Search results

  1. nundaz

    Bei ya Mafuta kushuka kwa Shilingi 29, Mnaelewaje hapa?

    Hivi hawa watu wapo serious kweli na hili swala la mafuta?? kwamba kikao na Rais nso kimepitisha hilo swala?? Siamini hata!!
  2. nundaz

    Uber yasitisha huduma zake Tanzania, yazitaja nauli elekezi Latra kama sababu. Itarejea kanuni zikibadilishwa

    bro mimi ni dereva wa bolt hyo bei unayosema hapo ya bolt tujiulize wote 10000 hyo bolt wanakata 23.5%kama comision yao dereva anabaki na shilingi ngapi?? bolt wanaumiza sana madereva kwa kigezo cha kumjali mteja kitu ambacho sio sahihi, Latra wametoa bei elekezi na wamewaambia comision yao...
  3. nundaz

    Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

    mbona hamuelewi wakuuu??? kuombwa sio tatzo!! si kuna utaratibu wa kuomba hizo taarifa? shiida hapo ni kuwa utaratibu wa kuomba hizo taarifa za mteja hazifuatwa! mbaya zaidi hyo barua hata boss zake jamaa hawapitisha sasa itaaminikaje??? maana kila kitu kafanya yeye
  4. nundaz

    Kesi ya Mbowe: Kibatala na Mallya wameiondolea Mahakama uwezo wa kumfunga Mbowe hata ikishinikizwa

    hao wazungu uliowaonesha wewe hilo file???? Kama mnalipwa kutetee hao watawala si uchukue pesa harafu ukae kimya?
  5. nundaz

    Nimefurahia maamuzi kesi ya Mbowe, Mungu mkubwa atatenda

    Unajua nashindwa kuwaelewa watanzania wenzangu. Hivi mtu una akili timamu kweli. unalinganisha kesi ya sabaya na kesi ya mbowe??? Sabaya aliumiza watu, alitorture watu na wapo na wametoa ushahidi na sio hao tu amedhulumu mtu milion 90 na kesi bado yaendelea!! mbowe amemdhuru nani??l hayo...
  6. nundaz

    2025, CHADEMA mmetuandalia siasa gani?

    pamoja na yote hayo mliyofanya bado mnawazuia kufanya vikao vya ndani? bado mnawakamata na kuwapa kesi za kutunga!! My take!! Waruhusuni waanze kufanya vikao vya ndani na nje kama nyinyi mnavyofanya harafu ndo muone maana halisi ya" UPEPO WA MABADILIKO"
  7. nundaz

    Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

    Hivi unaposema "uzalendo mkubwa" unakiwa una maaana gani mkubwa???? naomba kuelimishwa kidogo!!
  8. nundaz

    Kiufupi Polisi wako biased sana kwa CHADEMA. Hatua waliyofikia si nzuri

    hoja nzuri sana hii mkuu!! akikujibu nitag hapa!! kuna muda unawaza hivi watu wengine wanawaza kwa kutumia nini???
  9. nundaz

    Maamuzi ya kesi ndogo katika Kesi ya Mbowe na Wenzake kutolewa Oktoba 19, 2021

    mkuu unapoteza muda kumjibu mtu kajiunga JF juzi?????
  10. nundaz

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    ha ha ha ha ha ha ha mwakakwaya mtiifuu kakutunuku tunda kimasiahara
  11. nundaz

    Anasema mpeane ”break time“ ina-make sense kweli?

    pole sana mkuu!!! huyu mtu mnaishi naye sehemu moja?? kwa maana ya mkoa mmoja au kila mtu yupo mkoa tofauti???
  12. nundaz

    Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

    Mkuu umeongea kitu cha ukweli mtupu!! hili lina ushahidi nalo kwa 100% kabisaa!! ukimpenda sana harafu akajua kuwa unampenda dharau zinaanza harafu anakuchukulia poa sana!!! nimeanza kulifanyia kazi kwa ubora zaidi
  13. nundaz

    Poleni vijana mnaofikiria kuwa na pesa utapata mapenzi ya kweli

    Huu ni ukweli mtupu, wenye pesa wanatafutwa na wanawake wengi!! Sasa hiyo ligi kama unaiweza ingia!!!
  14. nundaz

    Uturuki na Irani hawaoni ndugu zao wanavyouawa Palestina, kwanini hawaingilii?

    Mkuu tupe madini kwa nini israel inaonekana ni Taifa dogo lakini linakuwa na nguvu kuzishinda hizo nchi zingine zilizo ungana???? kuna siri gani kwa israel kuwa na nguvu hivyo??? tunaomba Elimu mkuu
  15. nundaz

    Rasmi nimeamua kuachana na betting. Kubet ni kutafuta umasikini na ufukara

    like wise to me broh!!! mimi huwa nacheza ngumu kumeza tu jackpot.mpka sasa nilisha wahi wapiga betpawa 10 milion kwa kupatia mechi 15 kati ya 17. pia nina rekodi ya kupatia mechi 14 kati ya 17 tena mara 2. ninacho amini sio kila mtu hili game linaweza mkubali!!!
  16. nundaz

    Je, naweza kuendesha maisha yangu na familia kwa kutegemea mikeka tu?

    mkuu nawezaje kujiunga na group lake?? maana nimemsearch telegram nimepata majina mengi kama yake naomba link pleasseeeee
  17. nundaz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wanaanza na mechi 9 mkuu,10,11 na 12 unakuwa mshindi
  18. nundaz

    Uliza jambo lolote kuhusu Bahari na safari na vimbwanga vya Baharini

    Hiyo ambari ni nini mkuu?? ni madini?? yanafananaje?? yanatumika kufanyia nini?? tupe madini mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom