Search results

  1. D

    KNCU na shamba na nyumba zake - CCM kwenye kashfa nzito Kilimanjaro

    Pamoja wizara ya kilimo kutangaza wazi kuwa nyumba za kampuni ya kukobolea kahawa hazitauzwa wala mashamba ya kncu, tayari taarifa zimeenea katika mji wa moshi ya kuwa alienunua nyumba ya tccco iliyoko moshi mjini tayari ameshalipa fedha zote pamoja na kwamba wizara inayoongozwa na waziri chiza...
  2. D

    CHADEMA yapinga matokeo ya uchaguzi Jimbo la Kalenga, wana CHADEMA watoa machozi

    Hivi karibuni kumekuwa na malumbano kati ya uongozi wa kampuni ya kukobolea kahawa ya moshi tccco na baadhi ya vingozi wa vyama vya ushirika Kilimanjaro kuhusiana na uuzwaji wa mali za kampuni hiyo ambayo wanachama wake ni vyama vya ushirika Kilimanjaro na arusha. Ugomvi huu umetokana na...
  3. D

    Ufisadi KNCU na TCCCO

    Hivi karibuni kumekuwa na malumbano kati ya uongozi wa kampuni ya kukobolea kahawa ya moshi Tanganyika Coffee Curing Company(TCCCO) na baadhi ya vingozi wa vyama vya ushirika Kilimanjaro kuhusiana na uuzwaji wa mali za kampuni hiyo ambayo wanachama wake ni vyama vya ushirika Kilimanjaro na...
  4. D

    UTPC ni chafu pia inalenga kumhujumu rais

    Ufisadi UTPC Napenda kuanika kwa uwazi ufisadi mkubwa ulioko ndani ya umoja wavilabu vya waandishi wa habari nchini utpc unaoongozwa na mkurugenzi mtendaji wake abubaka kasan. Kasan amekuwa akizitumia fedha hizi ambazo nyingi ni msaada kutoka kwa wahisani mbalimbali kwa matumizi binafsi...
  5. D

    Tanzania daima mmechemsha

    Nimesoma kwa masikitiko makubwa habari zilizoko kwenye gazeti la tanzania daima yenye kichwa cha habari lowassa na mengi kufanyiziwa kama lwakatware. Nasema nasikitika maana ni habari za uongo na za kizushi haswa ikitiliwa maanani umaarufu wa watu hawa wawili ndani ya nchi hii, yaani...
  6. D

    Ahsante Tours sio Wazalendo ni Wahujumu Uchumi

    kagasheki hawezi kuchukua hatua; somo hapa chini uone: Habari hii inatokana na kashfa iliyozuka dhidi ya balozi kagasheki ya kwamba amepokea rushwa ya shilingi milioni 20 kutoka tanapa ili kumgeuka msaidizi wake ambae ni lazaro nyalandu kuhusu sakata la asante tours Tarehe...
  7. D

    Ahsante Tours sio Wazalendo ni Wahujumu Uchumi

    SOMA HII DOGO kagasheki hawezi kuchukua hatua; somo hapa chini uone: Habari hii inatokana na kashfa iliyozuka dhidi ya balozi kagasheki ya kwamba amepokea rushwa ya shilingi milioni 20 kutoka tanapa ili kumgeuka msaidizi wake ambae ni lazaro nyalandu kuhusu sakata la asante tours...
  8. D

    Rco kilimanjaro na sukari

    Nimepokea kwa masikitiko makubwa habari za kuhusishwa kwa rco Kilimanjaro na biashara haramu ya sukari, ingawa siamini kama sukari ni ya shida tena maana imejaa kwenye maghala huko tpc mpaka wameomba mengine nje ya kiwanda hicho. Sitaki kuonekana namlinda RCO huyu bali napenda nieleze...
  9. D

    Mwandishi kugongwa, viongozi wa Kilimanjaro kuwakana wenzao

    Makamanda kuna taarifa kuwa chama cha waandishi wa habari kilimanjaro kinaanda tamko la kuwakana wanahabari wenzao waliojifanya mapolisi na kwenda kukamata sukari usiku wa manane huko himo, mimi hili halitanishangaza kwa vile viongozi wa sasa wana ukaribu na kamanda mpya wa polisi...
  10. D

    Mwakilishi wa gazeti la Mwananchi - Moshi Bw. Daniel Mjema ana maslahi na Kumburu.

    Jamani sijui muwambiwe vipi muelewe. ndiyo maana nikasema ya kuwa jf wana ajenda ya siri pale inapokuja mambo yanayohusu ukweli. tangu juzi tunaotoa taarifa juu ya mjema na mwenzake ambao wamejifanya mapolisi katika kuzuia magendo ya sukari kwa manufaa yao wenyewe leo ndiyo mankubali ya kuwa ni...
  11. D

    Mwandishi wa habari agongwa na gari makusudi

    nyie jf mnanjama kubwa ya kuficha maovu, kwanini watu wanaeleza ukweli wa mambo na nyie mnaondoa threads za watu. kwa kweli mnatukatisha tamaa na ndio maana tunasema ya kuwa nyinyi mnahongwa. kuhusu sakata la mwandishi kugongwa ukweli ni ule uliotolewa na dira. ukweli wenyewe ni kuwa waandishi...
  12. D

    Mwandishi wa habari agongwa na gari makusudi

    hakuna anaependa mwenzake apate madhara, lakini huyu charles ndagulla amejitakia mwenyewe! Nasema hivi kwa sababu kadhaa ambazo nitazieleza, 1. Yeye huyu pamoja na mwenzie waliokuwa nae wanatabia ya kufuatilia maswala kama haya ya uvushaji sukari na magendo mengine huko mipakani ili wahusika...
  13. D

    Umoja wa vilabu: Ubadhirifu mkubwa utpc

    DIRA Umoja wa vilabu nchini, utpc, umeingia katika kashfa kubwa ambapo rais wake keneth simbaye, mkurugenzi wake abubakar kasan na bodi nzima wanatuhumiwa kufuja fedha za umoja huo. Habari kutoka vyanzo mballimbali ikiwemo ndani ya utpc yenyewe na baadhi ya vilabu vya mikoani...
Back
Top Bottom