Search results

  1. S

    Ujenzi wa Morogoro Road kuanzia Ubungo kwenda Kimara

    Umewapatia hawa watu ni wajuaji kwenye keyboard tuu.
  2. S

    Ujenzi wa Morogoro Road kuanzia Ubungo kwenda Kimara

    Hakuna kitu kama hicho cha kuziba labda muanze kungoa vile vyuma vya kuziba takataka mukauze, hii ndio mitaro inayotakiwa kujengwa ambayo inazibwa na sio ile inayojengwa na tanroad ikawa wazi na kusababisha ajali mbaya za barabarani
  3. S

    Govt: No Foreign Terrorists in Ukerewe

    Gazeti hili ni la kikafiri unategemea nini? Tutafika pahali hata haya magazeti yanayofadhiliwa na dini nyengine kama Tanzania daima hatutonunua tena.
  4. S

    Mbeya: Marufuku DVD na Kanda nyingine za Kukashifu Dini

    Ukae halafu urudie rudie huo ujumbe kwakua akili yako imetoka kuzimu mpaka utakapopata fahamu vizur ndio tunaweza tukakaa pamoja.
  5. S

    FBI ndani ya Tanzania, kazi ipo

    Zanzibar ni njema atakae naaje, hao watakuja kutalii tuu kama wanavokuja wengine.
  6. S

    FBI ndani ya Tanzania, kazi ipo

    Tunalisubiri hili gazeti la mwanchi liombe radhi baada ya huu utumbo
  7. S

    Mbeya: Marufuku DVD na Kanda nyingine za Kukashifu Dini

    Kwani hii dini ya ukiristo imekaa kiuchiuchi? Mpaka waislamu wote wanaikashifu, huko mbeya nadhani hao viongozi wamekosa macho wanangalia kwa visigino vya miguu. Hebu someni hapa nyinyi viongozi wa mkoa wa mbeya: WAKRISTO WAACHE KUTULETEA POROJO ZAO ZA KANISANI,ukristo ni dini ya...
  8. S

    Mwai Kibaki awadharau watanzania!

    Sifa ya kumpa kibaki jina la barabara hapa Tz amewapatia CCM mafunzo ya kuchakachua uchaguzi 2015.
  9. S

    Jeshi la polisi lajiweka njia panda

    Kwanini magazeti yanaiyumbisha nchi hii? Nani anayasimamia? Wala haitoshi kufungiwa tuu au kuhojiwa kwa viongozi wake. Haya magazeti na vyombo vya habari ndio hanzo cha maafa nchi hii? Tunayashuhudia mengi wanayoaandika yaliyokua si ya ukweli lakini hakuna hatua za kukidhi zinazochukuliwa...
  10. S

    Picha: Aibu jimboni kwa Ole Medeye

    Inaliza......
  11. S

    Watanzania Wanapodharauliwa na Kutukanwa

    Rais ni kuliko janga anafuta mpaka historia ya kwao kweli udhaifu unadhihirika, kama amefanya hivi kwao watu wa mtwara wategemee nini
  12. S

    Watanzania Wanapodharauliwa na Kutukanwa

    Old bagamoyo is historic name, why kibaki road? What happen?
  13. S

    Wanaodaiwa kumuua Padri Mushi Wakamatwa...

    Hayo ya ulimboka yamezuka
  14. S

    MH. Nchimbi wengi wanahitaji ukamilishe ulichokiomba kwa Mh. Rais..!!

    Ingekua serikali inaendeshwa na ww na mchimbi ungeweza.
  15. S

    Nahitaji kupata frem ya duka mlimani city ndani

    Ahsante mkuu ila nipo mbali nikija Tz nitafika
  16. S

    Nahitaji kupata frem ya duka mlimani city ndani

    Mwenye kujua utaratibu wa kupata fremu eneo hili anijuulishe, niliwahi kuulizia nikaambiwa huwa linakodiswa kwa square meter.
  17. S

    Kanisa lanusurika kuteketea kwa moto Zanzibar asubuhi ya leo...

    Tunajua mipango yote iyo inapangwa na mchimbi na magaidi wenzake ya kuihujumu Zanzibar, huyu anatumia uongozi wake kuwaamrisha askari wake wafanye matukio ya ajabu zanzibar bila ya kujali athari zake. Tunampa hongera Maalim seif na Wazanzibar wote kwa kulitambua hilo. Tunategemea mengi zaidi...
  18. S

    Kanisa lanusurika kuteketea kwa moto Zanzibar asubuhi ya leo...

    Muulizeni mchimbi anawajua magaidi wake
  19. S

    Kanisa lanusurika kuteketea kwa moto Zanzibar asubuhi ya leo...

    Mfululizo wa hujuma nani anahusika? Au ni mipango inayotoka upnde wa Tanganyika kuichafua na kuidhoofisha Zanzibar kudai Zanzibar huru? Kwa ukweli hakuna Mzanzibar halisi anaeweza kufanya mbinu hizi chafu na za aibu bila ya kupitia Tanganyika, Tumeshudia mbinu nyingi kama hizi ilipokuwepo...
Back
Top Bottom