Search results

  1. N

    Channel gani DSTV wanaonyesha Bundesliga?

    Dortmund na schake Chanel ngap?
  2. N

    Mganga wa Tiba Asilia amuandikia barua Rais Magufuli kuhusu tiba ya COVID 19

    Hongera kwa kupata dawa ! Mbona Tena unahofu ya mavazi huku unadawa mbona mashaka Tena
  3. N

    Wakristo hamna budi kumshukuru Yuda Eskariot, bila yeye Ukiristo usingekuwepo.

    Hakuna alichorahisisha Bali ni njia tu, hivi ukiwa unajua 2+2=4 halafu mtu mwingine akiwa hajui anakuandikia hapo si kurahisisha,sawa sawa na wewe Mungu anajua tangia kitungwa kwako mpaka kuzaliwa ila wewe huwa hujui mpaka uzaliwe, pia Mungu anajua lini utakufa na kwa namna gani ila sisi hatujui...
  4. N

    Wakristo hamna budi kumshukuru Yuda Eskariot, bila yeye Ukiristo usingekuwepo.

    Tangu mwanzo Yesu alijua amekuja duniani ili kumkomboa mwanadamu kwa sababu ya dhambi alizotenda, hivyo Yuda ni nani? Yuda ni Mimi na wewe ambao bado tupo katika kutenda dhambi hivyo tunazidi kumtesa Yesu msalabani, hivyo hakuna mkristo anayemlaumu Yuda Bali tunajilaumu wenyewe kwa madhambi...
  5. N

    Makomandoo Kwenye Madhabahu za makanisa ni wanini?

    Mm binafsi sijaona hyo labda ni papa pekee anayelindwa tena na makadinari hakuna komandoo hapo cjui madhehebu mengine utaratibu wao
  6. N

    Bandari kwafumuliwa

    Yetu macho
  7. N

    Mchungaji Anthony Lusokelo apinga ndoa za mke mmoja

    Wengi ni mbwa mwitu waliojifunika mavazi ya kondoo
  8. N

    Natafuta kazi

    Mimi nimhitimu Wa Chuo mwaka 2013 ninashahada ya usimamizi Wa biashara,yaano BBA hivyo natafuta mwenye kunisaidia namba 0687067376 kwa sasa nipo kahama asanteni sana
  9. N

    Masikini kaka huyu

    Kijana akumbuke kiapo alichofanya kanisan kuwa atampenda ktk shida na raha,ktk shida na maradhi, ila kama uvumilivu anaweza rudi kanisani aliyewafungusha yaweza tenguliwa ila atambue ni kwa ajili ya ugumu wa moyo wake na kutotambua maana ya agano alilo fanya
  10. N

    Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

    tz goals goals goal! Kama ww unapingana na watz ww mchawiiiiiiiii mungu bariki taifa star
  11. N

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    si makosa yao bali uelewa mdogo na ufahamu mdogo! kwa ufupi sana ni kwamba shule za mission na hospital za mission ndio zilianza hata baadhi ya mashehe wamesoma huko tuwe wakweli viongozi wengi wakiwemo waisilamu wengi wamesoma huko! si walaum kwani akiri zao ziko kama bata haziwezi kutambua...
  12. N

    Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    ameshakuwa mwenyeji na simgeni tena! amechokwa kila siku
  13. N

    MWENGE wawafanyia 'mbaya' WALIMU...

    hawana pa kukimbilia mkubw! wasipo jitambua watakatwa mpaka ziara za mawaziri!
  14. N

    hellow

    nimehisi nimekosa mawazo mazuri na yenye busara! hivyo nimetambua mchango wenu wa kuielimisha jamii. ninabisha hodi katika safu hii naomba kupokelewa.
Back
Top Bottom