Search results

  1. silaha

    Alama ya mgogoro mzito ndani ya mabaki ya CCJ (CCK)

    Tamko la kupinga Chama Cha Kijamii (CCK) kushiriki Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Oktoba, 2015 Chama Cha Kijamii (CCK) kimekosa sifa za kushiriki kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25/10/2015 kwa sababu zifuatazo: 1. Kuna kesi mbili Mahakama Kuu Dar Es Salaam dhidi ya viongozi wa Chama (CCK)...
  2. silaha

    Dodoma-mafisadi kuanza kuhonga mapema wapinzani njaa

    habari nilizonazo kama tetesi asubuhi ya leo kuwa kundi la mgombea urais mmoja wa ccm limeanza kuwasogolea wanasiasa wa vyama vya upinzania wenye njaa kali ambao kwao hii ni opportunity never come twice ya kujitengenezea maisha yao baada ya bunge hili ( kumbuka wengi wa wanasiasa hawa wa vyama...
  3. silaha

    Zitto: Namsubiri Mbowe Mahakamani

    namkubali huyu jamaa vilivyo
  4. silaha

    Kwanini Ikulu inaendelea kuudanganya ulimwengu?

    ya zitto yamekushinda sasa umeona uhamie kwa wazenji? hebu tueleze ukweli pia wa shekh suleiman taqdiir na akina bilal waikela walivyopigania uhuru wa tanganyika na nyerere akaitwa baba wa taifa wakati si kweli? nyani haoni ....
  5. silaha

    Dr. Slaa sijawahi kuwasiliana na mwenyekiti wa CHADEMA Temeke

    slaa ni mnafiki,muongo na mzandiki kama lissu,alimsingizia kitila kakiri zito aliujua waraka kimtila kamkana,leo anamkana huyu jamaa madam waliotumwa kumchacha wangwe hawakumalizia kazi yao,joto ataiona,atateseka kama sharon...
  6. silaha

    R.I.P Ariel Sharon ( shujaa aliyempendeza mungu kwa kulinda taifa lake)

    eee Mola,umemtesa sana sharon kwa kumuweka kwenye comma 6 au 7 years,ni dalili nzuri kuwa huko akhera utampokea kwa ghadhabu na hasira kuu kwa madhambi ya mauaji na ubakaji aliyoyafanya hapa duniani,ewe mola,msokomeze kafiri na gaidi huyu kwenye moto mkali zaidi kuliko jahannam,aaamin
  7. silaha

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    lugha ya kujihami hii,tena ya kitoto...
  8. silaha

    Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke Joseph Yona, apigwa na kuumizwa vibaya!

    mwanamke asiyejitambua bila shaka utakuwa ni wewe shoga angu,vipi ushamaliza kusukwa mabutu???? hahahaaaaaa,ndo zenu kuwachacha wangwe wanaowapinga,anza na samson mwigamba kapigwa mbele ya mbowe,mjumbe wa kamati kuu toka kigoma kakung'utwa mbele ya mbowe juzi,na huyu nae,ndo sera yenu shogaee...
  9. silaha

    Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke Joseph Yona, apigwa na kuumizwa vibaya!

    HAKYAMUNGU SIWAPI KULA,ntawahamasisha wanawake wenzangu nchini kuepukana na hili balaa linaloitwa CDM!
  10. silaha

    Unafiki huu wa wanaharakati (CHADEMA), kiboko

    katika list kuna wahongaji mashuhuri wa pesa kwa mbowe mpiga dili,MKONO,ROSTAM,SABODO......ONGEZEA UNAOWAJUA
  11. silaha

    Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke Joseph Yona, apigwa na kuumizwa vibaya!

    kama sasa hivi ukipingana nao mawazo unaitwa msaliti,mhaini,ccm,buku 7 nk. je tukiwapa nchi ukawapinga si watakuita banyamulenge au intarahamwe ili wakumalize??
  12. silaha

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    eka bandiko la mkono kukanusha kumpa mbowe pesa,nacojua kakanusha madai ya kumuhonga zitto gari,bali kamuuzia na kamkodishia moja!
  13. silaha

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    mkono amekana madai ya tobo lissu,lakini hajakana madai ya zitto kuhusu mbowe kupewa mamilioni,wanachadema bado hamuelewi???? pili,inaonyesha namna gani gongo ilivyo mbaya kwa ustawi wa taifa letu hasa baada ya kuwafanya viongozi wakuu wa chadema kuwa mabingwa wa kuropoka,uwongo na uzandiki...
  14. silaha

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    kwa maelezo ya mbowe hapo mwiso katika gazeti la raia mwema ina maana kakubali ni mpiga dili..
  15. silaha

    Godbless lema-tafadhali ondoa ufisadi huu kwenye ofisi za serikali jimboni kwako.

    Wana jamvi,hivi kuna mmoja wenu aliyewahi kufukuzia hati ya kusafiria katika ofisi za uhamiaji Arusha? make ukienda pale kama huna zaidi ya laki tatu unaweza usipate pasi hiyo hasa ukikutana na mtu mmoja anaitwa John,mkaka mrefu ivi,ana sura ya kimasai,dhaifudhaifu flani vile,ye hata ukienda na...
  16. silaha

    Mabasi yenye uwezo wa kutembea majini na nchi kavu kuzinduliwa nchini mwakani na kampuni ya transeve

    Kampuni ya Transevents Marketing Ltd ya nchini Tanzania kwa kushirikiana na kampuni la Dutch Amfibious Transport (DAT) inayotengeneza mabasi kutoka Uholanzi yenye uwezo wa kutembea nchi kavu na majini na ambayo ni Teknolojia ya kwanza kwa Afrika itakayo anzia Tanzania kuwa na aina hiyo ya...
Back
Top Bottom