Search results

  1. B

    Tupeane Taarifa benki zinazosuasua ili tutoe fedha zetu kabla hazijatangazwa mfilisi

    Usitudanganye wakati unajua tigo Airtel na mpesa hawana wanapotunzia hizo pesa zetu zaidi ya kuziweka kwenye hizi benki tunazoonyesha kutokuziamini.
  2. B

    Kwa matokeo haya ya kidato cha nne,Serikali na Wizara husika viwajibike.Tutatengeneza Taifa bovu

    Ni sawa kabisa ila nadhani tumelalamika vya kutosha. Je suluhu yake ni nini? Tufanyeje ili tubadilike? ??
  3. B

    Magufuli kauli hizi (nikiwa Rais, haki ya MUNGU, wataona, nitawanyoosha) Sio za kiongozi

    Hapo anavunja amri ya pili ya Mungu {Usiape Bure Kwa Jina la Mungu Wako}, hii ni dhambi.
  4. B

    Magufuli ni Tingatinga? Hebu someni hapa!

    Umenena vyema kuhusu tingatinga, hapo kwenye rangi nyekundu ni kwamba usipoliendesha tingatinga linabaki tu limetulia halifanyi chochote. Ila ukishaanza kuliendesha linakuwa katika hali uliyolielekeza wewe mpaka ulipe maelekezo mengine ndio litabadili kile lilichokuwa linafanya. Dah! hili jina...
  5. B

    Magufuli ni Tingatinga? Hebu someni hapa!

    Umenena vyema kuhusu tingatinga, hapo kwenye rangi nyekundu ni kwamba usipoliendesha tingatinga linabaki tu limetulia halifanyi chochote. Ila ukishaanza kuliendesha linakuwa katika hali uliyolielekeza wewe mpaka ulipe maelekezo mengine ndio litabadili kile lilichokuwa linafanya. Dah! hili jina...
  6. B

    Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Mbona mkuu anapiga miayo, au hali ya hewa sio nzuri?
  7. B

    Ripoti hii ilifichwa: Chanzo cha kuporomoka Elimu Tanzania!

    Hivi ukijaribu kumeza kitu halafu kikakushinda unafanyaje? Ukipata jibu basi ndicho alichokifanya PM.
  8. B

    Uchaguzi wa Spika Bunge la Kenya

    By simple mathematics, the one with 29 votes should be the winner against 28 votes. Unless otherwise, I don't understand!
  9. B

    Mitral Valve Prolapse (MVP)

    I like your information. Just to witness, I myself was feeling fatigue accompanied by chest pains (on the right of my chest) and could not do my job well at 28 yrs. After consultations with doctors and doing all the prescribed tests, I was diagnosed with MVP in 1988 and subjected to antibiotic...
  10. B

    Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

    I like this ! Nimecheka sana leo kwani umenikumbushia consultant mmoja wa kizungu alikuja kutufanyia kazi ofisini kwetu, sasa sisi huwa tukijisikia ku-pumua tunaenda mbali na upeo wa masikio na pua za wenzetu (sometimes washroom), ila yeye alikuwa anaviachia tu tena kwa sauti kuuuuuubwa du...
  11. B

    Siku tatu zishapita mbona Shibuda upo kimya?

    kwa lipi hasa !
  12. B

    Mlimcheka Kikwete; wengine hawa...sijui tutasingizia nini !!

    Kwa kweli kama hujaelewa wewe utakuwa unafanana na walioandika hundi hizo, hebu angalia tarakimu na maneno yaliyoandikwa kama vinafanana, mimi naona walikuwa tu na uharaka wa kuandika ndiyo maana wakakosea, pia huo ni mfano tu wa hundi na wala siyo hundi kamili.
  13. B

    MasterCard ya CRDB usumbufu mtupu

    Hapa kwenye red, kama hukujaza form ya kuomba iruhusiwe ku-transact online ni kwamba pamoja na maelezo yao bado nakushauri urudi tawini ulikochukulia hiyo kadi, ujaze hiyo form na wakisha-activate basi utapata huduma kwenye paypal yako bila shida. Sidhani kama kadi inakuwa tayari ku-transact...
  14. B

    Ujumbe alioutuma Mh. Selasini muda mfupi kabla hajapata ajali Bomang'ombe

    Kwa hakika haya ni baadhi tu ya matarajio ya wapiga kura wako mheshimiwa, hebu jaribu kuyafikiria - Yako mengi sana ila ni muhimu sana kila unapopanga vipaumbele vyako ukakumbuka kuwapa darasa wananchi wako wajue kabisa kwamba huwezi kutatua matatizo yote kwa wakati mmoja lakini kumbuka pia...
Back
Top Bottom