Search results

  1. H

    Mbegu zipi za mahindi za DK zinafanya vizuri?

    Mkuu, tusaidie na ishu ya mbolea. Ni mbolea zipi zinatumika kukuzia mahindi na zipi ni nzuri kwa ajiri ya kuzalishia mahindi.???
  2. H

    Break down ya Mil. 27 kwa nyumba ya vyumba 3 yenye kila kitu

    Itakufikisha hatua nzuri kabisa, japo sjjaona moja kwa moja pesa ya fundi wa msingi, kuinua boma, fundi wa kuezekana n.k
  3. H

    Ni mbegu gani za mahindi zinafanya vizuri katika mkoa wako?

    Habari ya leo mkuu. Naomba kufahamu makundi ya mbolea za kukuzia na kuzalishia, yaan mbolea zipi nibza kukuzia na zipi za kuzalishia.
  4. H

    Makadirio ya Gharama za kuzungusha uzio kwenye kiwanja

    Ahsante sana boss, ubarikiwe. Nikiwa tayari ntakucheki kwa ajiri ya ramani.
  5. H

    Makadirio ya Gharama za kuzungusha uzio kwenye kiwanja

    eneo lenye ukubwa wa 42mx50m linaweza kuhitaji tofari na cenent ngapi kwa ajiri ya fensi?
  6. H

    Makadirio ya Gharama za kuzungusha uzio kwenye kiwanja

    Mkuu msaada hapa pia, eneo lenye ukubwa wa 42mx50m linaweza kuhitaji tofari na cenent ngapi kwa ajiri ya fensi?
  7. H

    Nataka nitoke na binti niliyemwajiri. Kwa wale mliowahi kutoka na mabinti mliowaajiri kwenye maduka au ofisi zenu, hii itaathiri ufanisi wa kazi?

    Oa ili mkifunga biashara akipata boss mpya amshikeshike apige. Binti mwenyewe mzinzi tu huyo....kumgusa tu imo. Oa uje ulie kwamba umegongewa na house boy
  8. H

    Gharama za kujenga nyumba ya kupangisha kwenye kiwanja hiki

    Wasiliana na kampuni husika uuziwe hiyo raman kamili.
  9. H

    Gharama za kujenga nyumba ya kupangisha kwenye kiwanja hiki

    Nimeiona fb nikaipenda. Ni nzuri kwa wapangaji, nami nimeanza kuifanyia kazi.
  10. H

    Kati ya mahindi na alizeti kilimo kipi kinalipa?

    Mahindi ukiyahudumia vyema unavuna gunia 20 hadi 30. Lakini sio huduma alizosema huyo mdau, mbolea mifuko hadi mnne kwa heka moja.
  11. H

    Naomba tathmini ya gharama ya hii nyumba

    Wewe chukua ramani hiyo, tia tofar zako hapo
  12. H

    Naomba tathmini ya gharama ya hii nyumba

    Mkuu 6m kwa sehemu wanayouza tofari 100 rekebisha hiyo raman chap uanze ujenzi itakusogeza maana hio nyumba unapenda hata bati 30 hazizidi. So kwa hiyo 6m hata bpma unasimamisha fresh......usitishwe na mamilioni wanayoyasema wengi.
  13. H

    Naomba tathmini ya gharama ya hii nyumba

    haaaaahaaaaa sidhani kama mdau alifikilia kufikia hiyo m18
  14. H

    Uzi maalum kwa wauzaji wa vifaa vya simu

    tupo.....kama unahitaji nichek
  15. H

    Naomba kujuzwa tiba ya Uric Acid nyingi mwilini

    Ahsante, dawa zilikusumbua sana wakati unatumia? I mean kwa kiwango ukashindwa endelea na shughuli za kawaida? Pia mazoezi nafanya wakati huu natumia dawa au baada ya kumaliza dozi. Kulingana na ushauri uliopewa
  16. H

    Naomba kujuzwa tiba ya Uric Acid nyingi mwilini

    Mkuu, ulipewa Allopurinol ya gram ngapi? Leo nilienda kununua nikakuta kuna ya gram100 na 300 . Nikishindwa kujua nichukue ipi
  17. H

    Naomba kujuzwa tiba ya Uric Acid nyingi mwilini

    Mkuu, kwasasa sipo huko, lakini huwa nakuja kila baada ya miezi kadhaa ikiwezekana nipate hata email yako au namba ya simu ili siku nikifika nikucheki. Natanguliiza shukrani.
Back
Top Bottom