Search results

  1. M

    Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

    Sijui kama wanchi wa singida kwenye jimbo la mgulu nchemba walimpigia kura huyu jamaa, huenda alishinda kwa kura za anavyojua yeye ,make angekuwa amepigiwa kura na wananchi asingekuwa anasimama na kujibizana mambo ya kipuuzi anaacha kuwakilisha vilio vya wapiga kura wake. Kama kuna mtu anajua...
  2. M

    ACP Hemed Msangi...

    Fanya Utafiti kwanza kabla ya kuleta ujumbe kama huu ktk blog...mimi nawashangaa sana watanzania hivi ni kwanini tuna penda kuwa na Tabia za kizushi??????????? unajua uzushi unaleta usumbufu mkubwa kama kweli kamanda kahusika huyu aliyeleta huu ujumbe alikuwa wapi?? acheni uzishi hauna ukweli...
  3. M

    NONSENSE: Madaktari Wamelipwa na Kundi fulani ili Wagome ILI Nchi isitawalike!

    Jamani hayo ni maswli ambayo huwa magamba wanayatengeza kisha wanapewa wale vimbelembele kama huyo martha mlata kuyauliza kwa ajiri ya kutaka kujiosha, na kama mmekuwa mkifuatilia waziri MIZENGWE PINDA amekuwa akiyatunia sana ktk maswala magumu ambayo pengine ingempasa awajibike, angalia ktk...
  4. M

    Hivi kuna umuhimu gani wa kuvaa pete ya ndoa kidoleni muda wote?

    Kasome vitabu vya mwenyezi MUNGU ili ujue kuvaa pete ni ishara ya upendo kwenye ndoa yako au upo ktk giza la kushikilia miungu ya shetani ktk ndoa yako? Soma Mwnzo 35:1-4, Isaya 3:16-20,Wafalme wa pili 9:30,Petro wa kwanza 3:3-4. Ukimaliza kusoma ukielewa vzuri wambie na wenzako mnaovaa pete...
  5. M

    LIVE: Bulaya, Nassari na Mkosamali TBC1

    Katika kippindi cha jambo Tanzania wabunge watatu Joshua Nasari, Mkosamali na Esta Bulaya. Esta Bulaya adai kukuwa kwa demokrasia tanzania waka ti mwezi may kuliendeshwa interview ya JKT ktk Mkoa wa SINGIDA. Swali lililoulizwa kwa vijana wetu waliomaliza kidato cha sita ni hili, je ni mbuge...
Back
Top Bottom