Search results

  1. C

    Bajeti ya Tanzania 2014/15 ni trilioni 19.6!

    nadhani sasa umekosa hoja..jifunze kujua namna ya kujenga hoja...usikimbilie matusi,kejeri na vitimbi...na unakoelekea utazira kwa maana inavyoonekana ndio tabia yako.......Leta hoja
  2. C

    Bajeti ya Tanzania 2014/15 ni trilioni 19.6!

    Lakini Ndugu wananchi lazima tufahamu fika kuwa serikali haipangi bajeti eti wewe unemeeke...la hasha!!! bajeti ya serikali ni kwa niaba ya shughuli zake za kila siku...ikiwa ni pamoja na kutatua kero za wananchi...hivyo utekelezaji wa shughuli zake ndio hasa kiini cha bajeti ya serikali
  3. C

    SAUT Mnachelewesha boom bila sababu?. Angalia hapa.

    Unajua inashangaza sana kuona watu walioelimika kujibizana maswaala yasio na msingi wowote wa kujenga jamii yetu ya wanaJF na wadau wengine.Pia inashangaza eti tunajiita "The great Thinkers".Mh!
  4. C

    Mabadaliko kwa Mitihani kidato cha NNE na SITA.

    Kimsingi tatizo bado lipo na lina endelea kuitafuna wizara ya Elimu kujikuta kila mara inapata Mawaziri ambao niwajuaji. Mh. Mungai alibadili mfumo mzima wa Elimu bila kushilikisha wadau wowote.Hivyo binafsi pamoja na wadau wengine wa JF mnakubaliana na mimi kuhusu hilo,na pamoja na hayo...
  5. C

    Re:usitishwaji wa gari za noah ni usanii wa kisiasa

    Ni matumaini yangu mko poa wana jf. Napenda kupata ufafanuzi juu ya uamuzi wa sumatra kutaka usafiri wa noar usitishwe.hii ni kwa sababu vijana wengi walikuwa wamepata ajira pia watu wengi wakuwa wakisafiria ktk maeneo mbalimbali ya nchi.naomba lijadiliwe kwani leo mkurugenzi wa sumatra...
  6. C

    Tukumbushane: Kwanini kafulila alifukuzwa CHADEMA?

    Ama kwa hakika MH. DAVID KAFULILA aliondolewa CHADEMA kutokana na hila,chuki,tamaa,pia uchu wa madalaka pamoja na ubaguzi wa kikabila.NI HAYO TU
  7. C

    UHURU: CHADEMA yapasuka

    Unajua hawa mabwana ndio tabia yao ya Uhasama,chuki,kutosikilizana na Kujikweza pamoja na kimbelembele kisiko na maana yeyote.Hapo hawajashika nchi tayari wanatofautiana;Je,wakipata nafasi si ndio balaa? Ni hayo tu.
  8. C

    Re: Udahili wa wana funzi wenye stashahada ni tatizo ndani ya mfumo wa tcu

    HI! WANA JF. Kuna jambo ningependa kufahamu juu ya ukosefu wa majina kwa baadhi ya wanafunzi wa stashahada ktk taasisi ya serikali(TCU).Mfano mdogo ni ukosefu wa majina yote ya wanaCBE-MWANZA kujikuta hawapati usajili eti kwa kuwa RECORD zao hazipo.Sasa NaNi alaumiwe kwa ubabaishaji huu...
  9. C

    Kauli ya Dr. Slaa kuhusu hoja za ccm Jangwani - CCM mna majibu ya tuhuma hizi??

    Ama kwa hakika akutukanae hakuchagulii tusi,hivi nyie wanaCDM hamuoni haya hata kidogo kila siku kufuatilia nyumanyuma kama mkia.Halafua nyie mmekuwa mkiiga mambo mengi lakini CCM HAWASEMI CHOCHOTE.KWA MFANO UZINDUZI WA MTANDAO WENU WA KUCHANGIA CHAMA,HAPO JE,MNAWEZA SEMA LOLOTE.VILEVILE NYIE...
  10. C

    Kauli ya Dr. Slaa kuhusu hoja za ccm Jangwani - CCM mna majibu ya tuhuma hizi??

    Ama kwa hakika akutukanae hakuchagulii tusi,hivi nyie wanaCHADEMA hamuoni haya hata kidogo kila siku kufuatilia nyumanyuma kama mkia.Halafua nyie mmekuwa mkiiga mambo mengi lakini CCM HAWASEMI CHOCHOTE.KWA MFANO UZINDUZI WA MTANDAO WENU WA KUCHANGIA CHAMA,HAPO JE,MNAWEZA SEMA LOLOTE.VILEVILE...
  11. C

    Mkutano wa CCM Jangwani: CCM yafa Rasmi

    Ama kwa hakika kumekuwa na upotoshaji mkubwa ktk mkutano wa leo hususani kwa wale wasioitakia mema CCM.Nikianza na huyu bwana alie leta mada hii,yeye binafsi amejalibukutoa baadhi ya maelezo ambayo kimsingi si ya kweli;mfano mojawapo ni kuhusu suala la wanachama kuletwa kwa magari,sasa nalo hili...
Back
Top Bottom