Search results

  1. malindi

    Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

    Oh! Analipwa kama kawaida. Ila kwenye taarifa ya leo kutoka kwenye kampuni hiyo kuhusu makala za Mwanahalisi wanasema amechukua likizo ya 'kisiasa'! ila yeye ni bado mmoja wa wamiliki na wenye hisa.
  2. malindi

    Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

    Mpita njia, wewe mwenyewe unafahamu kuwa Bi Karume ni mmoja wa wana IMMMA kwa sasa. Waliazimia kuchota fedha za kidume mzoefu, hatua ya kwanza ni kumchomoa kwenye mrija. Wamefanikiwa lakini wao kutia mdomo imekuwa shida kwani aliyechomolewa hakubali. Kwa kifupi ni hivyo, ya zaidi tusubirie.
  3. malindi

    Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

    Kuna habari ambzo hazipingiki kwamba kuna vita kali kati ya makampuni wawili ya sheria tajwa. Inasemekana kampuni ya Mheshimiwa Mkono ina vita kali na IMMMA kwa sababu imefanya fitna mpaka ikaondolewa kwenye tender ya BOT. Pia inasemekana kwamba kwa mvuto mkubwa iliyo nayo kwa sasa (IMMMA) ina...
  4. malindi

    Wake wa Marais wetu na Mambo yao

    Eh! Mugi, naona umeamua kweli kulivalia njuga. Any way, uko right kabisa ila kwa kweli mi naona kama ni jambo dogo sana. Kwa nchi kama ya kwetu kutumia hela za mvuja jasho kwa mambo kama hayo huwa imeshakuwa kawaida. Kwakweli kuna ufujaji mkubwa kuliko huo ambao hata inatia kinyaa!!!!!!!!!!
  5. malindi

    Minister belittles link with JK's son

    Sorry nilimaanisha lugha kali na sio chafu! Sorry once more.
  6. malindi

    Minister belittles link with JK's son

    Jamamni, mbona mambo yako wazi sana? Mnamlaumu babah kwa kutokuelewa tu. Labda kwa sasbabu ametumia lugha chafu. Tafuteni gazeti la Mwanahalisi la juzi jumatano. Wala hutakuwa na haja ya kuhoji, ukweli always hujitenga! Kuna element za ufisadi hata kwa mtu asiyekwenda shule.
  7. malindi

    Ana kwa ana na Nazir Mustafa Karamagi

    Charles Mullinda JUMATANO, Februari 20, Tanzania Daima Jumapili ilifanya mahojiano na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Mustafa Karamagi, kuhusu mustakabali wake kisiasa baada ya kujiuzulu wadhifa wa uwaziri na jinsi alivyoipokea Ripoti ya Kamati Teule ya Bunge, iliyochunguza...
  8. malindi

    US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara

    US presidential chopper spotted in Dar THISDAY REPORTER Dar es Salaam THE United States presidential helicopter, popularly known as Marine One, has been spotted cruising the skies of Dar es Salaam ahead of the historic visit of US president George W. Bush to Tanzania this...
  9. malindi

    Na Huu Si Ufisadi?

    Kwa kawida waziri ni mwanasiasa tu mtaalam ni katibu mkuu. JK mwenyewe alisema hakuna chuo cha uwazir!
  10. malindi

    Je, ni nani wanamtumia mwana JF huyu?

    Jamani mi mbona siioni hiyo makala ili niweze kuchangia? Bi sent hebu nieleweshe vizuri nataka niipate hiyo makala lakini haionekani!!!!
  11. malindi

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    Da! jamini nimeisoma kwa muda wa kutosha hiyo ripoti! Inaondoka na watu wengi kiasi kwamba siamini kama serikali ya CCM na bunge lake wanao ujasiri wa kutosha. nadhani ndio wakati muafaka wa upinzani kuchukua nchi. CCM imeshasambaratika ndugu zangu. Labda John Mnyika utuambie tofauti!!!!!
  12. malindi

    Ufisadi haukuanzia awamu ya nne!

    Moshi, BOT iliwahi kuchomwa miaka ya nyuma wakati wa awamu ya kwanza!! Au miaka ya ile ya 'mwanasheria tajiri sana'
  13. malindi

    UFISADI Kila Kona: Baraka za CCM KINGA ya Ufisadi BoT na Viongozi Mafisadi

    Du! Tatizo la wabunge wa CCM ndugu zangu ni kubwa kuliko tunavylitazama! We angalia kama utaona Mbunge yeyote pale. Hakuna Mbunge hata mmoja, wengi wanaingia pale kwa maslahi binafsi tu. Wafanyabiashara wa 'harmu' wengi wameingia CCM na kugombea ubunge! unadhani hao ndio watatetea wananchi...
  14. malindi

    BoT Saga Unfolding: Basil Mramba ajiuzulu - Wito

    Mramba ni fisadi namba moja? mbona anogopwa sana?
  15. malindi

    Ripoti ya BOT mbona haitolewi!? Walioiandika wanawekewa shinikizo ili waibadilishe?

    Mh! Ripoti haiwezi kuwekwa wazi ndugu! Watu si watauwana? Wabongo ni watu wa ajabu sana, amesoma ripoti ya EPA na kumfukuza Balali watu wakataka kuandamana. Yaani wanaona kafanya kitu kikubwa sana!!!!!! Na hilo ndilo alilohitaji, basi. Wewe ukimwambia atoe ripoti wakati hata vyama vya upinzani...
  16. malindi

    Exclusive: TANESCO's Audited Report from PPRA

    Hajakubania, jaribu tena!
  17. malindi

    Exclusive: TANESCO's Audited Report from PPRA

    Du! 2010 serikali yote ipigwe chini!!!!!!
Back
Top Bottom