balaza la mawaziri tz..! !. Sijaona ata 1 wa ccm anagusia iyo issue,,eccept wanaishia kupongezana tu!! Ongera Wenje!
  12. M

    Ofisi za TCU zavunjwa, computers na nyaraka nyeti zaibwa!

    Mi naona nxt time wavunje za HESLB,coz hazitusaidii chochote,zaidi ya kutuibia ela zetu za appeal,na application
  13. M

    UDSM kuna nini jamani?

    Govn.unvsts,UDSM,na Udom vinaendeshwa kisiasa!! Wanazuia kufanya siasa,bt za Ccm wanafurai sn. Kwa prof.lwaitama ndo kilicho tegemewa!! Ata akiondolewa udsm,stil anakubalika sn kwa mawazo yake,.!
  14. M

    Wabunge 10 bora na dhaifu katika kuchangia bajeti kuu ya serikali 2012/2013

    We utakuwa mdau wa Magamba.!! Akuna mbunge ata 1 wa chadema mbovu,kutoa oja dhaifu.,
  15. M

    Ngeleja achafua hali ya hewa bungeni

    Aibu!! Kwani ye bajeti yake ilitusaidia nin,wakati akiwa waziri??? Kama sio giza?
  16. M

    Nani aliyewaroga wabunge wa CCM kama huyu mheshimiwa?

    Wanafiki wakubwa hao!!
  17. M

    JOHN MNYIKA: Msimamo wangu wa sasa juu ya Kauli yangu bungeni!

    Uko sahii sana kaka mnyika! Tatizo ni ubabe wa CCM na izo sheria zao za kipuuzi!!
  18. M

    Lusinde kushangiliwa na Wabunge wa CCM ni mkakati wa chama chao au ni upofu wa mawazo?

    Akili zao wote sawa! So jambo la kushangaa! Dawa yao ipo,tutakutana majimbon 2015.!
  19. M

    Ni halali kwa mbunge kuongea na simu bungeni huku kikao kikiendelea?

    Sa kama mbunge anaamua kupiga usingz,atashindwaje kupokea simu? Kwanza wabunge wengi,esp.wa Ccm,hawanaga time ya kusikiliza michango,labda tu kama unausu Posho! Apo wanak uwa active ile mbaya! Then uyu mama hawaoni? Au kawekwa pale kuwaona akina mnyika tu?
  20. M

    Bungeni: Mwigulu Nchemba achafua hali ya hewa!

    Wabunge ma Ccm wanachekesha!!! So yy pekee wapo kibao wa aina ya Lusinde!!
Back
Top Bottom