Search results

  1. O

    Tundu Lissu: Rais Samia aamue kubaki na picha au kubakiza furaha Kwa Wananchi

    Sawa. ila usisahau akiachiwa pia mtashangilia na kumsifu Mama Samia. Mbowe akifungwa pia utashangilia
  2. O

    Mapenzi hayako Fair. Wakati mpenzi wa Zamaradi kawekwa kwenye bango la mil. 6, wengine hata kwenye phonebook hampo

    Utashangaa ukijua ukweli wa mambo. Hujui yawezekana hao wanaowekana kwenye mabango nyuma ya pazia wanapitia yapi. Ukiishi kwa kuangalia maisha ya kwenye mitandao na celebrities utakufa siku sio zako. Hata huku mitaani kuna watu wanafake sana kupendana ili tuu waonekane wanapendana lakini nyuma...
  3. O

    Wosia wangu kwa vijana wa kiume humu JF, huenda nisitoe tena wosia huu

    Achana na vijana. sema wanaume wote. Nina jamaa yangu miaka 45 alidatishwa na mtoto wa kitanga alafu mtoto mwenyewe ukimwangalia siyo pisi kivile. Jamaa alitelekeza familia anaweza kukaa miezi minne hajaenda kusalimia familia. na akienda lazima aumwe. akirudi kwa totoz anapona. Kumbe...
  4. O

    Nilifuta meseji za mchepuko ila mke wangu kanionesha zote kwenye simu yangu

    Hakuna cha app wala nini. Hizi simu za android ukidelete chochote (picha, video au sms) vinaenda kwenye recycle bin. Ni kama pc tuu. Mtu mjanja akizama kwenye recycle bin anakuta sms zote na picha ulizofuta. Mimi nikidelete kwenye inbox nazifuata kule kwenye bin nafanya ku empty recycle bin...
  5. O

    Kuku aina ya Kuroiler F1 wanapatikana wapi?

    Kwanza unataiwa kujua kabla ya F1 kuna parent stock au F0 (F zero). Kwa kuroiler hawa wanapatikana kwa kufanya cross breed lati ya broiler na layer. Then hao F0 wakitaga na mayai kutotoleshwa ndo unapata uzao wa kwanza F1 . Watoto wa F1 wanaitwa F2. Kama hujaelewa lipia twisheni
  6. O

    Kuku aina ya Kuroiler F1 wanapatikana wapi?

    Nimeingia chap mtandaoni nimeshapata namba zao na pia nimeingia youtube kucheki profile zao. barikiwa sana, Unajua huku mtaani tunadanganywa sana. mtu anakuambia ana F2, lakini kumbe ni F3 unachukua vifaranga unakuta hawakui vizuri na hawakupi matokeo tarajiwa
  7. O

    Kuku aina ya Kuroiler F1 wanapatikana wapi?

    Asante sana Mkuu nitaufanyia kazi ushauri wako.
  8. O

    Kuku aina ya Kuroiler F1 wanapatikana wapi?

    Nahitaji kujua wapi naweza kupata kuku aina ya kuroiler ambapo naweza kupata vifaranga wa F1. hii ina maana huyo supplier yeye awe na Parent stock ya F0. Location iwe kati ya Morogoro, Iringa au Dodoma
  9. O

    Hivi mwanaume mwenye hela anaweza kuachwa?

    Hatakuacha kwa sababu ya hela zako lakini lazima akusaliti. unampa hela lakini muhogo haupati vzuri lazima akusaliti tena anaenda kumpa hela huyo njemba atakayemfikisha kileleni
  10. O

    NHIF na manyanyaso kwa wagonjwa

    Mgonjwa anaenda hospitali. Anaambiwa mtandao haufanyi kazi. Anakaa masaa, wagonjwa wa cash wanahudumiwa. Unaweza kufiwa na mgonjwa wako reception kusubiri mtandao.
  11. O

    Unapoambiwa chozi la mwanaume halithaminiki ndiyo kama hivi

    Ni upumbavu tuu. Mimi mwanaume lakini nikiwa na langu jambo limeniumiza nalia haswa. Nilifiwa na mama nimefika msibani nikalia watu wananigombeza eti mi mwanaume. nikawaacha nikaenda zangu room nikalia weeeee nikamaliza tukaendelea na taratibu zingine
  12. O

    Nafikiria kufungua kesi ya Madai dhidi ya Lissu na Wenzie

    nenda kawashitaki Mataga kwa kuchelewa kutangaza msiba
  13. O

    Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

    Amekuona ww zezeta. Alafu naona bado unafikiri kwa kutumia kichwa cha kikojoleo
  14. O

    Kujengea tanki la maji juu vs kufunga pressure pump. Tubadilishane mawazo

    Linapokuja suala la kilimo cha umwagiliaji, kuna mbinu nyingi hutumika. Leo naomba kushea nanyi drip irrigation. Sasa ili maji yasambae shambani yanatakiwa yawe na pressure nziri. Watu wengine hujengea tanki juuu ambapo maji hupandishwa kutoka chanzo husika hadi kwenye tanki ndipo yashuke kwa...
  15. O

    Je, ulishawahi kuletewa pigo sizo na wageni wako? Weka mkasa wako, yangu hii hapa

    Aisee. Basi mi nitakuwa nafanya hivyo kila ninapopata ugeni wa kiislamu
  16. O

    TRA yadaiwa kuvamia Waturuki na kufunga Ofisi jioni ya Leo (Desemba 14, 2020)

    Hivi si wameambiwa mishahara ya TRA ishushwe? hasira tunahamishiwa mbuzi wa azazeli
  17. O

    Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Nothing new. Sura nyingi ni zile zile. Lukuvi, Ummy, Jenister, Kabudi, Mkuchika, Mwigulu, Ndalichako,
  18. O

    Uchaguzi 2020 Mbunge wa upinzani atakayeingia bungeni nitamshangaa sana

    Kwa hali inavyoenda sijui kama upinzani utapata wabunge hata 5. Lakini kuna mantiki gani wao kuwa wabunge katika mazingira haya? Bora waachie wajivue tu wabaki CCM 100% maana kinachofanyika ni kuhadaa dunia.
Back
Top Bottom