Search results

  1. kajojo

    Tujadili kidogo kuhusu baadhi ya tabia ambazo watu huziona za kawaida ila zinakera sana

    Njoo tule kitimoto hapa kijiweni nimeagiza ya kutosha. Ukiwa na watoto ndo utajua hujui....
  2. kajojo

    JamiiForums Usiku wa manane

    Watu wamelala mapema Leo au 3:18
  3. kajojo

    Utulivu kwenye tendo la ndoa

    Aloo we jamaa........ Utafanya watu wakitoka kusoma hapa wakatafute PA kushusha mzigo
  4. kajojo

    Serikali na Jamii: Kinachoendelea TikTok hakina afya kwa vijana wadogo

    Hivi mpaka una download app ya TikTok, unakua una dhumuni gani au unatafuta nini huko. Na kama walivyosema Wengine unachoki tafuta au kukifwatilia kwenye hii mitandao ndicho utakacho pewa. Kama unatafuta/fwatilia Mambo ya hovyo..... Ndiyo feed ya itajaa Mambo hayo hayo
  5. kajojo

    DOKEZO Mazingira ya kazi kwa Vibarua wa Magazeti ya Serikali si mazuri, mamlaka ziangalie malipo wanayopata

    Doh, Mara Mia kuwa chawa kama kina mwafulani, kuliko kujitumikisha kwa ujira wa elf 4
  6. kajojo

    KERO Waziri wa Maji jitokeze huko uliko uagize Tabata Kinyerezi wafunguliwe maji

    Sio huko tu hata huku kwetu maji ni shida ni mwezi Sasa hatuna maji
  7. kajojo

    Naibu Waziri wa Nishati: Mgawo wa umeme nchini utaisha mwezi wa tatu

    New prophet in town wala hukukosea
  8. kajojo

    Baba Levo: Kama nikifa leo au kesho basi mjue Harmonize ndio ameniua

    Yaani eti huyo na ni mume wa mtu na ni baba kha [emoji1785][emoji1785][emoji2961].
  9. kajojo

    Mnaoishi Mabwepande au Chanika na kufanya kazi Posta mnaamka saa ngapi ili kuwahi ofisini?

    Kiufupi maisha ya Dar kama unakaa mbali na unapofanyia kazi, ni bora ufanye mpango uhamie mkoani... Maana maisha ya mkoani ni mepesi hayana hekaheka za kupoteza mda Unapata mda kupumzika na kufanya Mambo mengi ya kimaendeleo
  10. kajojo

    Nyie mnaokesha kumpotosha Rais ipo siku mtaondoka Duniani

    [emoji2539][emoji2539] [emoji105]
  11. kajojo

    Kueni Makini Sana na hawa wafanyakazi mnaoletewa na Madalali

    Dah, jamani watu wameona fursa siku hizi kwenye udalali wa wafanyakazi. Ukikaa vibaya unaliwa kichwa,
  12. kajojo

    Ghana: Serikali yasitisha Kodi mpya ya Umeme baada ya Wananchi kuigomea

    While In TZ LUKU 28.0KWH Cost 8,196.73 VAT 18% 1,475.40 EWURA 1% 81.97 REA 3% 245.90 TOTAL 10,000.00 Hapo sijkatwa Ile 1500 ya kodi ya majengo
  13. kajojo

    Investigation discovery (IDx) moja ya channel nzuri sana

    ID My all time favourate channel, Kuna kipindi nilikua naangalia mfululizo mpaka watu wa karibu wananiuliza mbona umekaa kimachale mda wote. Maana kupitia hizo documentaries inakufanya umwone Binadam sio mtu wa kumwamini. Channel no. 171 Kwa wanaopendwa true crime documentaries,
  14. kajojo

    TANESCO wamerudisha umeme saa mbili usiku

    Huku bado tunajipepea na ungo Hali ni tete.
  15. kajojo

    Huu umeme wamekata nchi nzima?

    Ukikaa nje upunge upepo mmbu Ukiingia ndani joto..... [emoji3064][emoji3064]
  16. kajojo

    Huu umeme wamekata nchi nzima?

    Yaani nimehangaika kucheki kila Mahali labda Kuna sehem ume flip wapi. Nime uliza kwa majirani kama mchawi Hola.... Tanesco em turudishieni huo umeme kazi zinalala huku dah. Hayo maendeleo yanakujaje kwa style hii aisee
  17. kajojo

    Hakuna maisha ninayoyachukia hapa duniani kama maisha ya kulelewa

    Hatar sana. Pia hongera kwa kutoka kwneye Hilo shimo. Ila hapo Kwenye grid ya taifa lazima utakua umeshaungwa
  18. kajojo

    50/50 ndiyo chanzo cha ushoga duniani

    Ushoga ulianza tangu enzi za Sodoma na Gomora, miaka na miaka, Sasa hivi dunia imekua kama kijiji, yaani dunia ipo kiganjani mwako ni wewe na Bando lako, ndio maana unaona kama vile Sasa hivi vitu viko exposed na vinasambaa kwa kasi, na vinapewa support na mataifa makubwa.
Back
Top Bottom