Search results

  1. cedrickngowi

    ...Balozi Khamis Kagasheki katika hili umeonewa hatia yako siioni bado

    Tulitegemea hili mara tu baada ya kukomaa na vita ya tembo! aliwashika pabaya wenye chama.
  2. cedrickngowi

    Mke wangu hana hobby ya kitu chochote

    Shukuru Mungu kaka! Sisis outing zinatufilisi huku.
  3. cedrickngowi

    Patamu UVCCM Mil 600 hazijulikani zilipo, receipts hewa zatawala, Shigella ahusishwa.

    Vijisent tu hivi,hata wao wanajua. Na hata wanaonung'unika ni kwa kuwa tu hawakupewa mgao but si sababu ya Uchungu au uzalendo. Cheers!
  4. cedrickngowi

    Big result now?

    Ni kakitengo flani hivi kamewekwa maalum kupigia DILI! Kana budget kubwa kuliko baadhi ya wizara. Ni kamradi kazuri kutoa ajira kwa watoto wao na ndugu zao.
  5. cedrickngowi

    Top ten wonderful names from Tanzania

    DANGALILA CHIOKO-Dododma.
  6. cedrickngowi

    Fununu: Lema kuirithi mikoba ya Mbowe!

    Uctumie kichwa chako kufugia nywele tu!
  7. cedrickngowi

    Yasemekana mvinyo mwekundu (RED WINE) waweza kutibu Ukimwi!

    They also say RED WINE is good for the HEART too! so don't miss a Glass of wine daily!
  8. cedrickngowi

    Washauri wa JM Kikwete

    Mi nadhani anashauriwa vizuri, labda matatizo yapo kwenye utekelezaji. Mfano hii ya BIG RESULTS NOW! utekelezaji wake tumeuona ulianza na Mwangosi, Kibanda...........,then Ponda!though haukutekelezwa ipasavyo.
  9. cedrickngowi

    Je ni sahihi kupokea simu ya mpenzi wako?

    ukipokea yangu kichwa kitakuuma.by the way sio sawa.
  10. cedrickngowi

    Picha: Ushuhuda wa wanachama watano wa CUF walioteswa na askari Mtwara

    Kwani ile kauli yao yaNGUNGURI,JINO KWA JINO, imeishia wapi?mbona wanageuzwa geuzwa hivi!
  11. cedrickngowi

    Tendwa: Kwa hili la Red Brigade, Nitaifuta CHADEMA!

    Inamaana haoni BLUE guard,GREEN guard, ila RED brigade tu!Kweli tusitegemee jipya kutoka kwa watu walewale wenye same low level of thinking maana wanatumia uzoefu kuongoza nchi.
  12. cedrickngowi

    Waandishi wa Habari Tanzania wanahongwa na CHADEMA - Spika Makinda

    Uelewa wake ndo umemfikisha hapo!A monitor always depict orders
  13. cedrickngowi

    Nyumba Ndogo Mlaaniwe!!

    Hahahahahaha...........Mkuu mbona unatoa povu!Ulikosea formula kidogo!
  14. cedrickngowi

    Mwigulu Nchemba nusura azichape na Msigwa leo

    Angeomba mwongozo tu kwa yule MAMA. I LUUUV JF.
  15. cedrickngowi

    Siasa na rasilimali zetu.

    Habari wakuu! Najaribu kutafakari sana jinsi rasilimali zote za nchi hii zinavyobinafsishwa kwa wageni.Madini,misitu,mapori ya kuwindia,Mahoteli nk.Najiuliza swali moja la msingi na ambalo nashangaa kama wanasiasa wetu wanafikiria juu ya hili au? Ni kwanini tunashindwa KU-NATIONALISE rasilimali...
  16. cedrickngowi

    Revealed!! CHADEMA ilitumia mitambo maalum ya DVR kurekodi mkutano wa tarehe 15/06/2013

    Natamani kuona sura za Chagonja,Lukuvi, Pinda , Mwigulu na Nape siku ya kurelease hii video zitakavyokuwa.
  17. cedrickngowi

    SUGU avurugwa; amwita Mizengo Pinda "Mpumbavu"

    .Buku saba saba zitakuua mkuu!Be realistic. NONE BUT" UR'SELF CAN FREE UR MIND"
Back
Top Bottom