Kwanini mchele tu? Mbona kwenye bomu la sukari wasiruhusu? Bidhaa za viwandani utasikia tunalinda viwanda vya ndani why not wakulima? Anayeona chakula ni ghali aende shamba akalime chake?
Nashindwa kuattach ila kuna catoon inasema welcome to CCM you dont need to use your brain. Mambo ni mserereko tu ukiwaza kijanikijani. Iko siku ya kwenda kulalia makochi ya magogoni tukisubiri majibu ya maswali yako.
Hakuna ubishi juu ya hilo. Hoja ya mtoa mada ni kwamba, Serikali isijitape kutoa elimu bure wakati hakuna uhalisia.
Bora ishirikiane na wadau itangaze kwamba ghalama za elimu ni Y, serikali itachangia X na wazazi watachangia Z.
Hivyo ada (Y) = X+Z. Kwa kufanya hivyo wadau watajiandaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.